Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Huwa nikiacha salio mara nyingi sh. 500 likae hadi asubuhi huwa haifiki kesho yake vodacom wanakata. Hata kama data nimezima na simu haitumiki salio linakatwa.

Nimechunguza mara nyingi vodacom wanakata salio hilo usiku sana ikishapita saa 6 usiku. Na siku zote wanakata kiasi kilekile sh. 99
Je vodacom hii pesa mnayokata ni ya nini? Huu sio wizi kweli?..
 
makato yao ya m pesa kwenda ktk kampun za betting yapo juu mno jamana nawashaur vodacom hawana maana mitandao mingine safi kabisa

elfu moja wanakata 245 wakat tigo kwenda meridian ni 50 ukituma buku ndo maana yanatangaza faida piga sana watanzania staki hata kuwasikia hawa wezi.
 
Nimegundua, nikiacha salio kwenye simu kuna kiasi kinakatwa usiku.
Mara ya kwanza nilifikiri labda huwa naacha data bila kuzima.
Nimefuatilia mara nyingi nimegundua salio linakatwa hata kama simu haitumiki na data zimezimwa kabisa.

Nimegundua kiasi kinachokatwa ni kiwango kilekile mara zote. Ukifika usiku naacha salio la sh. 500, hapo nakuwa nimezima data na simu haitumiki lakini ikifika asubuhi nikiangalia salio nakuta sh 401.

Je hii pesa huwa inaenda wapi, mnanikata kwa huduma gani?... Ni mara nyingi nimefanyiwa hivi, nakatwa sh. 99. Yaani kiasi kilekile mara zote.
 
Vifurushi vya internet vimekuwa vikibadishwa kila siku yaani vinashushwa leo nilitaka kuunga "ya kwa ko internet nmekuta vimeshuka kutoka MB3205 kwa wiki ila leo nakuta sh. 2000 kwa Mb 350 kwa siku 5 na sh. 10000 mb 3000 kwa siku 7 ..kwaherini voda mmekuwa wapumbavu kupita kiasi
 
OPole Sana wameniibi
 
Yaani Nilijua Nimimi Tuuh Nami Naona wamenibadirishia Toka 2000 MB3072 Mpka MB350 Kwa Siku 5 yaani Nimejikuta Nashangaa Kuzani labda Nimeibiwa.

Vodacom Nilihama Mtandao Flani Kuja kwenu Ila Naona Mnataka Nihame Kwenu Nirudi Nilikotoka.

Mnahuduma Za Gharama Ya juu Sana, Lol!!
 
Airtel wako poa sana 1500 dakika 150 na MB 750 kwa wiki
 
Mimi nashangaa sana

Menenger masoko wa voda sijui anafikiri kwa kutumia kitu gani?
Utakuta mtu anatumia line ya voda kwa week mara moja yaani line ya kwenye wailet ,Lakini huyo mtu ndio anapewa ofa kubwa ya internet kuliko yule mteja pamanet huku ni kuvunjana moyo

Mteja wako pamanet ndio wa kumnyenyekea ndio anaetangaza mtandao wako ndani na nje ya nchi
Mteja pamanet ndio wa kupewa ofa kubwa

Silioni ili likifanyka ndani ya mtandao wa voda hata mama ntilie anamthamini sana mteja wake anaekula kwake kila siku kuliko mpita njia nyie voda hiki kitengo cha menenger masoko mmempa mwanamke nini?

Sababu mwanamke anajitoa sana kwa mchepuko wake kuliko kwa mumewe
Yaani utakuta mke wa ndoa yuko tayari kumpa hata tig* *o mchepuko wake kuliko kumpa mumewe

Voda badilikeni sana acheni kuishi kwa mazoea.
 
Vodacom Huu Ni Utapeli Ama?

Nilijiunga na kifurushi cha "Cha Kwangu tu", wiki 2 zilizopita ,kwa kiasi cha shilingi elfu 2 nikapewa 5GB internet bundle.Nitumie kwa mwezi mzima.Kitu cha ajabu juzi siku ya jumapili mkapunguza kutoka hizo 5GB na kunipa 200MB ambazo mpaka sasa zimekwisha.

Kama mlikuwa mbabadilisha hiyo package kwanini hamkusubiri nimalize mwezi kama makubaliano/mkataba ulivyohitaji?

Kwa jinsi mnavyofanya mambo kiholelaholela sidhani kama mnaweza nishawishi niendelee kuwa mteja wenu.
 
jamani namba yangu ya voda kila nikipigiwa na watu wa tgo naambiwa namba haipo na ukitumiwa sms na watu hao hao wa tgo sms inakuletea ujumbe fail to deliver naomba ushauri nimeenda voda mpaka wao wameshindwa naomba wataalamu zaidi wanisaidie. Namba ni ...
 
Sajili laini nyingine .
 
Back
Top Bottom