Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Habari Vodacom!

Nimesajili line yangu ya Vodacom kwa Alama za Vidole kama tulivyoelekezwa, Changamoto ninayoipata ni kwamba kuna baadhi ya huduma ninazikosa kutoka kwenu

Napata meseji inanambia Usajili wangu Haijakamilika,Huduma ninayoikosa ni Kukopa M-Pawa na Kuvuna Tuzo Pointi.
Nafanyaje kutatuliwa Tatizo langu.
 
Wazee nimeanza kutumia voda baada ya kuchoshwa na spidi ya kobe toka halotel ila awa voda yani spidi yao iko fasta lakin bando halikai yani fasta tu limeisha
Tatizo nini?
 
Wazee nimeanza kutumia voda baada ya kuchoshwa na spidi ya kobe toka halotel ila awa voda yani spidi yao iko fasta lakin bando halikai yani fasta tu limeisha
Tatizo nini?
Mkuu haya majuto nilidhan yananikuta mm tu,, coz asubuh hii nimenunua vocha ya hero nkajiunga MB 100 nimeanza kuperuzi tu Opr/min naambiwa zimebaki MB 58
Hawa voda ni wezi aisee
 
Wazee nimeanza kutumia voda baada ya kuchoshwa na spidi ya kobe toka halotel ila awa voda yani spidi yao iko fasta lakin bando halikai yani fasta tu limeisha
Tatizo nini?

Jamaa wezi sana...wanakula bundle kimasihara

Mi nshahamia airtel
 
Voda ninehama sababu hio.. unakuta nina mb 500 nadownload movie ya mb 320 na mb zote 500 zinaisha... nimewalalamikia sana naona hawanipi majibu ya kuridhisha nikarudi zangu nyumbani TTCL.. ttcl nikichukua bando la mb 600 unatumia hadi unachoka mwenyewe..

Voda ni wezi
Voda ni wezi
Voda ni wezi
Voda ni wezi
 
Mkuu haya majuto nilidhan yananikuta mm tu,, coz asubuh hii nimenunua vocha ya hero nkajiunga MB 100 nimeanza kuperuzi tu Opr/min naambiwa zimebaki MB 58
Hawa voda ni wezi aisee
Nadhani leo asubuhi walikua kwny operation za wizi,nimenunua mb 1000 nikatumia only 40MB (nina internet speed meter hua inanionyesha mb nilizotumia),ghafla ma nyan'gau wakatuna msg Mb zangu zimeisha.

Jinga sana.
 
Wazee nimeanza kutumia voda baada ya kuchoshwa na spidi ya kobe toka halotel ila awa voda yani spidi yao iko fasta lakin bando halikai yani fasta tu limeisha
Tatizo nini?
Jaribu kuangalia matumizi yako mwenyewe

Halotel kwa sasa inachosha
 
vodacom mmenidhurum till yangu, nimepeleka vielelezo vyakutengenezewa til tangu mwezi wapili 20, lakin chenga nyingi, wengine wa nyuma yangu wameshapata! nikienda nilipoombea till chenga nxingi sana!
 
MIE NILIMTUMIA MTU HELA TIGO KUTOKA NAMBA YANGU YA VODA (MUHAMALA :7DS23N58W9C). MUHUSIKA AKAJA KUNIAMBIA NAMBA IMEFUNGIWA NA HATAWEZA PATA HIYO HELA. NIKAWAPIGIA TIGO HELA WAKAIRUDISHA NDANI YA MASAA 48 KAMA WALIVYONIAMBIA NA NIKAPATA NA MESEJI KUTOKA VODA. LAKINI HELA IKAWA BADO HAIJAINGIA KWENYE ACCOUNT YANGU YA MPESA. LAKINI IKO VODA.
NIKAWAPIGIA VODA MARA YA KWANZA , WAKASEMA HELA ITAINGIA KWENYE ACCOUNT YANGU NDANI YA SIKU 5.
SASA INAISHA WIKI YA PILI HELA BADO SIJAPATA. KILA NIKIWAPIGIA WANASEMA HELA NITAPATA NDANI YA MASAA 48 LAKINI HOLA. NAMIE SIJACHOKA NAWAPIGIA MPAKA HELA YANGU WARUDISHE.

SASA KUNA WANGAPI HELA ZAO ZINAPOTEA KIMTINDO HUU. AMBAO HAWANA MDA WA KUPIGA SIMU MARA KWA MARA. HUU NI KAMA UWIZI...
TCRA MUANGALIE HII MIHAMALA INAYOKOSEWA NA KUWA HAIJAMFIKIA MTUU YEYETO IKO TUU APO VODA. HAWAIRUDISHI KWA MWENYEWE AUTOMATIC MFAIDIKA NI NANI.
 
MUHAMALA WANGU WA REFERENCE NUMBER 7DS23N58W9C SASA UNAENDA WIKI YA PILI SASA KILA NIKIPIGA SIMU NAAMBIWA NDANI YA MAASAA 48 UTARUDI LAKINI HAURUDI. HUU SIO UWIZI . JEE NISIPO PIGA SIMU HELA NDIO HAIRUDI NA INAENDA KWA NANI. ??
HII SIO SAWA KABISA
 
Kosa lako unafokea Vodacom kuwa mpole unapotuma hela unatakiwa uhakiki kwanza wewe unatwanga tu zikishaenda ndio unajua imefungiwa au imekosewa??
 
Ukitaka kujua umahiri, ufanisi, ubora na uwepo wa TCRA, tofautiana na wakubwa. Huku kwingine utajitaabisha tu.

Hawa jamaa hawajawahi kuwa upande wa wananchi. Watu wanalalamika huduma mbovu, wao kimya, vifurushi vya ajabuajabu, wao kimya tu, kesi za miamala, hawachukui hatua yeyote, zile sms za tuma pesa na utapeli mwingi, wamenyamaza tu.

Hayo kwao sio kitu cha msingi ila wanakuja na vitisho kwa magroup au yeyote atakaesambsza taarifa za maambukizi ya Corona. Wajitafakari.
 
TCRA
Kwenye Makampuni ya cm hapa Wanapwaya sana
Vifurushi,Miamala Kama hawapo
Makampuni yanajifanyia yatakavyo
 
Back
Top Bottom