Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Kushindwa ndo kunapelekea wengine wakose uvumilivu na kuanza kuporomosha mitusi ya nguoniKimya tu kina siri nyingi, sio dalili ya kushindwa
Kushindwa ndo kunapelekea wengine wakose uvumilivu na kuanza kuporomosha mitusi ya nguoniKimya tu kina siri nyingi, sio dalili ya kushindwa
Nguoni kuna madoa doa ya icereamKushindwa ndo kunapelekea wengine wakose uvumilivu na kuanza kuporomosha mitusi ya nguoni
Icecream za Azam au watengenezaji wengine?Nguoni kuna madoa doa ya iceream
Wengine ashkirimu zao wanachukua maji wanakoroga na sukari na ukwajuIcecream za Azam au watengenezaji wengine?
Ukwaju unakuwaga si mtamu kwenye ashikirimu, watumie maziwaWengine ashkirimu zao wanachukua maji wanakoroga na sukari na ukwaju
Maziwa ni adimu halafu bei ghali bora ashkirimu zenye ladha ya ubuyuUkwaju unakuwaga si mtamu kwenye ashikirimu, watumie maziwa
Ubuyu mwingi unapatikana DodomaMaziwa ni adimu halafu bei ghali bora ashkirimu zenye ladha ya ubuyu
Dodoma makao makuu ya Tanzania, pia kunapatikana zabibuUbuyu mwingi unapatikana Dodoma
Zabibu ni tamu sanaDodoma makao makuu ya Tanzania, pia kunapatikana zabibu
Dodoma kwenye hawali ashikirimuUbuyu mwingi unapatikana Dodoma
Serikali yake kwa sasa ipo Dar es salaamDodoma ndipo Rais anahamia na serikali yake
Sana kama nini?Zabibu ni tamu sana
Dar es salaam joto mnooSerikali yake kwa sasa ipo Dar es salaam
Tamu sana sema huku kunapatika sana machungwaZabibu ni tamu sana
Dar es Salaam ndo habari ya mujini, Dodoma wanaenda na kurudi kwa BombadiaSerikali yake kwa sasa ipo Dar es salaam
Joto mno sasa hivi mpaka ArushaDar es salaam joto mnoo
Bambadia tumejitahidi kiasiDar es Salaam ndo habari ya mujini, Dodoma wanaenda na kurudi kwa Bombadia
Machungwa ya Segera ndo nyenyewe mkuuTamu sana sema huku kunapatika sana machungwa
Arusha napapendaJoto mno sasa hivi mpaka Arusha