Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Kwa ulivyoweka namba yako ya simu. Bora uanze kutumia jina halisi tu. Maana kupitia M-Pesa, jina lako linafahamika.
 
mi naona hawa tigo ndo mtandao pakee unaojitahidi kuhudumia vizuri wateja wake. karibu mkuu.
 
vodacom sijui wamekuaje hata kwenye mpawa ndo kabisa ukikopa mfano 30000 unapewa 27000 ukija kurudisha una rudisha 35000.mpaka nilishangaa
 
Wanachonishangaza mimi eti namba ya voda isiyotumika mara kwa mara ina ofa nzuri ya kwako kkuliko namba inayotumika mara kwa mara.

Ndo matatizo ya kuleta watendaji wakuu ambao hawana uchungu na company
 
Voda wajinga sana! Kwao ukitaka kutumia SIMBanking eti mpaka uwe na Airtime ilhali mitandao mingine unatiririka tu na miamala hata kama una zero balance.
 
Voda wajinga sana! Kwao ukitaka kutumia SIMBanking eti mpaka uwe na Airtime ilhali mitandao mingine unatiririka tu na miamala hata kama una zero balance.
 
Pumbaavu voda..... ETI YA KWANGU TU NI SHILINGI 500 M 300 KWA WIKI NA SHILINGI 10000 GB 10 KWA WIKI..... hawataki kunipa hizo za kwangu tu za buku, buku mbili na buku tano .
NAHAMA VODA.
 
Ni kweli mtandao wa Vodacom ni Wezi kwasababu:-

Hii wanayoita Units, kwamba sijui unit 1 ni sawa na dakika 1 ni uongo mtupu

Pia hata dakika, ukiona wanakuambia ukijiunga na yatosha ya 600 ni dk 30 ni UONGO TU hazifiki

Hata SMS wakikuambia SMS 100 za cheka ukituma tu 20 zimekwisha paap.

Kifupi NI WAONGO SANA
 
Walileta jimwage na cheka yenye dakika za kutosha vodacom -vodacom kwa 1000 ila wakiona watu wanajiunga sana wanabadilisha kwa kupunguza dakika au kuongeza pesa

Hata SMS za mwezi wameshaongeza tena gharama za kujiunga

Ni bora kabisa kurudi AIRTEL tu kama mwanzoni.
 
Mimi kwangu kwa sasa ni vodaaa com kwa kwenda mbele halotel nimetupa kulee toka mwezi wa pili.

Japo vifurushi vinabadirika badirika ila wako vizuri.

Jamani unaambiwa kuwa ni promotion ujue kuwa kuna kipindi huduma itaisha siyo permanent sasa unalalamika kama siyo promotion vile
 
Acha kudandia train kwa mbele. Hujaelewa unakimbilia kureply
 
Back
Top Bottom