supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Usafiri wa taxi za uba bei nafuuZote zinatakiwa ziwepo ili kurahisisha usafiri
Usafiri wa taxi za uba bei nafuuZote zinatakiwa ziwepo ili kurahisisha usafiri
Nafuu sawa, but it is riskyUsafiri wa taxi za uba bei nafuu
Risky katika hii dunia haikwepekiNafuu sawa, but it is risky
Haikwepeki au hujanielewa..??Risky katika hii dunia haikwepeki
Nini hasa ulikuwa unamaanishaHujanielewa au jeuri? Ukitulia utaelewa nilikua namaanisha nini.
Unamaanisha kibano cha utawala wa awamu ya tano ni ya muda tu ?!!Nini hasa ulikuwa unamaanisha
Muda tu ambao ni mchache lakini una maumivu yasiyo elezekaUnamaanisha kibano cha utawala wa awamu ya tano ni ya muda tu ?!!
Yata elezeka kwa vizazi vijayo mazuri na magumu tuliyopitia.....Muda tu ambao ni mchache lakini una maumivu yasiyo elezeka
Tuliyopitia na tutakayoyapitia, yote ni maumivu tu na hatukustahili kuwa nayoYata elezeka kwa vizazi vijayo mazuri na magumu tuliyopitia.....
Tuliyopitia ni changamotoYata elezeka kwa vizazi vijayo mazuri na magumu tuliyopitia.....
Changamoto za kujitakia... tulikuwa na uwezo wa kuzikwepa.Tuliyopitia ni changamoto
Kuzikwepa vipi wakati twafanya kazi ila kipato hakikidhi mahitajiChangamoto za kujitakia... tulikuwa na uwezo wa kuzikwepa.
Mahitaji yenu ni makubwa kuliko kipato chenu, na ndo maana mnaona mnapata shida.Kuzikwepa vipi wakati twafanya kazi ila kipato hakikidhi mahitaji
Shida tunayoipata ni kwamba bidhaa bei ziko juuMahitaji yenu ni makubwa kuliko kipato chenu, na ndo maana mnaona mnapata shida.
Bei ziko juu ukilinganisha na nini? gharama za uzalisha wa bidhaa husika au mazoea ya nyuma?Shida tunayoipata ni kwamba bidhaa bei ziko juu
Nyuma ipi unayozungumzia weweBei ziko juu ukilinganisha na nini? gharama za uzalisha wa bidhaa husika au mazoea ya nyuma?
Wewe naye, kwani kuna nyuma ngapi unazozijua? halafu katika hizo nyuma unazozijua, ipi inafanana na tunachokizungumzia?Nyuma ipi unayozungumzia wewe
Tunachokizungumzia ni bei za bidhaa kama nguo zinapanda bei msimu huu wa christmassWewe naye, kwani kuna nyuma ngapi unazozijua? halafu katika hizo nyuma unazozijua, ipi inafanana na tunachokizungumzia?