Nani kaja kuchafuwa hewa......Pogba ndo nani
Pogba alicheza vizuri alipokuwa timu ya taifa ufaransaNtakupunguzia kama hautakuwa kilaza kama Pogba
Nchi kama UgandaUfaransa ni Timu au nchi
Nchi gani iliyopakana na Tanzania, Afrika mashariki ni uganda na kenyaUganda imepakana na nchi gani
Wapi ipo kenya?, ni majirani zetu, hujawahi kwenda mombasaKenya nayo inapakana na wapi
Tukupitie tuende?, unapajua tangaMombasa napasikia tu
Mshindi wewe unaeijua tanga vizuri kama umezaliwa hukoHapa hakuna mshindi
Mshindi sabuni au.?Hapa hakuna mshindi