Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Arusha huwezi linganisha na Dar.. Dar habari nyingine mkuu.. hao wa Dar wa chafu labda kama Sinza..
Nipo Dar, nawaona jinsi walivyo...ni wachafu sana...na mikorogo yao wanayopaka usoni mpaka inayeyuka na hili joto sasa...wananuka wanawake wa Daslama
 
Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya..

Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila descent na hawana njaa njaa yan mtu unainjoi hata kampani yake ..

Hivi wakulungwa wa sehem za burudan Dar , hizi sehemu zipo ? Kama zipo tuelekzane watu tunaopenda classic tufike tupate burudani...kuna nliyoambiwa tiffany & diamond

Hizi sehemu zingine za kihuni na biashara za kihuni za kununua sex tena kwa wahuni wengine wanavuta sigara wengine wanakula ugoro wananuka mijasho wengine hatuwezi
Asante mkuu kwa kuanzisha uzi huu wa maana kabisa. Naomba usisahau kunitag utakapopata majawabu kutoka kwa wakulungwa wa viwanja.
 
Wapi hii mkuu? Ni Dar au mkoani?
Mkuu, hii video nimeitoa kwa Jasusi, sidhani kama bongo, ila nimevutiwa sana na kimiondoka wiki kadhaa sijazo nitampa Dj hela na playlist atupigie kama hii, huku nikiwa nimekamatia kiuno kama hivyo msela kama anapiga geta
 
Mkuu, hii video nimeitoa kwa Jasusi, sidhani kama bongo, ila nimevutiwa sana na kimiondoka wiki kadhaa sijazo nitampa Dj hela na playlist atupigie kama hii, huku nikiwa nimekamatia kiuno kama hivyo msela kama anapiga geta
Ok sawa mkuu. Nilidhani ni bongo nikatie timu mapema kabla mambo hayajawa mengi.
 
Nenda sehemu yeyote tuu mkuu uwe huru na mazingira yako ila ufuate kilicho kupeleka tuu.. Kama ni mpira, pombe au muziki.
Yeye anakuambia anatafuta totoz wewe unamwambia pombe tena mkuu? Usimtishe!
 
Back
Top Bottom