kushiriki uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri vyama vya siasa visivyo na sifa za kisheria kushiriki uchaguzi visipewe kipaumbele kwenye maridhiano ya hiyari ya kitaifa

    Ni muhimu zaidi vyama vya siasa vyenye sifa za kikatiba za kushiriki chaguzi ndio haswa viketi chini pamoja na kushauriana namna ya kuliunganisha taifa kwa hiyari katika maridhiano hayo miongoni mwa waTanzania. Hakuna haja, wala sababu hata moja ya kubabaika na porojo au masharti useless ya...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kisheria ni watu wangapi wanatakiwa kushiriki uchaguzi mkuu ili uwe halali kisheria?

    Hamjambo! Tume ya uchaguzi ilitangaza Mgombea wa CCM, Mhe Rasi, Samia Suluhu kushinda uchaguzi kwa kura zaidi ya 30M huku ikisema ni zaidi ya asilimia 97 na pointi huko. Mimi ni mmoja ya watu wanaoamini matokeo ya tume yanamakosa. Watu 30M kwangu naona ni uongo. Kutokana na kilichokuwa...
  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Askofu Gwajima amesema yupo tayari kushiriki Uchaguzi

  5. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenda kushiriki uchaguzi wakati kuna watu wametekwa na hawajulikani walipo ni kukosa utu, Ni kukosa uzalendo na kukataa misingi ya haki

    Unadiriki vipi kutoka kwenda kupiga kura wakati huo kiongozi wa chama cha upinzani yupo jela akituhumiwa kwa kesi ya uongo ambayo hatma yake ni kunyongwa? Unathubutuje kutoka kupiga kura huku kuna machozi na vilio vya watu kila kona ya nchi ambao ndugu zao wamepotezwa? unaendaje kushiriki...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gerson Msigwa: Watanzania wangekuwa hawataki kushiriki Uchaguzi 2025 wasingejitokeza kwenye kampeni

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025; Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi? Siamini kama Wananchi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais NCCR-Mageuzi asisitiza 'Asiyetaka kushiriki uchaguzi ni sawa na kuikataa Katiba'

    Mgombea urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi ameweka wazi msimamo wake kuhusu umuhimu wa wananchi kushiriki katika chaguzi nchini, akisisitiza kuwa ushiriki katika uchaguzi ni haki ya kikatiba na njia pekee ya kuchochea maendeleo ya taifa. Akiwasilisha mojawapo ya sera zake, mgombea huyo amesema...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Zitto: CHADEMA hawataki wenyewe kushiriki uchaguzi basi waache chokochoko

    Wakuu Ni kweli kauli hii imetolewa Zitto Kabwe "CHADEMA hawataki wenyewe kushiriki uchaguzi basi waache chokochoko"
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Askofu Gwajima amesema leo Septemba 27, 2025 atatoa ushauri watanzania kushiriki uchaguzi Oktoba 29

  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawakala wa Mabasi Dodoma wajidhatiti Kushiriki Uchaguzi

    Mawakala wa Mabasi Kituo Kikuu cha Mabasi Mkoani Dodoma wameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa ujenzi wa Kituo hicho, wakikitaja kama Mkombozi wa Vijana wengi Mkoani humo ambao wamekuwa wakijishughulisha na shughuli mbalimbali Kituoni hapo ikiwemo ujasiriamali na biashara ndogondogo...
  12. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Malawi: Wafungwa wagoma kushiriki Uchaguzi Mkuu

    Wafungwa wa gereza moja nchini Malawi wamewagomea maafisa wa tume ya uchaguzi baada ya kutoridhishwa sababu za wao kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Tukio hili limetokea wakati viongozi wa tume walipowatembelea na kuwajulisha jinsi watakavyoshiriki uchaguzi wa rais tu, wakiwajibu maafisa hao...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kanisa la katoliki lasisitiza watanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Hii ni kweli, kanisa la katoliki lawasisitiza watanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2025?
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mwabukusi: Watanzania wana wajibu wa kidemokrasia wa kushiriki uchaguzi

    Naombeni kujua hii una ukweli wowote?
  16. toriyama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatma ya Watanzania wanaoishi diaspora kushiriki uchaguzi mkuu 2025 bado haieleweki

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 2025 unakaribia kwa kasi, lakini bado Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanaendelea kutengwa na mchakato wa kidemokrasia. Pamoja na miaka ya mijadala na ahadi kutoka kwa viongozi wa kisiasa kuhusu mageuzi ya uchaguzi, hakuna hatua madhubuti zilizochukuliwa kuwezesha...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Katiba Ilidhamiria Watu Wawe Huru Kushiriki Uchaguzi kwa Uhuru wa Kuchagua Viongozi Wanaowataka na Uhuru wa Kugombea,Uhuru Huo Haupo!ni Dhambi Kubwa!

    Wanabodi Na leo ni kama jana mwendo wa Harusi ya Kana,nimekutana na kichupa kidogo kinaitwa Imagi!,hii kitu ni noma!nimezamisha kamoja tuu!kamenituma nishuke JF,natiririka tuu。。。 Mada ya leo ni kuhusu Katiba Ilidhamiria nini kuhusu haki ya kuchagua na kuchaguliwa。 Katiba ilidhamiria watu wawe...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa akiri kupokea barua ya CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  20. I

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura milioni 37 kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 utafanyika tarehe 29 Oktoba. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, tarehe 26 Julai 2025, alipokuwa akitoa ratiba ya uchaguzi. Uchaguzi huo utahusisha kuchagua Rais...
Back
Top Bottom