supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Tanzania ya viwanda ni safari nzuri na ndefu, inayohitaji maandaliziTunachokizungumzia hapa na namna tutakavyofikia Tanzania ya viwanda
Tanzania ya viwanda ni safari nzuri na ndefu, inayohitaji maandaliziTunachokizungumzia hapa na namna tutakavyofikia Tanzania ya viwanda
Maandalizi yenyewe ni yanachukua muda mrefuTanzania ya viwanda ni safari nzuri na ndefu, inayohitaji maandalizi
Inayohitaji maandalizi siyo kama yale ya kilimo kwanzaTanzania ya viwanda ni safari nzuri na ndefu, inayohitaji maandalizi
Muda mrefu au muda mfupi, haijalishi.. kinachomata ni maandalizi yaliyo boraMaandalizi yenyewe ni yanachukua muda mrefu
Kilimo kwanza pia kilichukua mrefu kupata mafanikioInayohitaji maandalizi siyo kama yale ya kilimo kwanza
bora kunyoa kuliko kusukaMuda mrefu au muda mfupi, haijalishi.. kinachomata ni maandalizi yaliyo bora
Kusuka wire za dynamo inalipa vizuri kuliko kusuka nywele......bora kunyoa kuliko kusuka
Kusuka nywele za wapi? maana zina majina tofauti tofauti kutegemea zipo wapi.. kwa mfano, kidevuni ni ndevu, kuna mustachi...Kusuka wire za dynamo inalipa vizuri kuliko kusuka nywele......
Mafanikio hayakuwepo.. waliishia kununua magari ya stareheKilimo kwanza pia kilichukua mrefu kupata mafanikio
Mafanikio hayakuwepo.. waliishia kununua magari ya starehe
Waliyohitaji disco ni mziki wa regeStarehe kwao ndio mafanikio waliyohitaji
Mafanikio waliyohitaji haikuwa starehe, na ndiyo maana kwenye makabrasha ya kilimo kwanza starehe hakunaStarehe kwao ndio mafanikio waliyohitaji
Hakuna vinywaji vya kutosha discoMafanikio waliyohitaji haikuwa starehe, na ndiyo maana kwenye makabrasha ya kilimo kwanza starehe hakuna
Disco halihitaji vinywaji, mziki mkubwa tu unatosha.Hakuna vinywaji vya kutosha disco
Unatosha kwenye club lakini kwenye disco vumbi bila vinywaji hakuna rahaDisco halihitaji vinywaji, mziki mkubwa tu unatosha.
Raha karahaUnatosha kwenye club lakini kwenye disco vumbi bila vinywaji hakuna raha
Karaha za fujo na makelele ya mzikiRaha karaha
Raha ni mawazo tu ya unachokifikiria... si kila raha inapatikana kwenye disco.. na vile vile raha ya kwenye disco unaweza ukaipata kwenye kitimoto au mbuziUnatosha kwenye club lakini kwenye disco vumbi bila vinywaji hakuna raha
Mbuzi wa kuchoma mtamuRaha ni mawazo tu ya unachokifikiria... si kila raha inapatikana kwenye disco.. na vile vile raha ya kwenye disco unaweza ukaipata kwenye kitimoto au mbuzi