britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,201
- 41,745
SijuiBaada ya 10years ataondoka?
SijuiBaada ya 10years ataondoka?
No problem. Kazi ya uchungaji bado inalipa.Jaman mtuonee huruma tuna familia zinatutegemea au kwa sababu tumesomea PhD in Theology?
Ukihama nchi (kama hata huo uwezo unao wa kuhama) kama nchi inapoteza nn zaidi ya kupunguza vibaka wa power window mtaani!
Labda aombe kazi za utawala anaweza kupewa dean of studentsAtakua ana findisha vipindi vya dini
Wamepata sponsor mkubwa kutoka Qatar foundationJamaa zetu Msamvu hali yao sijui ipoje
Acha uongo kuna vyuo kama Bugando ,KCMC vinadunda na kupata admission sio rahisi vinachukua best cream na viko full
Muhimbili vs BugandoAcha uongo kuna vyuo kama Bugando ,KCMC vinadunda na kupata admission sio rahisi vinachukua best cream na viko full
Uongo Kweli???? Jee wewe ungepewa nafasi kati ya UDSM na vyuo hivyo ungechagua kwenda wapi ? na kwa nini?Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
Duuuh , kazi kwel kwel, kwa kwa hiyo wasomi wanatakiwa wazalishwe ili waajiriwe aisee, nchi yetu bado Sana . Kama haya ndio mawazo ya viongozi wetu basi hii nchi bado inasafari ndefu Sana,Utaua ajira mkuu? Ila ni kweli kwani hata kazi zenyewe hakuna mavyuo mengi ya nini? Kuzalisha "wasomi" wasiokuwa na mahali pa kwenda
Nadhani mkataba wako una confidentiality clause. Walk the talk of your contact. Njia sahihi zipo, kama huzijui seek a proper legal advice. Be advised of the consequence of confidentiality breach.Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
Siku UDSM itakapoajiri mwalimu aliyesoma SAUT/ St John au St Joseph, itaburuza mkia kwenye rankings za vyuo Afrika na Duniani...
UDSM kwa mfano ni chuo kinachotoa Honorous degree. So its virtually difficult kumleta mtu aliesoma Ordinary Bachelor Degree kuja kuwafundisha watu wa honorus degree!
Hatuna huo ubavu. Wahadhiri wenye PhD wa kufundisha hizo kozi tunawatoa wapi na hata kama wapo tutawalipa nini? Benki zenyewe za kanisa zinachechemea.2019/20 ndo hamtapata wanafunzi kabisa.
anzisheni program za masters kwa bei ndogo au 3m mpige mahela kwa walimu na wafanya kazi wengine wanaotaka kujiongeza kielimu ila hawana hela