Bombadia inafika mpaka uwanja wa KIA kilimanjaroDar es Salaam ndo habari ya mujini, Dodoma wanaenda na kurudi kwa Bombadia
Tumejitahidi kiasi kidogo, tatizo tumenunua kwa kulipa zote... tungekopa sehemu fulaniBambadia tumejitahidi kiasi
Penda sehemu zote usisahau kupapenda na TangaArusha napapenda
Fulani nani... Taja jinaTumejitahidi kiasi kidogo, tatizo tumenunua kwa kulipa zote... tungekopa sehemu fulani
Segera ukiwa kwenye bus nunua palepale njia pandaMachungwa ya Segera ndo nyenyewe mkuu
Tanga nshafika wahindi na waarabu wapo kibaoPenda sehemu zote usisahau kupapenda na Tanga
Jina gan LA msanii linalokuvutiaa sanaaaFulani nani... Taja jina
Kibao ndo mtaa gani walipo hao wahindi na waarabu?Tanga nshafika wahindi na waarabu wapo kibao
Sanaaa napenda wasanii wa kwetuJina gan LA msanii linalokuvutiaa sanaaa

Waarabu ndugu zake ZZKibao ndo mtaa gani walipo hao wahindi na waarabu?
Wa kwetu na wa nje wa kumpenda itategemea usuri wa mzuki au sanaa yaoSanaaa napenda wasanii wa kwetu
Kibao alichopigwa mtoto wa shule ni uonevu kule mbeyaTanga nshafika wahindi na waarabu wapo kibao
Mbeya nimeishi muda mrefuKibao alichopigwa mtoto wa shule ni uonevu kule mbeya
Asante![]()
![]()
![]()
![]()
(Karibu sana Tina Jf hasa kwenye uzi huu wa mwisho ndo mshindi)
-msg yako ya kwanza umetabasamu![]()
Muda mrefu sijawahi kwenda IringaMbeya nimeishi muda mrefu
Asante MTU upokea anapofanyiwa jambo fulaniAsante
Iringa mji una vya kula mnooMuda mrefu sijawahi kwenda Iringa
Zz mkongwe amepotea wapi sijuiWaarabu ndugu zake ZZ