KMMS
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 304
- 583
Habari Vodacom!
Nimesajili line yangu ya Vodacom kwa Alama za Vidole kama tulivyoelekezwa, Changamoto ninayoipata ni kwamba kuna baadhi ya huduma ninazikosa kutoka kwenu
Napata meseji inanambia Usajili wangu Haijakamilika,Huduma ninayoikosa ni Kukopa M-Pawa na Kuvuna Tuzo Pointi.
Nafanyaje kutatuliwa Tatizo langu.