supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Tabu kwa vijana wadogo kama ukhuty, lakini kwa sisi muda umepita lakini bado tunaupenda ujanaSijui kwann Ukhuty unajizeeshaUzee una tabu
Tabu kwa vijana wadogo kama ukhuty, lakini kwa sisi muda umepita lakini bado tunaupenda ujanaSijui kwann Ukhuty unajizeeshaUzee una tabu
Moto wa ujana wangu uko pale paleUjana maji ya moto
Pale pale alipigwa kama mwiziMoto wa ujana wangu uko pale pale
Mwizi alivamia nyumba ya jiraniPale pale alipigwa kama mwizi
Jirani yangu ni mtu mzuri na anapenda watuMwizi alivamia nyumba ya jirani
Watu 40 wamekufa kwenye ajali ya treni huko IraniJirani yangu ni mtu mzuri na anapenda watu
Irani ni nchi inayomiliki mabomu ya nyukliaWatu 40 wamekufa kwenye ajali ya treni huko Irani
Nyuklia ni hatari sana na athari yake hudumu muda mrefuIrani ni nchi inayomiliki mabomu ya nyuklia
Muda mrefu tulikuwa tunasubiri ushindi wa trumpNyuklia ni hatari sana na athari yake hudumu muda mrefu
trump niko nae hapaMuda mrefu tulikuwa tunasubiri ushindi wa trump
Hapa mimi nipo na mzee majutotrump niko nae hapa
Mzee Majuto siku hizi amekuwa mswalihinaHapa mimi nipo na mzee majuto
Allah akipenda akituamsha salama na kutupa uzima na afyaMajuto ni mjukuu wapendwa inshaallah kesho ALLAH akipenda
Uzima na afya tunakuomba Mola wetu,wapendwa nitamimisi,sina hata lepe la usingiziAllah akipenda akituamsha salama na kutupa uzima na afya
Usingizi ukiwa hauna, zima taa halafu fumba machoUzima na afya tunakuomba Mola wetu,wapendwa nitamimisi,sina hata lepe la usingizi
Macho nimeyafumba na taa nimeizima bila ya mafanikioUsingizi ukiwa hauna, zima taa halafu fumba macho
Mafanikio ya usingizi sio sana hasa kwa siku hizi za weekendMacho nimeyafumba na taa nimeizima bila ya mafanikio
Weekend tunafikiria stareheMafanikio ya usingizi sio sana hasa kwa siku hizi za weekend