Kuna siku nilimkamata demu mmoja mkali sana wa Chuo fulani, Huyo demu alinisumbuwa sn siku nyingi, Siku moja nikamchombeza tukutane sehemu,,,nimpe ofer ya nyama choma, basi tukatafuta sehemu tulivu safi kabisa,,,,,yule mrembo akaagiza henken na mm sikuagiza chochote zaidi ya maji.
Basi yule mrembo akaanza kuponda,,kwamba anakuwa comfortable sana kama akiwa na boyfriend mnywaji kama yeye. Duu!! Mimi sijawahi kunywa pombe hata siku moja. Ikabidi kwa kujikaza na mm niagize henkeni nikaanza kupiga moja moja.
Aisee nilijikaza sn kunywa kama chupa mbili tu,,nikaanza kuona watu wanatembea kichwa chini miguu juu, Basi nikalazimisha tuingie ndani lodge chumbani tuendelee kunywa tukiwa chumbani.
Maana ile sehemu ilikuwa na lodge ,,,basi sikumbuki vzr ilikuwaje ,,ila nakumbuka nilizidiwa na pombe na hakuna kilichofanyika siku ile,,
Nililala fofofo bila kumgusa yule demu,,kushtuka sauti ya muhudumu wa lodge ikituamsha kuchek out..na ni saa nne asubuhi..
Duu...tuliposhtuka nililazimisha kupiga japo tako 3 kwa yule demu,,nipate kimoja cha Jogoo ikashindikana.,,maana mtoto na yeye pia kachelewa Chuo.
Duuh nilimlaani sana aliyegunduwa pombe.
Mtoto yule nimemkosa hadi Leo.
Pombe nuksi sana,,,naichukia hadi leo.