supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Tabia nzuri wengine baadae wanabadilikaUmbo na sura kweli,mwanamke ni Tabia
Tabia nzuri wengine baadae wanabadilikaUmbo na sura kweli,mwanamke ni Tabia
Wanabadilika kama tangu mwanzo alikuwa anapretend au kuna yaliyompelekea akabadilikaTabia nzuri wengine baadae wanabadilika
Kabadilika sasa hivi wakati zamani hakuwa hivyoWanabadilika kama tangu mwanzo alikuwa anapretend au kuna yaliyompelekea akabadilika
Hakuwa hivyo jaribu kuchunguza kipi kimepelekea abadilikeKabadilika sasa hivi wakati zamani hakuwa hivyo
Abadilike mara ngapi wakati kwa tabia ameshakomaa sasa hiviHakuwa hivyo jaribu kuchunguza kipi kimepelekea abadilike
Hivi huwezi jichunguza na wewe yawezekana umebadilika ndo maana na yeye kabadilikaAbadilike mara ngapi wakati kwa tabia ameshakomaa sasa hivi
Hivi wewe Atug mie nimekubadilikia ndiyo unanifedhehesha ?Abadilike mara ngapi wakati kwa tabia ameshakomaa sasa hivi
Kabadilika yeye mwenyewe na mashoga zake saluniHivi huwezi jichunguza na wewe yawezekana umebadilika ndo maana na yeye kabadilika
Unanifedhehesha na mimi mkuu kakufanya nini atugHivi wewe Atug mie nimekubadilikia ndiyo unanifedhehesha ?
Atug hajabadilika na hawezi kupritend,yuko makini na marafiki na haruhusu wamwendeshee maishaUnanifedhehesha na mimi mkuu kakufanya nini atug
Maisha mazuri ni kuishi vizuri na watu, majirani, ndugu, jamaa na marafikiAtug hajabadilika na hawezi kupritend,yuko makini na marafiki na haruhusu wamwendeshee maisha
Marafiki chagua kwa makiniMaisha mazuri ni kuishi vizuri na watu, majirani, ndugu, jamaa na marafiki
Chagua kwa makini rafiki yako unaeendana nae tabiaMarafiki chagua kwa makini
Tabia nzuri hainunuliwiChagua kwa makini rafiki yako unaeendana nae tabia
Hainunuliwi kivipi?Tabia nzuri hainunuliwi
Kivipi tena? Kwani tabia nzuri unaweza ukainunua dukani?Hainunuliwi kivipi?
Dukani kuna bidhaa nyingi na hiyo ikiwemoKivipi tena? Kwani tabia nzuri unaweza ukainunua dukani?
Dukani kunauzwa bidhaa za chakula, mavazi na uremboKivipi tena? Kwani tabia nzuri unaweza ukainunua dukani?
Urembo nayo yahitaji pesaDukani kunauzwa bidhaa za chakula, mavazi na urembo
Pesa hamna mkuu, siku hizi wanawake bora wajipake wanjaUrembo nayo yahitaji pesa