atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Sijui hata alipo... TumtafuteZz mkongwe amepotea wapi sijui
Sijui hata alipo... TumtafuteZz mkongwe amepotea wapi sijui
Mno uende na morogoroIringa mji una vya kula mnoo
Sijui kule alikopotelea mwanzo au kwingine..Zz mkongwe amepotea wapi sijui
Sijui km chadema ikipokea madaraka itaweza kulikomboa taifaaZz mkongwe amepotea wapi sijui
Tumtafute kuanzia Jf, kwao mpaka maskaniSijui hata alipo... Tumtafute
Taifa stars juzi wamefungwa goli tatu bilaSijui km chadema ikipokea madaraka itaweza kulikomboa taifaa
Taifaa likombolewe kwani limepotezwa na nai?Sijui km chadema ikipokea madaraka itaweza kulikomboa taifaa
Bila nini?Taifa stars juzi wamefungwa goli tatu bila
Maskani yake ZZ unapajua ni wapi?Tumtafute kuanzia Jf, kwao mpaka maskani
Wapii kuna bataa tukaleeMaskani yake ZZ unapajua ni wapi?
Wapi kivipi? MAskani anakoishi au kijiwe anakopiga stori?Maskani yake ZZ unapajua ni wapi?
Tukalee..?? Kwani wanalelewa hao bata au wanaliwa?Wapii kuna bataa tukalee
Wanaliwa kilaa sehemuuu km mcheleeTukalee..?? Kwani wanalelewa hao bata au wanaliwa?
Mchelee wa Ifakara au mbeya?Wanaliwa kilaa sehemuuu km mchelee
Mbeya kuna kabila la wanyakyusaMchelee wa Ifakara au mbeya?
Wanyakyusa,wasafwa,wanyihaMbeya kuna kabila la wanyakyusa
Wanyiha wapo mbeya pia niliwasahau. pwani na dar kuna wazaramoWanyakyusa,wasafwa,wanyiha
Wazaramo n watu wangomani kilaa cku hawana kazii nyingineeWanyiha wapo mbeya pia niliwasahau. pwani na dar kuna wazaramo