Nini tatizo la wewe kuchelewa kurudiMuda mwingi huonekani siku hizi nini tatizo
Kurudi sababu ya mvua na foleniNini tatizo la wewe kuchelewa kurudi
Ubungo, kariakoo na magomeniFoleni ipo kimara mpk ubungo
Magomeni ipiUbungo, kariakoo na magomeni
Ipi sijui mapipa, hospitali, makuti au usalamaMagomeni ipi
Wapi niliona duka la mitishambaUsalama wa taifa ni wapi
Mitishamba haina madharaWapi niliona duka la mitishamba
Kitaalam madawa ya kizungu ni sumuMadhara yapo utumiaji wake hauna vipimo maalum kitaalam
Sumu kula vyakula vyenye mafutaKitaalam madawa ya kizungu ni sumu
Mafuta yenye madhara ni yale yasiyokidhi vigezo kwa matumizi ya binadamuSumu kula vyakula vyenye mafuta
Binadamu wana tamaaMafuta yenye madhara ni yale yasiyokidhi vigezo kwa matumizi ya binadamu
Kimaendeleo tutapiga hatua endapo tutakuwa committed kwenye shughuli zetu. Kumekucha amkeniTamaa zimebobea zaidi Africa na ndio maana wapo nyuma kimaendeleo
Amkeni mnawe uso na kupiga mswaki, vipi haliKimaendeleo tutapiga hatua endapo tutakuwa committed kwenye shughuli zetu. Kumekucha amkeni
Hali iko poa,leo no mvua angalau jua limechomozaAmkeni mnawe uso na kupiga mswaki, vipi hali
Jua limechomoza kumekekucha salama tunamshukuru Mungu, vipi na wewe ni mzima wa afyaHali iko poa,leo no mvua angalau jua limechomoza