Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Viwanja vya kistaarabu vya kula bata na wadada classic

Kwaio mkuu uhurumoja unaniambia hizo sehem ulizonitajia nikifika sitaombwa bia na kuambiwa matatizo ya ukoo mzima ..na zaid wanajipenda yan wananukia hata bia zao ni flying fish sio safari...kama pombe kali basi vodka
Marashi ya kunukia hata pale cheupe njee sinza wadada wanajipenda na kwa kununua manukato kwa buku dah kwa kweli dar mishe nyingi sana,ila acheni kununua dada poa sio poa
 
Marashi ya kunukia hata pale cheupe njee sinza wadada wanajipenda na kwa kununua manukato kwa buku dah kwa kweli dar mishe nyingi sana,ila acheni kununua dada poa sio poa
🫩🫩 acha tu mkuu haya mamboo sio kabisaaa
 
Dah! ? Hizi colored ni 😋😋
 
Back
Top Bottom