orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 3,484
- 6,152
Ile kitu ni hatari mkuu nikianza kunywa fundo moja lazma nisisimke ile harufu take huwa inasisimua ubongoTuanze kunywa nyagi na mrija/straw mkuu
Ile kitu ni hatari mkuu nikianza kunywa fundo moja lazma nisisimke ile harufu take huwa inasisimua ubongoTuanze kunywa nyagi na mrija/straw mkuu
Karibu tukiwa live ndo utacheka zaidi😂😂😂😂 umejua kunichekesha mkuu,khaa😂😂
Sawa mkuu ,ukiletwa Uzi wa vituko vya utotoni nitakuacha hoi !asee n mecheka sana hahahahaa
we tunafanana...mie hadi leo nachukua konyagi nachanganya na dompo na nakuwa poa sana....labda nimewahi kuhisi mwili ukifa ganzi tu....ila kupoteza uwezo wa kujielewa au kuzima nayasikia kwa watu tuMimi nikiwa teenager nimekunywa pombe ila sikuwahi kulewa, nilikuwa natamani sana nilewe nione mtu anafeel vipi akilewa ila wapi nilikuwa silewi
sawa mkuuKaribu tukiwa live ndo utacheka zaidi
😀😀😀Labda ulimsababishia gharama kubwa alikuwa anasikitika kwa pesa aliyoitoa.
Mkuu umewazaje kupiga kopo 2 za hii kitu aisee??????Kuna pombe hio inaitwa 211 kule ughaibuni nilikunywa kopo mbili halafu nilikwenda club. Yaani nilikuwa najiona kama Superman mikono kama ndege inayotaka kuruka. Nikaingia club nikamchapa mzungu flani nikatolewa nje nikaanza kuwatukana mabausa sijui kilitokea nini ila niliishia hospital wiki 2 na miezi 6 home.[emoji23][emoji23]
View attachment 1576989
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nmecheka,atakuw alikuw kyela mikoroshini,nkuyu ,au mbugani [emoji4][emoji4].tukuyu mda wote shiida,Alikua kyela huyu sema hangover bado ipo
Hii ndo ile inaitwa drink responsibly. Nilishataja faida za pombe huko juu ukinywa kiasi kwaajiri ya kuchangamsha brain.Bwana weeeh hahahaaa ngoja nicheke kidogo.
Siku hiyo kulikua na mjumuiko wa familia anko kaniambia kunywa kidogo tu changanya na soda/coca. Nikanywa kaglas nusu wiskey ya Captain Morgan.
Ater mins nikawa mtu mwenye furaha zaidi duniani full kucheka.
Usiku kwenye sala za jioni wamesoma somo na kutafakari wakajikoroga wakasema nani anataka kuongezea.
Bwana wee nikaitikia niliangusha injili hatari.
Mimi hua siwezi kuhubiri mbele za watu ila siku hiyo walinivulia kofia..Hadi wakawa wananiziwia nisiendelee mm naona bado madini yamejaa kichwani.
Nimegundua nina mengi sana kichwani ila siwezi kuongea tu so pombe hua inafanya yatoke yote kiurahisi. Nitakua naitumia kama kuna kitu kinachonitaka niongee mbele za watu kwa muda mrefu au kujieleza
Namfahamu vizuri. Hapo anatafuta uungwaji mkono kwenye sanduku la kura tu tar 28.Anakunywa kweliView attachment 1587439
Kiasi ulichokunywa ulivuka point ya kujiamini. Kjna level flani ya unywajk wa pombe kali ukiifikia unajiona mbabe ndio wewe wale wengine wote wako chini yako, akili inaweza ikakutuma ufanye kitu ambacho kesho yake ukiadithiwa unaweza ukagoma kabisa.Mkuu umenikumbusha mbali sana, nilipata mkasa wa hatari ulikaribia kunitoa roho ni Mungu alisaidia tu. Nilitoka Ghent (belgium) nikaenda kumcheki mshikaji wangu alikuwa anasoma Rotterdam (Uholanzi). Akanipeleka kwa hotel moja iko baharini kabisa zamani ilikuwa ni meli ikabadilishwa kuwa hotel. Tulikunywa pombe kali siku nzima, jioni nikarudi Ghent niko chakali, nimefika nikaingia tena club kuendeleza gambe, natoka kwenda kwangu nikapotea njia nikagonga nyumba ya watu mzee wa kizungu anafungua bunduki mkononi, kuniona sijiwezi akawapigia polisi nikalala kituoni asubuhi naamka napewa kahawa na usafiri kupelekwa ninapoishi. Niko bongo naendeleza K-vant tu, pombe siachi.
Sitasahau pombe kuninyima nyongeza ya mshahara miaka mitano kinyume cha sheria [emoji21][emoji21][emoji21]Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo.
Nilikunywa mpaka K Vant nikaiona kama soda, nakuja kustuka pombe imenizidi kiasi hata kutembea ilikuwa noma. Sifanyi fujo nikilewa kila mtu alifurahi lakini balaa lipo kwa ndugu zangu kujua kuwa ninakunywa. Busara ilitumika simu yangu nikaicha kwa mtu niipate nikiwa fresh.
Ase nilifanya safari ya saa 1 na nusu peke yangu nikiwa nimelewa na sijui nilifikaje nyumbani, kuja kustuka ni asubuhi niko kitandani tatizo limebaki kwa ndugu zangu. Wakati nimeacha simu kwa rafiki nilipigiwa jamaa akapokea na kuwaambia niko kwenye matatizo ile kitu ilizua taharuki watu hawajalala kuulizia hali yangu maana mimi sikupatikana tena.
Hii kitu imeniweka sehemu mbaya sana hakuna mtu anataka kunielewa tena. Ukweli nimekwama nimeamua kuacha pombe maana naona itanigombanisha na ndugu.
Kivipi mkuuSitasahau pombe kuninyima nyongeza ya mshahara miaka mitano kinyume cha sheria [emoji21][emoji21][emoji21]
Wanafanyaje mzee baba?Yaani mini kanga inakua halali yao au?kuna moja ya mtaa kwenye mkoa maarufu kaskazini yani huko kuna genge liko standbay ukilewa ukapark huna bahati😱😱😱
acha mkuu ni vaseline sikioniWanafanyaje mzee baba?Yaani mini kanga inakua halali yao au?