A
Mara ya kwanza naingia vyoo vya Udom, niliamini wazungu hawakukosea kutufananisha na Nyani!Itakua social huko
Tatizo wanafunzi wenyewe ,unakuta chuo na boarding watu wanavunja koki ,uchafu kila kona kama vyoo vya bar.Mara ya kwanza naingia vyoo vya Udom, niliamini wazungu hawakukosea kutufananisha na Nyani!
Unakuta chumba cha choo kimejaa mavi hadi mlangoni na bado watu wanaenda kujaza mzigo humohumo.
Kwa nini msifanye mawasiliano na bwana Albert Chalamila RC wa Daslam awaletee wanajeshi kufanya usafi wa viwango visivyomithilika hapo chuoni?Atawashukia kwa wema mwingi na spidi ya ambulance.Jamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.
Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.
Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa.
Naomba tu na hili litiliwe maanani kama lile swala la kunguni lilivyofanyiwa kazi
Sasa hapao shida ni ya utawala au watumiaji.Mara ya kwanza naingia vyoo vya Udom, niliamini wazungu hawakukosea kutufananisha na Nyani!
Unakuta chumba cha choo kimejaa mavi hadi mlangoni na bado watu wanaenda kujaza mzigo humohumo.
Picha mpaka ajee MilardayoJamani tunaomba msaada sisi wana UDOM.
Sikatai madarasa mazuri kabisa na pia masomo yanaenda vizuri na walimu wanafanya kazi vizuri sana lakini shida ni vyoo jamani.
Vyoo vimejaa balaa na hivyo kufanya tuugue sana. Pia vinavuja kwa juu na hakuna kinachotendeka hadi sasa.
Naomba tu na hili litiliwe maanani kama lile swala la kunguni lilivyofanyiwa kazi
Saa hizi yuko busy kusafisha OmbaombaKwa nini msifanye mawasiliano na bwana Albert Chalamila RC wa Daslam awaletee wanajeshi kufanya usafi wa viwango visivyomithilika hapo chuoni?Atawashukia kwa wema mwingi na spidi ya ambulance.
Na anawaleta karibu na hapohapo UDOM.Daah!Shida juu ya dhahma.Saa hizi yuko busy kusafisha Ombaomba
Tatizo UDOM wanaojiunga wengine wametokea vijijini wamezoea kujisaidia vichakani inabidi Chuo wanapojiunga kwenye orientation wiki nzima itumike kuwafundisha matumizi ya choo Cha kisasaKwanza inabidi wanafunzi wachungane wenyewe kwenye suala la matumizi mabovu ya vyoo.
Hata kama kuna wafanya usafi wanalipwa sio rahisi kila siku mtu mzima kwenda kusafisha kinyesi cha mtu mzima.
Mjitambue kwanza.
Ila ni wajibu wa Chuo pia kuweka utaratibu wa usafi wa hali ya juuTatizo UDOM wanaojiunga wengine wametokea vijijini wamezira kujisaidia vichakani inabidi Chuo wanapijiunga kwenye orientation wiki nzima itumike kuwafindisha matumizi ya choo Cha kisasa
Tatizo choo Cha Bure wangeanza kuwalipisha wanafunzi wangekuwa wengine wanajisaidia mara moja tu Kila baada ya siku mbili choo kuwa Bure kwao wanaenda Kila mara chooni utafikiri Wana vipindi vya masomo chooniIla ni wajibu wa Chuo pia kuweka utaratibu wa usafi wa hali ya juu
Yaani kila saa watu wapo hapo kufanya usafi
Mbona wa kuangalia gardens wapo
Walipe watu kwa usafi au wafungiwe kwa mda akili iwakae sawa
Mara ya kwanza naingia vyoo vya Udom, niliamini wazungu hawakukosea kutufananisha na Nyani!
Unakuta chumba cha choo kimejaa mavi hadi mlangoni na bado watu wanaenda kujaza mzigo humohumo.