salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Friji la home halibaridishi vizuriMatamu tena ya baridi kama yametoka kwenye friji
Friji la home halibaridishi vizuriMatamu tena ya baridi kama yametoka kwenye friji
Baridi la Moshi si la mchezo mchezoMtungi ni muhimu hasa kwa mimi ninaeishi kijijini, sema kwa maeneo kama marangu moshi maji ya bomba pia yapo baridi
Vizuri ulipeleke kwa fundiFriji la home halibaridishi vizuri
Fundi wa friji akitengeneza baada ya mwezi linaharibika tenaVizuri ulipeleke kwa fundi
Fundi wa mafriji hakopeshi lazima utangulize notiVizuri ulipeleke kwa fundi
Noti kusanya ununue jipyaFundi wa mafriji hakopeshi lazima utangulize noti
Noti kwa usawa huu wa magufuli mbona atasubiri sanaFundi wa mafriji hakopeshi lazima utangulize noti
Tena wengi ni matapeli siku hiziFundi wa friji akitengeneza baada ya mwezi linaharibika tena
Nyimbo inayotetea haki za wananchiHaja yangu nikuandika nyimbo
Wananchi tunapenda nyimbo nzuri zenye ujumbeNyimbo inayotetea haki za wananchi
Umewafikia wananchi wote,watakaoufuata watafaidikaUjumbe utakuwa umewafikia
Faidika na nyimbo kumi boraUmewafikia wananchi wote,watakaoufuata watafaidika
Bora kulaumiwa kuliko kufedheheshwa mbele ya jamiiFaidika na nyimbo kumi bora
Jamii ya siku hizi imeoza kabisaBora kulaumiwa kuliko kufedheheshwa mbele ya jamii