vyombo vya usafiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ni kweli bei za mafuta zimepanda, lakini watoa huduma wa vyombo vya usafiri tuhurumiane kwenye nauli

    Tangu tarehe 1 Aprili 2026, baada ya EWURA kutangaza kupanda kwa bei ya mafuta nchini, hali imekuwa ngumu kwa wananchi wengi, hasa wafanyakazi wanaotegemea usafiri wa umma kila siku. Ni ukweli usiopingika kuwa bei ya mafuta imeongezeka. Hata hivyo, baadhi ya watoa huduma wa vyombo vya usafiri...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya vyombo vya usafiri wa umma kusitisha safari zake kwa tarehe 29/10. Je, ni maagizo ama hofu?

    Wakuu, Huu uchaguzi wa mwaka huu ni mbona kama una heka heka sana? Nimeona baadhi ya vyombo vya usafiri vya umma ikiwemo mabasi na boti vinasitisha safari zake kwa siku ya tarehe 29/10/2025. Je, haya ni maagizo kutoka juu? Ama ndiyo kujiongeza kupita kiasi ama tension ya maandamano imekuwa...
  3. The silent smile

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya jumbe kwenye vyombo vya usafiri vina maana na tafakuri kubwa sana, Ona huu

    Habari wadau, Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno, za kuelimisha, za kukumbusha na hata za kuchekesha. Hivi karibuni nimekutana na ujumbe mmoja...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Private school uchwara na vyombo vya usafiri au ni kukosa pesa

    Hizi shule zikisha weka magari mawili tu nao wanajiona shule ni private school wakati ni kayumba pro max. Watoto mnawarundika kwenye basi utazani ZIP file kwenye computer. Yani ukisema watoke kwenye gari moja ni sawa na madarasa manne ya wanafunzi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa ni kero kwenye vyombo vya usafiri vya umma

    Habari wakuu na hongereni kwa majukumu. Mimi ni kijana mpambanaji hapa mjini D'salaam. Kufupisha story hii siku ya jana nilipanda bajaji kutoka Mwanagati mwisho kuelekea Buza kwa mama kiponge baada ya kutembea hatua chache akapanda dada wa makamo hivi ana mzigo kama kichuguu ghafla kituo...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme badala ya mafuta sio muda mnasubiriwa mjae kwenye 18 za serikali

    Matumizi ya vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme kama baiskeli za umeme,pikipiki za umeme,matoroli ya umeme kwa sasa ndio yamekuwa mengi kusupply mizigo mfano karikaoo. Matumizi mengi ya vyombo hivi yameongezeka kwa watumiaji wengi hususan wale ambao wanaishi karibu na shuguli zao. Kwa...
  7. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Makambako: Serikali ipunguze matuta ya barabarani yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri

    Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri. Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuomba ufafanuzi Magari ya mizigo kuwa na number plate ya njano

    Habari Magari ya mizigo number plate zao ni njano je kwenye kadi huwa zinaandikwa private au huwa unabadilisha kuwa commercial lakini number plate inabaki ya njano na kama linaingia private kwenye kadi unalipaje mapato au huwa hayalipiwi au unabadilisha kwenda commercial ndio unalipia mapato...
  9. Mnyamahodzo

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Pemba ni nyembamba, vyombo vya usafiri vimeongezeka, imekuwa kero na hatari pia

    Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka. Kuna mtu mmoja alipoteza maisha kati ya 10 ambao walikuwa vibarua waliokuwa wamebebwa ndani ya Fuso hilo, wengine wakipata majeraha...
  12. cleokippo

    JamiiForums Tanzania Hivi sheria inasemaje kuhusu makosa ya Usalama Barabarani kwa vyombo vya usafiri kama pikipiki, bajaji, gari nk?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Wataalamu wa sheria , naomba kufaham faini anayostahili kulipa mtu wa boda endapo atakutwa na makosa ma nne Au mtu wa gari anayeweza kukutwa na makosa ma nne Nimeamua kuandika uzi huu sababu kumekuwa na mabishano mtaan, wapo wanaosema hata...
  13. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Akinamama na utunzaji wa usafiri (gari)

    Daah baadhi ya hawa wenzetu ni changamoto sana kwenye utunzaji vyombo vya usafiri hasa gari ya nyumbani. Wanachokijua ni kuwasha gari na kutoka nalo mkuku. Maadam wese lipo yeye anachojua ni kuwasha gari na kusepa. Huko mabarabarani saivi wao ndo wanaongoza kwa mbio na hapo hana habari...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini, watakiwa kufuata Sheria za Usalama barabarani

    Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea maslahi yao. Meneja wa Leseni wa Mamlaka hiyo Bwana Leo Ngowi wakati akizungumza na...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

    Wakuu kwema? Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu. Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

    USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TASAC Yapongezwa Kwa Usimamizi na Udhibiti Makini wa Vyombo vya Usafiri Majini

    Naibu Waziri Kihenzile aipongeza tasac kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo usafiri majini Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo vinavyotumia usafiri kwa njia ya maji na...
  18. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri si ustaarabu

    Wakuu Niende straight to the point. Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa. Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mvua zaendelea kuwa kilio kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam

    Dar is big Slum ni Jiji la hovyo sana,mvua kidogo mnaanza kutafutana,Barabara shida,foleni,vinyesi na upuuzi kama huo. Bado mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeendelea kuwa kilio kwa wakazi wake kutokana na adha ya usafiri wanayoipata kufuatia baadhi ya...
  20. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Biashara ya GPS Tracking system installation kwenye vyombo vya Usafiri

    Na kenge, Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani. UTAFANYAJE? Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
Back
Top Bottom