Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

MIE NILIMTUMIA MTU HELA TIGO KUTOKA NAMBA YANGU YA VODA (MUHAMALA :7DS23N58W9C). MUHUSIKA AKAJA KUNIAMBIA NAMBA IMEFUNGIWA NA HATAWEZA PATA HIYO HELA. NIKAWAPIGIA TIGO HELA WAKAIRUDISHA NDANI YA MASAA 48 KAMA WALIVYONIAMBIA NA NIKAPATA NA MESEJI KUTOKA VODA. LAKINI HELA IKAWA BADO HAIJAINGIA KWENYE ACCOUNT YANGU YA MPESA. LAKINI IKO VODA.
NIKAWAPIGIA VODA MARA YA KWANZA , WAKASEMA HELA ITAINGIA KWENYE ACCOUNT YANGU NDANI YA SIKU 5.
SASA INAISHA WIKI YA PILI HELA BADO SIJAPATA. KILA NIKIWAPIGIA WANASEMA HELA NITAPATA NDANI YA MASAA 48 LAKINI HOLA. NAMIE SIJACHOKA NAWAPIGIA MPAKA HELA YANGU WARUDISHE.

SASA KUNA WANGAPI HELA ZAO ZINAPOTEA KIMTINDO HUU. AMBAO HAWANA MDA WA KUPIGA SIMU MARA KWA MARA. HUU NI KAMA UWIZI...
TCRA MUANGALIE HII MIHAMALA INAYOKOSEWA NA KUWA HAIJAMFIKIA MTUU YEYETO IKO TUU APO VODA. HAWAIRUDISHI KWA MWENYEWE AUTOMATIC MFAIDIKA NI NANI.
Voda watakuwa wanapeleleza kwa nini huyo mtu namba yake imefungiwa je Ni jambazi na wewe je ni au Ni kundi la wale akina tafadhali nitumie kwa namba hii?

Tusaidie kwa Nini namba ya huyo uliyemtumia ilifungiwa?
 
Voda ninehama sababu hio.. unakuta nina mb 500 nadownload movie ya mb 320 na mb zote 500 zinaisha... nimewalalamikia sana naona hawanipi majibu ya kuridhisha nikarudi zangu nyumbani TTCL.. ttcl nikichukua bando la mb 600 unatumia hadi unachoka mwenyewe..

Voda ni wezi
Voda ni wezi
Voda ni wezi
Voda ni wezi
😂 😂 😂 elimu ndo umekosa ndugu yangu,
 
elimu ya jinsi bundle zinaenda ndo huna we unataka ukiweka mb 500 bas udownload 500mb movie 😂 😂 😂
Uwe unasoma unaelewa ndio unaquote vitu..
Mimi point yangu ni kwamba mb 500 za voda na mb 500 za ttcl matumizi ni tofauti kabisa..

Voda mb 500 zinaisha kwa kudownload kitu cha mb 300.. lkn ttcl unachukua kitu cha mb 300 na bado unaingia youtube kufanya mambo memngine..

Hio elimu kwanini iapply voda tu na sio mitandao mingine??
 
Elimu gani?

ingawa sio kosa lako kwa sababu ni field pia ya kusomea ila bundles hua na njia yake ya kuhesabu , its a bit complicated nkianza kukutajia apa but haiwezekan uweke 500Mb then udownload 500mb , there alot of things behind but hata ukienda kwenye simu yako sehem ya data usage ukiangalia idadi iliopo pale na bundle ulilotumia hua ni different
 
Uwe unasoma unaelewa ndio unaquote vitu..
Mimi point yangu ni kwamba mb 500 za voda na mb 500 za ttcl matumizi ni tofauti kabisa..

Voda mb 500 zinaisha kwa kudownload kitu cha mb 300.. lkn ttcl unachukua kitu cha mb 300 na bado unaingia youtube kufanya mambo memngine..

Hio elimu kwanini iapply voda tu na sio mitandao mingine??

some networks have lower charges for social networking sites or even no charges at all for them:
 
ingawa sio kosa lako kwa sababu ni field pia ya kusomea ila bundles hua na njia yake ya kuhesabu , its a bit complicated nkianza kukutajia apa but haiwezekan uweke 500Mb then udownload 500mb , there alot of things behind but hata ukienda kwenye simu yako sehem ya data usage ukiangalia idadi iliopo pale na bundle ulilotumia hua ni different
Mkuu mimi sijaweka mb 500 nikategemea kudownload kitu cha mb 500.. kwanza nnajua hata pages zenyewe zinakula mb.. kuna background apps n.k.

Lakini mimi nimefanya comparison ya voda na mitandao mingine.. kuwa muelewa.
 
Customer care yao ni mbovu sana. Walishakula hela zangu na service sikupata.nikawaandikia email kupitia website yao wakanijibu utumbo.
 
Ndugu zangu mitandao hii inaitafuna nchi wanavyotaka maana ni kama hakuna taasisi inayowafuatilia. Mpaka huwa najiuliza haomaofisa wa TCRA wao wanatumia mitandao gani.

Back to my point.
Vodacom ukiingia kwenye vifurushi vyao vya mitanadao yote utakuta wamesema dakika labda 100 kwa sh 1000 kwa masaa 24 mitandao yotr lkn cha ajabu ukinunua hicho kifurushi wanakutumia sms kwamba unepata dakika 30 mitandao yote ( si 100 tena) alaf dakika 70 voda kwenda voda. Sasa mimi najiuliza kwenye menu yao wamesema mitandao yote ukinunua dakika zinapunguzwa. Why.

Na hii si tu kwa kifurushi cha 1000 bali ni vifurushi vyote vya mitandao yote.

Huu ni wizi kwa wateja wenu. Kwa nini msifafanue kwenye menyu tu kuliko kusema unapata dakika za kitandao yote lkn ukinunu unakuta only 25% ndio mitandao yote.

VODACOM ACHENI WIZI
 
Ivi vodacom, online customer service yenu ni pambo tu ama? Maana naona haina msaada wowote. mmeweka ma Chat bots tu hapo ikifika swala lenyewe unapigwa que. Jirekebisheni mnalalamikiwa sana
 
Ukitaka kujua umahiri, ufanisi, ubora na uwepo wa TCRA, tofautiana na wakubwa. Huku kwingine utajitaabisha tu.

Hawa jamaa hawajawahi kuwa upande wa wananchi. Watu wanalalamika huduma mbovu, wao kimya, vifurushi vya ajabuajabu, wao kimya tu, kesi za miamala, hawachukui hatua yeyote, zile sms za tuma pesa na utapeli mwingi, wamenyamaza tu.

Hayo kwao sio kitu cha msingi ila wanakuja na vitisho kwa magroup au yeyote atakaesambsza taarifa za maambukizi ya Corona. Wajitafakari.
Labda imenunuliwa na mchina
 
Kero yangu ni pale unapoweka salio unapokea msg kibao, hivi hakuna uwezekano wa kupunguza huo wingi wa hizo msg, fanya sammery walau ije msg 1 au 2
 
mimi hapa kuna tatizo nilipata pale ambapo nilijisajili line yangu kuwa ya chuo nikiwa na sifa zote kama mwanachuo wa Mzumbe main campus, pia na kitambulisho cha chuo, line ilikubali kwa kama wiki mbili lakini baada ya hapo ikatolewa kwenye huduma hiyo wakidai sina sifa, nilifuatilia kwenye ofisi zao nilipokua dar lakin haikufanikiwa mpaka leo (0742420404)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom