Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Ili uwe unakageuza kama chapati 🤣🤣🤣🤣
😁😁 ukute portable, kana vidole virefu flani vizuri, mikononi na miguuni alafu kama pua ndefu, na lipsi flani hivii.. na tu hips twa mbali.. kama Ethiopian girl ni 🔥🔥🔥🔥🔥... hukinai mwanawane
 
Ili uwe unakageuza kama chapati 🤣🤣🤣🤣
Mwanawane nafika hapo soon, ingawana Mrs none anataka nauli
Screenshot_20250803-203426.png
 
Usiende mwenyewe, kuna Dj pale ananikosha sana kuna siku alipiga Modern southern soul songs 🙌🏽 nilitamani nilale pale pale.
Ninapo ishia na Bara Beach kwa kutembea nj dk hata saba hazifiki, ila sijawai kanyaga... leo napitia huu uzi umenipa mzuka niende..
 
Sometimes unapokuwa na hela hutamani kua sehemu ambayo sawa kuna wadada ila ukiwaangalia tu anakuja mezani kwako ama sehemu ulipo anaanza kukuambia twende tukapumzike ama naomba ninunulie bia, hapo hata personal hygiene yake ni mbaya..

Napenda sehemu ambazo za kistaarabu kuna pisi kali sawa ila descent na hawana njaa njaa yan mtu unainjoi hata kampani yake ..

Hivi wakulungwa wa sehem za burudan Dar , hizi sehemu zipo ? Kama zipo tuelekzane watu tunaopenda classic tufike tupate burudani...kuna nliyoambiwa tiffany & diamond

Hizi sehemu zingine za kihuni na biashara za kihuni za kununua sex tena kwa wahuni wengine wanavuta sigara wengine wanakula ugoro wananuka mijasho wengine hatuwezi
Dsm hakuna, labda Arusha...Wanawake wa Daslama ni wachafu sana na hakuna asiyenuka majasho
 
Uzuri karibu na kwangu, nikiboreka narudi kulala au naenda kidimbwi.. Dj wao mkali, huwa hata nikiacha madirisha wazi naburudika kama tu waliopo beach 😅😅
Mkuu inaelekea utakua karibu sana hapo eeeh..
 
Back
Top Bottom