atug
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,821
- 3,618
Nyimbo hiyo imeimbwa na AlikibaAje nani kaimba hii nyimbo
Nyimbo hiyo imeimbwa na AlikibaAje nani kaimba hii nyimbo
Alikiba mashabiki wanampenda anajua kuimbaNyimbo hiyo imeimbwa na Alikiba
Kuimba alikosea pale alipoimba na R. KERY ndo alitakiwa atokee pale.. yeye akauweka.Alikiba mashabiki wanampenda anajua kuimba
Akauweka hadi amekuwa mtu wa kulialia kwenye kupata tuzoKuimba alikosea pale alipoimba na R. KERY ndo alitakiwa atokee pale.. yeye akauweka.
Tunzo Alikiba amepata ya MTV EMA juziAkauweka hadi amekuwa mtu wa kulialia kwenye kupata tuzo
Juzi kapata tuzo baada ya kulialia na yule Mtanzania mmoja kichaa kati ya wanne kutukana matusi ya nguoniTunzo Alikiba amepata ya MTV EMA juzi
Matusi ya nguoni aliyotukanwa wizkid ni aibuJuzi kapata tuzo baada ya kulialia na yule Mtanzania mmoja kichaa kati ya wanne kutukana matusi ya nguoni
Aibu kubwa saana mtu mzima kutukanaMatusi ya nguoni aliyotukanwa wizkid ni aibu
Kutukana ni dalili ya heshima na adabu tofauti kabisa na muungwanaAibu kubwa saana mtu mzima kutukana
Muungwana hawezi kumtukana mtuKutukana ni dalili ya heshima na adabu tofauti kabisa na muungwana
Mtu muungwana akivuliwa nguo huchutama kimyaMuungwana hawezi kumtukana mtu
Kimya ndo jibu kubwa zaidiMtu muungwana akivuliwa nguo huchutama kimya
Mtu anayetegemea kushiriki tuzo zingine hawezi tukana yeye wala washabiki wakeMuungwana hawezi kumtukana mtu
Zaidi ya mbwembwe za kujibujibuKimya ndo jibu kubwa zaidi
Washabiki wake walikosa Uvumilivu kama wale waliong'oa vitiMtu anayetegemea kushiriki tuzo zingine hawezi tukana yeye wala washabiki wake
Kujibu jibu kunaweza kukufanya ukaharibu.. Kukaa kimya ndo jibu la mjingaZaidi ya mbwembwe za kujibujibu
Mjinga Mwenyewe si mpaka aeleweKujibu jibu kunaweza kukufanya ukaharibu.. Kukaa kimya ndo jibu la mjinga
Mjinga si pekee wa kumkalia kimya, ikibidi hata mwerevu, itategemea tu na mazingiraKujibu jibu kunaweza kukufanya ukaharibu.. Kukaa kimya ndo jibu la mjinga
Aelewe asielewe atajijua, ishu ni kumkalia kimya tuMjinga Mwenyewe si mpaka aelewe
Kimya tu kina siri nyingi, sio dalili ya kushindwaAelewe asielewe atajijua, ishu ni kumkalia kimya tu