Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

PASKALI nimesoma andiko lako kwa tafakuri kubwa sana! Unaweza kuwa sahihi kwa sauti yako ya ndani ambayo iko juu ya uwezo wako kuweza kui control.. Lakini tukija kwenye uhalisia wa maandiko kwa imani ya mhusika ni kwamba wafu bado hawajafika peponi bali wote wako kaburini wakisubiri kiama ama mwisho wa dunia ambapo kila mtu atapewa hesabu yake
Niliwahi kuandika hapa kwamba zana ya pepo/peponi na Jehanum kuzimu iko pale kaburini, kwamba wale waliotenda mema roho zao ziko pale zimelala kwa utulivu lakini wale waliotenda mabaya (kwa tafsiri yoyote ya ubaya) roho zao zinahamanika na kuhangaika huko na huko, hiyo ndio tafsiri ya kuzimu/jehanum

Kwa upande wa karma.. Hii sote tunajua haikopeshi.. Tendo kwa tendo ..ubaya kwa ubaya na wema kwa wema.. Hivyo inategemea nani anaamini kwenye nini ndio atamuweka mhusika huko..

Kuna hili la mizania ya haki.. Hili hupimwa kwa matendo ya mtu mabaya na mazuri..Asili ndio huhukumu., hapa si dini bali ni asili, asili itakuchagulia njia yako kutokana na maisha uliyoishi kabla ya kifo

Hapa kuna ishu ya uumbaji ambayo kupitia mikono yake kwa tafsiri yoyote ile uumbaji huo uliumia, uliteseka na pengine kudhulumiwa haki ya kuishi.. Hapa ishu ni zile sauti zinazolia na kusononeka kwa namna yoyote ile.. Hapa ndio muunganiko wa mizania ya haki na asili hutokea... Kuna vitu viwili ambavyo kiimani vinapaswa kutendewa kwa tahadhari kubwa mno navyo ni uumbaji/uhai na ardhi.. Kwa waamini vitu hivi tumeonywa tusivichezee..!

LA mwisho ni hili la kuonya wadau wasiendelee kumsakama marehemu kwakuwa tayari alishafanya kitubio na yuko peponi..brother sidhani kama maneno yao yatakuwa na athari zozote kwenye hili.. Japo sasa kama ni kweli bado hata baada ya kufa watu wanaendelea kumsema vibaya basi lazima tutambue kuna tatizo kubwa mahali kuhusiana na yeye..!
Magufuli ni Mkatoliki.

Wakatoliki tunaamini katika aina mbili za hukumu baada ya kifo:
  • Hukumu binafsi mara tu unapokufa; ambapo utaenda ama mbinguni, toharani au motoni
  • Hukumu ya jumla au ya pamoja siku ya kiama; ambapo utaenda ama mbinguni ama motoni

Kwa kuwa Magufuli alipokea masakramenti kabla ya kifo chake, maana yake alikufa katika hali ya neema ya utakaso, ambapo;
  • Ameenda mbinguni moja kwa moja kama hakuwa na dhambi ndogo (which is more likely)
  • Ameenda toharani kutakaswa kabla ya kwenda mbinguni kama alikufa akiwa na dhambi ndogo alizozitenda baada ya kupokea masakramenti (which is less likely)

Uwezekano mkubwa ni yupo mbinguni anafurahi na malaika na watakatifu wengine wa Bwana.

Huu ni ukweli unaowauma sana CHADEMA, Mafisadi, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya na vibaraka wa mabeberu.

Poleni.
 
• Hukumu ya jumla au ya pamoja; ambapo utaenda ama mbinguni ama motoni siku ya mwisho wa dunia

Kwa kuwa Magufuli alipokea masakramenti kabla ya kifo chake, maana yake alikufa katika hali ya neema ya utakaso, ambapo;
• Ameenda mbinguni moja kwa moja kama hakuwa na dhambi ndogo (which is more likely)
• Ameenda toharani kutakaswa kabla ya kwenda mbinguni kama alikufa akiwa na dhambi ndogo alizozitenda baada ya kupokea masakramenti (which is less likely)

Uwezekano mkubwa ni yupo mbinguni anafurahi na malaika na watakatifu wengine wa Bwana.

Huu ni ukweli unaowauma sana CHADEMA, Mafisadi, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya na vibaraka wa mabeberu.

Poleni.
Hkna pepo ya hovyo hovyo Jehova haruhusu kbsa Ile kenge iingie mbinguni mafiii ya chato
 
Fuas la dictator utahangaika sana hilo joka shetani lililouwa watu saiv linalia kwa kisukuma mayuuuuu huku moto ukilichoma na Mungu alifanya vizuri kutuondolea hilo lishetan hasa sis huku kanda ya ziwa tuliumizwa sana na hilo uwaji kwa kuuwa ndugu zetu wavuvi kwa kuwatupa ziwani, likaanzisha amcos iliyosababisha hadi sasa baadhi ya ndugu zetu hawajalipwa hela zao za pamba kuanzia meatu,maswa, itilima,dutwa,bariadi,kishapu,kahama,ngudu(kwimba),magu,misungwi,sengerema,geita,chato,mbogwe,bukombe,busega na maeneo mengine chungunzima ndio maana kifo chake kilikua shangwe huku kanda ya ziwa

MBAYA ZAIDI: Lilipoiba uchaguz ndo tuliliona puuz kabisa, yanaohuzunika kifo cha hilo lishetani ni yale mazezeta ya ccm yaliyokuwa yamerundikana kwenye makorido ya lumumba kutukana viongoz wa chadema kisha yanateuliwa saivi yanahaha maana teuz zimeota mbawa na bado 2025 baada ya katiba mpya mtakimbilia burundi kumfata shetani wenu.
Kati yake na wewe; ni nani anateseka na kulialia? 😁
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Wee wakili vipi! Huyo hatarudi tena hata ukikata rufaa na ukawa na mashahidi kibao vikojozi harudi ng'o.
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.
Amekutuma umsemee? Atashughulikiwa according to matendo yake kama nae alivyowashughulikia watu wakaishi kama mashetani.👇
Screenshot_20220416-175354_Chrome.jpg
 
Pascal Mayalla , Mbinguni yuko Mungu, walio hai wanne, wazee ishirini na nne na malaika wengi wengi.

Waliotangulia roho zao zipo huko hewani kungojea parapanda ya mwisho ambapo kila mtu atapewa mwili mpya na kupewa sehemu yake kulingana na matendo yake.

Na roho nyingine za hao walio huko hewani (I.e mtu wako) zinaweza pewa viumbe wengine kama simba au chui etc. kabla hata ya parapanda ya mwisho

Huu ni unabii mkubwa Mshana Jr prove me wrong.
 
Loo! Haya maneno mazito yanafaa sana tukiwa makaburini tunakuzika wewe.
 
PASKALI nimesoma andiko lako kwa tafakuri kubwa sana! Unaweza kuwa sahihi kwa sauti yako ya ndani ambayo iko juu ya uwezo wako kuweza kui control.. Lakini tukija kwenye uhalisia wa maandiko kwa imani ya mhusika ni kwamba wafu bado hawajafika peponi bali wote wako kaburini wakisubiri kiama ama mwisho wa dunia ambapo kila mtu atapewa hesabu yake
Niliwahi kuandika hapa kwamba zana ya pepo/peponi na Jehanum kuzimu iko pale kaburini, kwamba wale waliotenda mema roho zao ziko pale zimelala kwa utulivu lakini wale waliotenda mabaya (kwa tafsiri yoyote ya ubaya) roho zao zinahamanika na kuhangaika huko na huko, hiyo ndio tafsiri ya kuzimu/jehanum

Kwa upande wa karma.. Hii sote tunajua haikopeshi.. Tendo kwa tendo ..ubaya kwa ubaya na wema kwa wema.. Hivyo inategemea nani anaamini kwenye nini ndio atamuweka mhusika huko..

Kuna hili la mizania ya haki.. Hili hupimwa kwa matendo ya mtu mabaya na mazuri..Asili ndio huhukumu., hapa si dini bali ni asili, asili itakuchagulia njia yako kutokana na maisha uliyoishi kabla ya kifo

Hapa kuna ishu ya uumbaji ambayo kupitia mikono yake kwa tafsiri yoyote ile uumbaji huo uliumia, uliteseka na pengine kudhulumiwa haki ya kuishi.. Hapa ishu ni zile sauti zinazolia na kusononeka kwa namna yoyote ile.. Hapa ndio muunganiko wa mizania ya haki na asili hutokea... Kuna vitu viwili ambavyo kiimani vinapaswa kutendewa kwa tahadhari kubwa mno navyo ni uumbaji/uhai na ardhi.. Kwa waamini vitu hivi tumeonywa tusivichezee..!

LA mwisho ni hili la kuonya wadau wasiendelee kumsakama marehemu kwakuwa tayari alishafanya kitubio na yuko peponi..brother sidhani kama maneno yao yatakuwa na athari zozote kwenye hili.. Japo sasa kama ni kweli bado hata baada ya kufa watu wanaendelea kumsema vibaya basi lazima tutambue kuna tatizo kubwa mahali kuhusiana na yeye..!
Ile kunguni inaoza Mzee, achana na hii pakacha
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.

Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.

Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.

Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.

Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!.
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.

Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili,

Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii

Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.

Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!.

Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!.

Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!.

Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.

Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali.

Mbingu ya Lubambagwe. Voice from within inanikumbusha Magufuli alisema Mayala kwa kisukuma ni njaa.
 
Magufuli ni Mkatoliki.

Wakatoliki tunaamini katika aina mbili za hukumu baada ya kifo:
  • Hukumu binafsi mara tu unapokufa; ambapo utaenda ama mbinguni, toharani au motoni
  • Hukumu ya jumla au ya pamoja siku ya kiama; ambapo utaenda ama mbinguni ama motoni

Kwa kuwa Magufuli alipokea masakramenti kabla ya kifo chake, maana yake alikufa katika hali ya neema ya utakaso, ambapo;
  • Ameenda mbinguni moja kwa moja kama hakuwa na dhambi ndogo (which is more likely)
  • Ameenda toharani kutakaswa kabla ya kwenda mbinguni kama alikufa akiwa na dhambi ndogo alizozitenda baada ya kupokea masakramenti (which is less likely)

Uwezekano mkubwa ni yupo mbinguni anafurahi na malaika na watakatifu wengine wa Bwana.

Huu ni ukweli unaowauma sana CHADEMA, Mafisadi, vyeti feki, wauza madawa ya kulevya na vibaraka wa mabeberu.

Poleni.
Uwezekano mkubwa ni yupo mbinguni anafurahi na malaika na watakatifu wengine wa Bwana.
Hivi unajitambua kweli wewe? Unawajua watakatifu wakoje? Labda ulimaanisha watakakitu
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.

Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.

Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.

Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.

Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!.
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.

Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili,

Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii

Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.

Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!.

Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!.

Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!.

Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.

Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali.

Bora ukae kimya asije kukuzaba vibao usiku mpaka usiamke. Hizo voice zako within nibora ukae kimya maana naona unabomya kifungo chekundu. Mmesema hakuwa mesiha nawengine wamesema Mungu ameamua, wengine wamesimama nakuongea walio ongea Thanks God Mungu anasikia nakujibu kwa sauti kama mtu anavyo payuka. Mungu hatopita Tz kimya yani.... 🤐
 
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Mada ya leo ni a bit abstract, ambapo Nimesikia sauti ya Voices From Within ikiniambia JPM yuko Mbinguni kwa Baba, hivyo nauliza swali, jee wajua kuwa JPM yuko peponi, Mbinguni, Kwa BABA YAKE?. Why watu wengine waendelee kumshutumu, kumsakama na kumsimanga?. Kwa nini asiachwe ajipumzikie zake kwa amani!. Mtu ameisha tangulia mbele ya haki, kwanini watu waendelee kumsema sema kwa ubaya.

Mimi mwana jf mwenzenu ni Mzee wa Sauti za Ndani "the inner voice", unafanya kitu fulani na mara unasikia sauti from within ikikuambia jambo fulani.

Angalizo kuhusu Abstract Topics.
Issues na mtu akiisha kufa, we all knows what happens to the body, but roho huwa inakwenda wapi, no one knows for sure, hivyo tunategemea mafundisho ya dini zetu.
Kuna sisi dini za wana wa Nabii Ibrahim, Wakristo na Waislamu tumefunzwa kuhusu mbinguni, peponi, ahera, jehanam ya moto wa milele, na kuna siku ya mwisho siku ya hukumu ya mwisho ya kiama atakapo rudi Mwana wa Adamu, ambapo kutakuwa na ufufuko wa miili na uzima wa milele.

Kuna wenzetu wa Buddhism na Hindu ambao ni waumini wa karma, wao wanaamini kwenye after life na incarnation.

Hakuna yeyote awaye yote aliwahi kufa akayashudia hayo na kurejea duniani kututhibitishia mbingu ipo, peponi kupo na motoni kupo, wala waumini wa reincarnation no one can say for sure alikuwa nani before, zaidi ya ushahidi wa deja vu, hakuna uthibitisho wowote wa reincarnation Ila kwa vile na mimi niliishi India, I know for sure karma ipo and it's for real!.
Hivyo hii mada ni mada ya imani, kama wewe huamini, please keep your faith nakuomba usibeze imani za wengine, ukijiona huamini, nakuomba jipitie zako kimya kimya, tuache sisi waumini.

Leo asubuhi nilikuwa nasoma michango ya wachangiaji wa bandiko langu hili,

Kuna mtu akachangia kitu, katika kumjibu nikatumia link hii

Sasa ni wakati nasoma bandiko lenyewe, na naomba nililete hapa bandiko lenyewe lote kwa faida ya wavivu to follow links.

Ndipo nikaisikia sauti, voices from within kuwa JPM yuko peponi, ahera, mbinguni kwa Baba!.

Kwa kawaida ya sauti, huwa inakuambia tuu kitu na haikupi sababu, hivyo naomba msiniulize sababu, hapa kazi yangu ni moja tuu kuwaeleza kile nilichosikia Leo ni JPM yuko peponi!.

Hivyo baada ya kuisikia hiyo sauti nikamsikiliza tena JPM kwa makini sana katika video hii
Nimejirisha bila chembe ya shaka, huyu mtu yuko mbinguni kwa Baba yake!.

Hapa simaanishi kuwa JPM yuko peponi kwasababu he is perfect kama malaika, no!. JPM was a human being hivyo he is not perfect and no one is perfect, kilichofanya hiyo sauti ni despite his human mistakes JPM alitubu kabla ya umauti na kusamehewa makosa yake yote, na ndio maana nimeambiwa, sasa he is in heaven now!.

Kwa bandiko hili, sasa ningewaomba watu humu, kutoendelea kumsakama, kumshutumu, kumsimanga na kuendelea kumsema vibaya, na badala yake tumwache apumzike kwa amani. Kama Mungu mwenyewe amemsamehe na kumuita kwake, who are you kuendelea kumsema sema vibaya?.

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali.

Kwa hivyo mtu anapofariki ndiyo amesamehewa?
 
Magufuli ni Mkatoliki.

Wakatoliki tunaamini katika aina mbili za hukumu baada ya kifo:
  • Hukumu binafsi mara tu unapokufa; ambapo utaenda ama mbinguni, toharani au motoni
  • Hukumu ya jumla au ya pamoja siku ya kiama; ambapo utaenda ama mbinguni ama motoni

Kwa kuwa Magufuli alipokea masakramenti kabla ya kifo chake, maana yake alikufa katika hali ya neema ya utakaso, ambapo;
  • Ameenda mbinguni moja kwa moja kama hakuwa na dhambi ndogo (which is more likely)
  • Ameenda toharani kutakaswa kabla ya kwenda mbinguni kama alikufa akiwa na dhambi ndogo alizozitenda baada ya kupokea masakramenti (which is less likely)

Uwezekano mkubwa ni yupo mbinguni anafurahi na malaika na watakatifu t
Unahubiri ushetani we kibaraka mkubwa ukatoliki gani unaruhusu kuteka na kuua wengine halafu utakaswe kirahisi hivyo.
Lipo motoni linagugumia au lilikuwa shetani lililogeuka binadamu kwa muda mfupi sasa hivi ni shetani pure linye mikia na pembe huko jehanam.
 
PASKALI nimesoma andiko lako kwa tafakuri kubwa sana! Unaweza kuwa sahihi kwa sauti yako ya ndani ambayo iko juu ya uwezo wako kuweza kui control.. Lakini tukija kwenye uhalisia wa maandiko kwa imani ya mhusika ni kwamba wafu bado hawajafika peponi bali wote wako kaburini wakisubiri kiama ama mwisho wa dunia ambapo kila mtu atapewa hesabu yake
Niliwahi kuandika hapa kwamba zana ya pepo/peponi na Jehanum kuzimu iko pale kaburini, kwamba wale waliotenda mema roho zao ziko pale zimelala kwa utulivu lakini wale waliotenda mabaya (kwa tafsiri yoyote ya ubaya) roho zao zinahamanika na kuhangaika huko na huko, hiyo ndio tafsiri ya kuzimu/jehanum

Kwa upande wa karma.. Hii sote tunajua haikopeshi.. Tendo kwa tendo ..ubaya kwa ubaya na wema kwa wema.. Hivyo inategemea nani anaamini kwenye nini ndio atamuweka mhusika huko..

Kuna hili la mizania ya haki.. Hili hupimwa kwa matendo ya mtu mabaya na mazuri..Asili ndio huhukumu., hapa si dini bali ni asili, asili itakuchagulia njia yako kutokana na maisha uliyoishi kabla ya kifo

Hapa kuna ishu ya uumbaji ambayo kupitia mikono yake kwa tafsiri yoyote ile uumbaji huo uliumia, uliteseka na pengine kudhulumiwa haki ya kuishi.. Hapa ishu ni zile sauti zinazolia na kusononeka kwa namna yoyote ile.. Hapa ndio muunganiko wa mizania ya haki na asili hutokea... Kuna vitu viwili ambavyo kiimani vinapaswa kutendewa kwa tahadhari kubwa mno navyo ni uumbaji/uhai na ardhi.. Kwa waamini vitu hivi tumeonywa tusivichezee..!

LA mwisho ni hili la kuonya wadau wasiendelee kumsakama marehemu kwakuwa tayari alishafanya kitubio na yuko peponi..brother sidhani kama maneno yao yatakuwa na athari zozote kwenye hili.. Japo sasa kama ni kweli bado hata baada ya kufa watu wanaendelea kumsema vibaya basi lazima tutambue kuna tatizo kubwa mahali kuhusiana na yeye..!
Naunga mkono hoja!! Ile TAKATAKA haiwezi kufika peponi kamwe!! Mahali lake ni jehanamu tu.

Wao wenyewe chini ya Kassim Majaliwa walimdhihaki. Kumtembeza mitaani kwenye miji ya Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Geita kiasi hicho ni UDHALILISHAJI wa hali ya juu sana.

Kumbeukeni Magufuli alikuwa analindwa na kikosi Maalum cha Askari wenye sare na wasii na sare, Askari wenye mabastola na AK 47, Askari wenye ving'amuzi vya kwenye laptop, magari ya Internet Jammer na utambuzi wa vilipuzi. Na mwisho alikuwa na Helicopter juu angani!! Majaliwa alimtembeza kama samaki wa feri waliochina, ndiyo aende Pepo gani huyo?
 
Majaliwa alimtembeza kama samaki wa feri waliochina, ndiyo aende Pepo gani huyo?
 
Back
Top Bottom