Voices From Within:Tundu Lissu kuachiwa Huru kwa Nolle ya DPP, Serikali has no Interest kuendelea na Kesi ya Uhaini? CHADEMA Kushiriki Uchaguzi?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
57,103
Reaction score
128,723
Wanabodi

Hili ni Bandiko la Voices from within,hivyo naomba kulianza kwa disclaimer
Wanabodi
Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho.

Hii ni thread ya maono tuu ya unabii, sio utabiri, sio trends readings, ni unaisikia tuu sauti inakuambia jambo fulani bila kukuambia sababu za jambo hilo, na huwezi kuuliza, hivyo nami naomba kuwaeleza tuu kile nilichosikia kwenye sauti hiyo niliyoisikia na naomba msiniulize kitu kwasababu sio mimi ni sauti za "Voices from Within", yaani sauti toka ndani yako!, the inner you. The inner you ya kila mwanadamu ni YEYE aliyemuumba na kumpa uhai, yaani YEYE ambaye ni YEYE, ila ndani ya kila mwanadamu, pia kuna yeye ambaye sii YEYE. Huyu yeye ambaye sii YEYE, na anakaa sambamba ya YEYE ambaye ni YEYE, siku zote anapenda sana kuji disguise kuwa yeye ndiye YEYE, lakini ukweli huyu yeye, sii YEYE!.

Hili la YEYE na yeye, nimewahi kulihubiri sana humu na kuwasaidia watu jinsi ya kumtambua YEYE halisi ambaye ni YEYE na kumtofautisha YEYE ambaye ni YEYE halisi na yeye fake ambaye sii YEYE but disguised as YEYE, nimelifundisha humu Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.

Sasa kwa vile yeye fake ambaye siye YEYE, huweza kujipenyeza kule kule ndani yako kwenye the inner you na kujiposition kama YEYE na kutoa sauti, ukadhani ni YEYE kumbe sii YEYE bali ni yeye tuu!, hivyo hii sauti niliyoisikia kama ni sauti ya kwake YEYE, mwenyewe the original "The One and Only" then 2025 hili lazima litatimia!, ila kama ni sauti ya yule yeye, then halitatimia!.

Paskali

Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweli, achilia hizi
mamlaka za kuja na kupita za dunia hii,hapa nazungumzia mambo ya ulimwengu wa roho,sio huu ulimwengu wa mwili!。

Nilikuwa nasoma JF, jinsi Tundu Lissu,anavyokuwa treated kule mahabusu,kiukweli nimeumia,its not fair at all!, karma ii juu ya watesi wake!,mara ghafla nikaisikia ile sauti ya voices from within,ikiniambia Tundu Lissu ataachiwa huru kwa Nolle ya DPP !。

Kabla kesi Lissu haijahamishiwa High Court, DPP atapeleka nolle na kuieleza mahakama ya Kisutu kuwa serikali haina nia ya kuendelea na kesi hii!yaani, the government has no interest kuendelea na kesi ya uhaini!. (NB. anaweza kufutiwa uhaini,ila sedition ikaendelea!)

Hiyo voices from within, pia imenieleza sababu za DPP
kuifuta hii kesi kwa nolle!,lakini kwasababu kwa mujibu wa sheria,DPP anapoamua kuifuta kesi yoyote kwa nolle,hawajibiki kutoa sababu yoyote kwa yeyote,na uamuzi wa DPP kutumia powers zake za nolle,uamuzi huo ni wa mwisho, final and conclusive, na hauhojiwi na mamlaka yoyote, hata rais wa JMT,hawezi kuhoji!,hivyo na mimi naomba nisizitaje sababu nilizoelezwa,kwa sababu fulani!na naomba msiziulizie!

Wakati mimi nikiandika hapa leo kuwa DPP ataifuta kesi ya Lissu kwa nolle,usikute hata DPP mwenyewe,mpaka sasa bado hajajua kuwa ni yeye atatakiwa kuifuta hiyo kesi ya Lissu kwasababu yeye DPP bado hajaambiwa na ile sauti ilioniambia mimi!.
Hata ile 2014 niliposema humu JPM ndie ngombea wa CCM 2015, JPM mwenyewe alikuwa hajui!,hata niliponshauri Spika JYN kumpisha Dr Tulia kiti cha uspika,JYN wala Tulia walikuwa hawajaambiwa!,na hata ile 2017 tuliposhauri humu uchaguzi wa 2020 JPM ampishe Samia ,sio JPM wala sio Samia,alikuwa ameambiwa!.

Hii sio mara ya kwanza kwa mimi kuambiwa kitu,na kupewa sababu,huku mhusika mwenyewe hajaambiwa, na mimi huja kusema humu bila kuzieleza sababu!。

Mfano mzuri ni ule mwaka 2014,nilipoelezwa Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na
nilielezwa sababu lakini sikuzieleza humu!。

February Mwaka 2015,nilimshauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein na nilielezwa sababu ila sikuzitaja humu!,ila hili lilitokea! Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Mwaka 2019 nilielezwa hili,Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... nikaelezwa sababu,sikuzitaja,likatokea!

Japo ni kweli urais wa Samia ni kwa kudra ya Mwenyezi Mungu,tupo akina sisi,tuliona toka 2017 na tukasema humu Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Kitu kizuri kuna baadhi ya ushauri wangu huwa unasikilizwa,mfano angalia tarehe ya uzi huu Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kisha angalia aliteuliwa lini!

Au ushauri huu Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

Hata mgombea urais wa CCM mwaka huu wa 2025, mimi nilisha elezwa toka 2023 na nikaambiwa na sababu,nami nikalisema kwenye mada HII na nikaeleza tu nilicho elezwa,ila sikuzieleza sababu nilizotajiwa,na by that time,mhusika atakuwa alikuwa bado hajaambiwa!,ndio maana Pre GE2025 - Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli! na baada ya chama chake maliza kazi ile Januari 19,mwaka huu,2025,mimi nilimuandikia barua Dada kumhakikishia Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Je hizi sauti za the voices from within ni sauti ya nani na lazima itokee?
Jibu ni moja tuu ,the real voices from within ni sauti yake YEYE ambaye ni YEYE,ambaye ni Omniscience, Omnipotent,na Omnipresent,ambaye ana exist in spiritual powers inside the inner conscience of every human being,ila sio watu wote wanajaliwa uwezo wa kuisikia sauti hiyo,wengine huambiwa kwa kuonyeshwa maono kwenye ndoto,wengine hupewa visions , ila kuna YEYE ambaye ndie YEYE mwenyewe,na kuna yeye ambaye ni fake!,siye YEYE, lakini anapenda ku pose kwa kuji pretend kama ni YEYE na sometimes huji superimposed kwa kufanya mambo ya make belive kama YEYE kabisa na watu wa mataifa wakamuamini kuwa ni YEYE!,kumbe sio YEYE bali ni yeye tuu disguised as YEYE!。Sometimes it is so tricky kumjua who is who kati ya YEYE na yeye!.

Hivyo kama hiyo sauti nilioisikia ni yake YEYE mwenyewe ambaye ni YEYE,then,Lissu anaachiwa huru!,ikitokea asiachiwe,then hiyo sauti sio yake YEYE,ni sauti ya yeye!。

Hivyo suppose ni sauti yake YEYE,na Lissu anaachiwa,je
,Chadema itashiriki uchaguzi hata bila ya reforms?.

Chadema wakikubali kushiriki uchaguzi hata bila ya reforms,wana bonge moja la fursa Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!

Tundu Lissu akiachiwa huru,Chadema,wakaendelea kushikilia msimamo wao wa NRNE,I'm not sure what they are expecting to achieve kwa kususia uchanguzi,ila kitu ninachoelewa ni uchaguzi utakuwepo kama kawaida kwasababu Chadema has no ability,capacity wala capability to stop the election!。

Mungu Mbariki DPP aweze!
Mungu Ibariki Chadema to be able to do the right thing,
Mungu Ibariki Tanzania!

Paskali

Update
Mungu yupo, ila pia shetani yupo!.
Shetani ni mzuri kutibua mipango ya Mungu hivyo kuichelewesha tuu lakini hawezi kuizuia!.

Sasa Nolle italetwa mbele ya safari!

Japo Mungu ndie huweka serikali za mataifa, shetani ni mzuri kwa kuzitumia serikali za mataifa, kuchelewesha mapenzi ya Bwana kutimizwa!.
Hakuna jinsi nolle lazima itoke!.
Na sio kuwa wanapenda kutoa nolle!, inabidi....!
P
 
Wanabodi

Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweeli, achilia hizi
mamlaka za kuja na kupita za dunia hii,hapa nazungumzia mambo ya ulimwengu wa roho,sio huu ulimwengu wa mwili!。

Nilikuwa nasoma JF, jinsi Tundu Lissu,anavyokuwa treated kule mahabusu,mara ghafla nikaisikia ile sauti ya voices from within,ikiniambia Tarehe 1 Julai,Tundu Lissu ataachiwa huru kwa Nolle ya DPP !。 DPP ataieleza mahakama Kisutu kuwa serikali haina nia ya kuendelea na kesi hii!yaani, the government has no interest kuendelea na kesi ya uhaini!.

Hiyo voices from within, pia imenieleza sababu za DPP
kuifuta hii kesi kwa nolle!,lakini kwasababu kwa mujibu wa sheria,DPP anapoamua kuifuta kesi yoyote kwa nolle,hawajibiki kutoa sababu yoyote kwa yeyote,na uamuzi wa DPP kutumia powers zake za nolle,uamuzi huo ni wa mwisho, final and conclusive, na hauhojiwi na mamlaka yoyote, hata rais wa JMT,hawezi kuhoji!,hivyo na mimi naomba nisizitaje sababu nilizoelezwa,kwa sababu fulani!na naomba msiziulizie!

Wakati mimi nikiandika hapa leo kuwa DPP ataifuta kesi ya Lissu kwa nolle,siku ya tarehe moja,isikute hata DPP mwenyewe,saa hizi,hajajua kuwa ataifuta hiyo kesi hiyo tarehe 1 Julai kwasababu yeye DPP bado hajaambiwa!

Hii sio mara ya kwanza kwa mimi kuambiwa kitu,na kupewa sababu,huku mhusika mwenyewe hajaambiwa, na mimi huja kusema humu bila kuzieleza sababu!。

Mfano mzuri ni ule mwaka 2014,nilipoelezwa Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na
nilielezwa sababu lakini sikuzieleza humu!。

Mwaka 2014,nilimshauri ,nilielezwa sababu sikuzitaja,ila hili lilitokea!

Mwaka 2019 nilielezwa hili,nikaelezwa sababu,sikuzitaja,likatokea

Sio mara moja wala mbili, nilimshauri yule Blaza wangu mkubwa ampishe yule Dada ,

Kitu kizuri kuna baadhi ya ushauri wangu huwa unasikilizwa,mfano ushauri huu 。。。 na huu

Hata mgombea wa CCM 2025, nilielezwa na nikaambiwa sababu,nimeeleza tu nilicho elezwa,ila sijazieleza sababu

Je hizi sauti za the voices from within ni sauti ya nani na lazima itokee?
Jibu ni ,the real voices from within ni sauti yake YEYE, ila kuna YEYE ambaye ndie mwenyewe,na kuna yeye ambaye siye YEYE, lakini anapenda ku pose kama YEYE
,na sometimes huji superimposed kama YEYE kumbe sio YEYE bali ni yeye!。

Hivyo kama hiyo sauti nilioisikia ni yake YEYE mwenyewe ambaye ni YEYE,then tarehe 1 Julai,Lissu anaachiwa huru!,ikitokea asiachiwe,then hiyo sauti sio yake YEYE,ni sauti ya yeye!。

Hivyo suppose ni sauti yake YEYE,na Lissu anaachiwa,je
,Chadema itashiriki uchaguzi hata bila ya reforms?.

Chadema wakikubali kushiriki uchaguzi hata bila ya reforms,wana bonge moja la fursa。。。

Tundu Lissu akiachiwa huru,Chadema,wakaendelea kushikilia msimamo wao wa NRNE,I'm not sure what they are expecting to achieve kwa kususia uchanguzi,ila kitu ninachoelewa ni uchaguzi utakuwepo kama kawaida kwasabu Chadema has no ability,capacity wala capability to stop the election!。

Mungu Mbariki DPP aweze!
Mungu Ibariki Chadema to be able to do the right thing,
Mungu Ibariki Tanzania!

Paskali
Hizo sauti tutajuaje kama zimetoka kwa YEYE na sio Yeye wala yeye?
 
CHADEMA itashiriki uchaguzi baada ya kufanyika reforms kwenye katiba kupata tume huru ya uchaguzi.

Washiriki uchaguzi bila Reforms Ili iweje?

Uliwahi kusikia sauti ya damu ya aliyeuwawa bila hatia inavyopiga kelele kudai haki?
 
Pascal bwana....mbona hatuelewani lakini. Kama maji yamezidi unga😂😂😂😂
 
hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweeli, achilia hizi
mamlaka za kuja na kupita za dunia hii,hapa nazungumzia mambo ya ulimwengu wa roho,sio huu ulimwengu wa mwili!。📌🔨
 
Learned Brother Pascal Mayalla hata akisema akomae mpaka mwisho DPP na PP wake hakuna element hata moja ya treason anayoweza kuprove... Hii kesi ipo kisiasa na Nolle proseque itatumika tuu wakijisikia ....

Dawaa pekee ni kuludisha mamlaka ya ofisi ya DPP kwa wananchi... Mfano mzuri Marekani kuna makosa hushtakiwi mpaka Jury ipitishe kwamba Ushahid unao wa kutosha unaweza ukaendelea kumshtaki mtuhumiwa...
Korea juzi hapa Ofisi ya mashataka imedeal na Rais vizuri kabisa mpaka unajiuliza Hawa NPS wetu pamoja DPP wanaweza kwel kufanya haya
Bila Ofisi huru ya mwendesha mashtaka wa Serikali NPS itaendelea kutumika Kisiasa kila siku...

Hii nchi kila sehemu kumeshaharibika
 
Wanabodi

Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweeli, achilia hizi
mamlaka za kuja na kupita za dunia hii,hapa nazungumzia mambo ya ulimwengu wa roho,sio huu ulimwengu wa mwili!。

Nilikuwa nasoma JF, jinsi Tundu Lissu,anavyokuwa treated kule mahabusu,mara ghafla nikaisikia ile sauti ya voices from within,ikiniambia Tarehe 1 Julai,Tundu Lissu ataachiwa huru kwa Nolle ya DPP !。 DPP ataieleza mahakama Kisutu kuwa serikali haina nia ya kuendelea na kesi hii!yaani, the government has no interest kuendelea na kesi ya uhaini!.

Hiyo voices from within, pia imenieleza sababu za DPP
kuifuta hii kesi kwa nolle!,lakini kwasababu kwa mujibu wa sheria,DPP anapoamua kuifuta kesi yoyote kwa nolle,hawajibiki kutoa sababu yoyote kwa yeyote,na uamuzi wa DPP kutumia powers zake za nolle,uamuzi huo ni wa mwisho, final and conclusive, na hauhojiwi na mamlaka yoyote, hata rais wa JMT,hawezi kuhoji!,hivyo na mimi naomba nisizitaje sababu nilizoelezwa,kwa sababu fulani!na naomba msiziulizie!

Wakati mimi nikiandika hapa leo kuwa DPP ataifuta kesi ya Lissu kwa nolle,siku ya tarehe moja,isikute hata DPP mwenyewe,saa hizi,hajajua kuwa ataifuta hiyo kesi hiyo tarehe 1 Julai kwasababu yeye DPP bado hajaambiwa!

Hii sio mara ya kwanza kwa mimi kuambiwa kitu,na kupewa sababu,huku mhusika mwenyewe hajaambiwa, na mimi huja kusema humu bila kuzieleza sababu!。

Mfano mzuri ni ule mwaka 2014,nilipoelezwa Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na
nilielezwa sababu lakini sikuzieleza humu!。

February Mwaka 2015,nilimshauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein na nilielezwa sababu ila sikuzitaja humu!,ila hili lilitokea!

Mwaka 2019 nilielezwa hili,nikaelezwa sababu,sikuzitaja,likatokea

Sio mara moja wala mbili, nilimshauri yule Blaza wangu mkubwa ampishe yule Dada ,

Kitu kizuri kuna baadhi ya ushauri wangu huwa unasikilizwa,mfano ushauri huu 。。。 na huu

Hata mgombea wa CCM 2025, nilielezwa na nikaambiwa sababu,nimeeleza tu nilicho elezwa,ila sijazieleza sababu

Je hizi sauti za the voices from within ni sauti ya nani na lazima itokee?
Jibu ni ,the real voices from within ni sauti yake YEYE, ila kuna YEYE ambaye ndie mwenyewe,na kuna yeye ambaye siye YEYE, lakini anapenda ku pose kama YEYE
,na sometimes huji superimposed kama YEYE kumbe sio YEYE bali ni yeye!。

Hivyo kama hiyo sauti nilioisikia ni yake YEYE mwenyewe ambaye ni YEYE,then tarehe 1 Julai,Lissu anaachiwa huru!,ikitokea asiachiwe,then hiyo sauti sio yake YEYE,ni sauti ya yeye!。

Hivyo suppose ni sauti yake YEYE,na Lissu anaachiwa,je
,Chadema itashiriki uchaguzi hata bila ya reforms?.

Chadema wakikubali kushiriki uchaguzi hata bila ya reforms,wana bonge moja la fursa。。。

Tundu Lissu akiachiwa huru,Chadema,wakaendelea kushikilia msimamo wao wa NRNE,I'm not sure what they are expecting to achieve kwa kususia uchanguzi,ila kitu ninachoelewa ni uchaguzi utakuwepo kama kawaida kwasabu Chadema has no ability,capacity wala capability to stop the election!。

Mungu Mbariki DPP aweze!
Mungu Ibariki Chadema to be able to do the right thing,
Mungu Ibariki Tanzania!

Paskali
Wakati mimi nikiandika hapa leo kuwa DPP ataifuta kesi ya Lissu kwa nolle,siku ya tarehe moja,isikute hata DPP mwenyewe,saa hizi,hajajua kuwa ataifuta hiyo kesi hiyo tarehe 1 Julai kwasababu yeye DPP bado hajaambiwa!🤔
 
Wanabodi

Leo saa hizi,ni usiku mkubwa!,hii ndio mida wenye mamlaka ya kweli,huongea na watu wao,, achilia hawa wenye mamlaka ya kukasimiwa,hapa tunazungumzia mamlaka iliyo KUU ya Ukweeli, achilia hizi
mamlaka za kuja na kupita za dunia hii,hapa nazungumzia mambo ya ulimwengu wa roho,sio huu ulimwengu wa mwili!。

Nilikuwa nasoma JF, jinsi Tundu Lissu,anavyokuwa treated kule mahabusu,mara ghafla nikaisikia ile sauti ya voices from within,ikiniambia Tarehe 1 Julai,Tundu Lissu ataachiwa huru kwa Nolle ya DPP !。 DPP ataieleza mahakama Kisutu kuwa serikali haina nia ya kuendelea na kesi hii!yaani, the government has no interest kuendelea na kesi ya uhaini!.

Hiyo voices from within, pia imenieleza sababu za DPP
kuifuta hii kesi kwa nolle!,lakini kwasababu kwa mujibu wa sheria,DPP anapoamua kuifuta kesi yoyote kwa nolle,hawajibiki kutoa sababu yoyote kwa yeyote,na uamuzi wa DPP kutumia powers zake za nolle,uamuzi huo ni wa mwisho, final and conclusive, na hauhojiwi na mamlaka yoyote, hata rais wa JMT,hawezi kuhoji!,hivyo na mimi naomba nisizitaje sababu nilizoelezwa,kwa sababu fulani!na naomba msiziulizie!

Wakati mimi nikiandika hapa leo kuwa DPP ataifuta kesi ya Lissu kwa nolle,siku ya tarehe moja,isikute hata DPP mwenyewe,saa hizi,hajajua kuwa ataifuta hiyo kesi hiyo tarehe 1 Julai kwasababu yeye DPP bado hajaambiwa!

Hii sio mara ya kwanza kwa mimi kuambiwa kitu,na kupewa sababu,huku mhusika mwenyewe hajaambiwa, na mimi huja kusema humu bila kuzieleza sababu!。

Mfano mzuri ni ule mwaka 2014,nilipoelezwa Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na
nilielezwa sababu lakini sikuzieleza humu!。

February Mwaka 2015,nilimshauri Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein na nilielezwa sababu ila sikuzitaja humu!,ila hili lilitokea! Elections 2015 - Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Mwaka 2019 nilielezwa hili,Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... nikaelezwa sababu,sikuzitaja,likatokea!

Japo ni kweli urais wa Samia ni kwa kudra ya Mwenyezi Mungu,tupo akina sisi,tuliona toka 2017 na tukasema humu Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Kitu kizuri kuna baadhi ya ushauri wangu huwa unasikilizwa,mfano ushauri huu 。。。 na huu

Hata mgombea wa CCM 2025, nilielezwa na nikaambiwa sababu,nimeeleza tu nilicho elezwa,ila sijazieleza sababu

Je hizi sauti za the voices from within ni sauti ya nani na lazima itokee?
Jibu ni ,the real voices from within ni sauti yake YEYE, ila kuna YEYE ambaye ndie mwenyewe,na kuna yeye ambaye siye YEYE, lakini anapenda ku pose kama YEYE
,na sometimes huji superimposed kama YEYE kumbe sio YEYE bali ni yeye!。

Hivyo kama hiyo sauti nilioisikia ni yake YEYE mwenyewe ambaye ni YEYE,then tarehe 1 Julai,Lissu anaachiwa huru!,ikitokea asiachiwe,then hiyo sauti sio yake YEYE,ni sauti ya yeye!。

Hivyo suppose ni sauti yake YEYE,na Lissu anaachiwa,je
,Chadema itashiriki uchaguzi hata bila ya reforms?.

Chadema wakikubali kushiriki uchaguzi hata bila ya reforms,wana bonge moja la fursa。。。

Tundu Lissu akiachiwa huru,Chadema,wakaendelea kushikilia msimamo wao wa NRNE,I'm not sure what they are expecting to achieve kwa kususia uchanguzi,ila kitu ninachoelewa ni uchaguzi utakuwepo kama kawaida kwasabu Chadema has no ability,capacity wala capability to stop the election!。

Mungu Mbariki DPP aweze!
Mungu Ibariki Chadema to be able to do the right thing,
Mungu Ibariki Tanzania!

Paskali
Unamchawia tu Lissu ili siku hiyo asiachiwe ndio maana unapost mida ya wanga
 
Kaka Mayala upo vizuri kumwombea rafiki yetu kaka yetu Lissu maisha anayoishi kwa ajili ya uroho wa madaraka watu wasio na ubinadamu wakati haki za binadamu na maabusu na wafungwa zipo.

Alivyojitetea kwa uchungu ile sauti yake imewafikia ila tumwogope Mungu kuweka maumivu kifuani. Lissu hana kinyongo na mtu ila tatizo lake ni katiba invyovunjwa hadharani wakati sheria anazijua na mtu taaluma yake.

Lakini kumbukumbu hazipotei kuna siku kizazi kijacho kitanyoosheana vidole. Matokeo yatatokea ya Israel na wapalestina tunayoyaona leo.

Kaka Lissu anateseka kwa asichokijua kama ni tafsiri inawashimda tunaowapa kazi au ni kutafuta madaraka tu au nikujikomba kwa mabosi hatukui, moana mimi na wewe hatujui.. Mimi na wewe hatujui kama ametenda kosa au la.

Tuwaombe wawafungulie na wakenya kesi kwa sababu tuna wataalamu wa vinu vya mtandaoni.

Tumwombee kaka yetu Lissu arudi uraiani na aendelee kupambana ili atimize ndoto yake. Kiukweli Lissu anawapenda watanzania wote matajiri na masikini.

Asanteni. No reform No election..
 
Kaka Mayala upo vizuri kumwombea rafiki yetu kaka yetu Lissu maisha anayoishi kwa ajili ya uroho wa madaraka watu wasio na ubinadamu wakati haki za binadamu na maabusu na wafungwa zipo.

Alivyojitetea kwa uchungu ile sauti yake imewafikia ila tumwogope Mungu kuweka maumivu kifuani. Lissu hana kinyongo na mtu ila tatizo lake ni katiba invyovunjwa hadharani wakati sheria anazijua na mtu taaluma yake.

Lakini kumbukumbu hazipotei kuna siku kizazi kijacho kitanyoosheana vidole. Matokeo yatatokea ya Israel na wapalestina tunayoyaona leo.

Kaka Lissu anateseka kwa asichokijua kama ni tafsiri inawashimda tunaowapa kazi au ni kutafuta madaraka tu au nikukpmoana mimi na wewe hatujui.. Mimi na wewe hatujui kama ametenda kosa au la.

Tuwaombe wawafungulie na wakenya kesi kwa sababu tuna wataalamu wa vinu vya mtandaoni.

Tumwombee kaka yetu Lissu arudi uraiani na aendelee kupambana ili atimize ndoto yake. Kiukweli Lissu anawapenda watanzania wote matajiri na masikini.

Asanteni. No reform No election..
Inasikitisha sana. Hata hivyi No reforms no election.
 
Back
Top Bottom