dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Kabisa upo sawa eti mtu ana date na msichana au mvulana wa umri wa kumzaaJamii ya siku hizi imeoza kabisa
Kabisa upo sawa eti mtu ana date na msichana au mvulana wa umri wa kumzaaJamii ya siku hizi imeoza kabisa
Umri wa kumzaa kwa wengine siyo ishu.. na ukiona hivyo kuna kingine kinatafutwa kibachopelekea umri uonekane si kitu cha kujaliKabisa upo sawa eti mtu ana date na msichana au mvulana wa umri wa kumzaa
Kujali umri? Hujapenda wewe... Umri ni namba tuUmri wa kumzaa kwa wengine siyo ishu.. na ukiona hivyo kuna kingine kinatafutwa kibachopelekea umri uonekane si kitu cha kujali
Namba tu? sawa, lakini namba hiyo ndo inasema viungo vyako vimezeeka kwa kiasi gani.. LEO HII HATA WANAONUNUA MAGARI YALIYOTUMIKA HAPA TANZANIA UTAWASIKIA... hilo gari namba D? au namba A?Kujali umri? Hujapenda wewe... Umri ni namba tu
A ndo mwanzo wa alphabetiNamba tu? sawa, lakini namba hiyo ndo inasema viungo vyako vimezeeka kwa kiasi gani.. LEO HII HATA WANAONUNUA MAGARI YALIYOTUMIKA HAPA TANZANIA UTAWASIKIA... hilo gari namba D? au namba A?
Alphabeti za kiswahili zilizokosa Q?A ndo mwanzo wa alphabeti
Q ni ufupisho wa harufi ya jina la dada yangu kipenzi Queen.Alphabeti za kiswahili zilizokosa Q?
Queen huyu aliyetoka kupima ngoma juzi?Q ni ufupisho wa harufi ya jina la dada yangu kipenzi Queen.
Juzi nilikamatwa na trafiki akanisakizia kosa nina hasira mpaka leoQueen huyu aliyetoka kupima ngoma juzi?
Leo nimekunywa chai na mkateJuzi nilikamatwa na trafiki akanisakizia kosa nina hasira mpaka leo
Mkate haukai sana tumboni nusu saa tu utasikia njaaLeo nimekunywa chai na mkate
Njaa ikizidi tunakula kiporoMkate haukai sana tumboni nusu saa tu utasikia njaa
Kiporo cha papuchi kitambo sana hasa ukute usiku kilipikwa vizuri.Njaa ikizidi tunakula kiporo
Vizuri kukisitiri kiporo,baraka itazidiKiporo cha papuchi kitambo sana hasa ukute usiku kilipikwa vizuri.
Vizuri kutembea sehemu za vivutio kama mbuga na mlima kilimanjaroKiporo cha papuchi kitambo sana hasa ukute usiku kilipikwa vizuri.
Mlima Kilimanjaro upo Kenya au Tanzania?Vizuri kutembea sehemu za vivutio kama mbuga na mlima kilimanjaro
Tanzania tunapata mapato madogo tofauti na KenyaMlima Kilimanjaro upo Kenya au Tanzania?
Kenya IPO imara kiuchumi alafu usisahau kuweka ? Yaani Tanzania?Tanzania tunapata mapato madogo tofauti na Kenya
Tanzania nchi yenye amaniKenya IPO imara kiuchumi alafu usisahau kuweka ? Yaani Tanzania?
Amani, utulivu na upendoTanzania nchi yenye amani