bassarere
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 301
- 571
Ila sio sifa nzuri![emoji849][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16]cha p uliyekubuhu
Ila sio sifa nzuri![emoji849][emoji1][emoji1][emoji1][emoji16]cha p uliyekubuhu
Kutokunywa pombe hakuna madhara, ila kiwango fulani kina rahisisha kazi zingine mwilini kama hiyo moja niliyosema. Kwa wale ambao walishakunywa alafu wakaacha, mpangilio wa digestive system huvurugika na hata kiwango cha kuka hupunguaUsipokunywa pombe hiyo digestion hifanyi kazi vizuri? Nini madhara ya kutokunywa?
Hahaha acha hizo bhana mrembo witness😊😊Wacha wee pombe ikakupa na K kimasihara[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1]
Pita na kwanguCheck PM yako mkuu, sihitaji iwe public
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Visa vyangu ni lukuki, miaka ya 2000 nilisafiri toka mkoa niliokuwepo nikaenda Mkoa wa mara (Musoma mjini). Rafiki yangu wa karibu sana alikuwa anafunga ndoa, sherehe ikafanyika pale Musoma hotel. Nilikunywa pombe nazinduka nimelala ufukweni mwa ziwa victoria tena asubuhi kabisa vitu vyangu vyote ninavyo. Usiku baada ya sherehe wamenitafuta wakashindwa kujua nilikokwenda. Nikarudi nilikofikia bila kuwasimulia kilichonikuta
IkawajeBaada ya kuutwika kwenye sherehe ya kazini nilimtongoza mama mmoja mwenye cheo chake, nae akawa anacheka tu. Mimi ndio nazidi kumpa maneno mbele ya watu. Party iliisha kila mtu akaenda zake. Jumaatatu yule mama akaniita na kuniambia Ni mwambie yale maneno niliyo muambia siku ya party halafu alikua serious.
Kama yapi mkuu?Kama umewahi kunywa pombe ikakusababishia kufanya kitu chochote kesho yake ukajikuta umedhalilika au kujutia achana nayo fanya mambo mengine
Utachagua kulingana na halmashauri ya kichwa chako. Ila pombe itakua imeshakutupa mkono bora kuagana nayoKama yapi mkuu?
Naomba nkudunge nyax moja..Utachagua kulingana na halmashauri ya kichwa chako. Ila pombe itakua imeshakutupa mkono bora kuagana nayo
Thanks for your appreciations. Kuna hatua flani ukifikia pombe haiachiki bila maelekezo kutoka kwa daktari baada ya kuwa na health complications.Mkuu heko kwako[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Makofi jamani eeh, umedadavua kiutamu mpaka nimerudia mara mbili mbili kusoma
Ila kama mambo yenyewe ni hayo, sitaki na wala sitamani ulabu tena
Kwaheri gambe[emoji119][emoji119][emoji2772]
Haha yaani kuzima kwako ndio unailaumu pombe mkuu? Kwani ungemwambia kwamba you'd never tasted alcohol before angekubania? Ugwadu wako ndio uliokupelekea kukosa utamu wa vyote yaani raha ya pombe na raha ile😂😂😂Kuna siku nilimkamata demu mmoja mkali sana wa Chuo fulani, Huyo demu alinisumbuwa sn siku nyingi, Siku moja nikamchombeza tukutane sehemu,,,nimpe ofer ya nyama choma, basi tukatafuta sehemu tulivu safi kabisa,,,,,yule mrembo akaagiza henken na mm sikuagiza chochote zaidi ya maji.
Basi yule mrembo akaanza kuponda,,kwamba anakuwa comfortable sana kama akiwa na boyfriend mnywaji kama yeye. Duu!! Mimi sijawahi kunywa pombe hata siku moja. Ikabidi kwa kujikaza na mm niagize henkeni nikaanza kupiga moja moja.
Aisee nilijikaza sn kunywa kama chupa mbili tu,,nikaanza kuona watu wanatembea kichwa chini miguu juu, Basi nikalazimisha tuingie ndani lodge chumbani tuendelee kunywa tukiwa chumbani.
Maana ile sehemu ilikuwa na lodge ,,,basi sikumbuki vzr ilikuwaje ,,ila nakumbuka nilizidiwa na pombe na hakuna kilichofanyika siku ile,,
Nililala fofofo bila kumgusa yule demu,,kushtuka sauti ya muhudumu wa lodge ikituamsha kuchek out..na ni saa nne asubuhi..
Duu...tuliposhtuka nililazimisha kupiga japo tako 3 kwa yule demu,,nipate kimoja cha Jogoo ikashindikana.,,maana mtoto na yeye pia kachelewa Chuo.
Duuh nilimlaani sana aliyegunduwa pombe.
Mtoto yule nimemkosa hadi Leo.
Pombe nuksi sana,,,naichukia hadi leo.
Nilitaka nionekane ni really gentleman kwa mrembo.Haha yaani kuzima kwako ndio unailaumu pombe mkuu? Kwani ungemwambia kwamba you'd never tasted alcohol before angekubania? Ugwadu wako ndio uliokupelekea kukosa utamu wa vyote yaani raha ya pombe na raha ile[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha bhasi pombe haina makosa mkuu, ni wewe tu ulishindwa kuibalance na hali yako ya ugeni kwenye pombe. Chakushangaza umezima kwa Heineken mbili?!😂😂Nilitaka nionekane ni really gentleman kwa mrembo.
Maana anapenda mwanaume mnywaji kama yeye.
Ulikufanyaje mkuu?Mimi wala pombe sina memory nayo maishani ila UGORO jamani,sijui mimi nani aligundua UGORO.
nili test ONCE ila kumbukumbuku ninayo mpaka na kesho kutwa,watumiaji Ugoro heshima yenu wakuu.
Ulikufanyaje mkuu?Mimi wala pombe sina memory nayo maishani ila UGORO jamani,sijui mimi nani aligundua UGORO.
nili test ONCE ila kumbukumbuku ninayo mpaka na kesho kutwa,watumiaji Ugoro heshima yenu wakuu.
wewe unatumia nini?Wine kwa mwanaume noma, wadada watakudharau sana