Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Siku moja tulienda goa, nlikuwa bangarole chuoni. Basi bwana mdada mmoja kutoka syshelly alikuwa nazo balaa. Tuko kwenye boat inatuzungusha baharini. Goa ni mji wa kitalii kama huku kwetu bagamoyo. Basi bwana kuna kitu inaitwa kingfisher ina alcohol8.6 kama sikosei. Akatoa ofaer kwa wanachuo wote katika darasa letu tulikuwa kama 20 hivi wanywe tani yao mpaka boati ikirudi nchikavu. Kila mzunguko ulikuwa 15 minutes. Alituxhukulia poa, mi mbongo nikasema hapa ndo pa kuchukulia sifa. Acha nipige tarumbeta, walikuwa wanacheza mziki mi nagida tu. Mpaka dk 15 nishatia damage kama kopo 5 hivi. Halafu ikumbukwe tulitembea usiku kucha kutoka bangarole hadi goa. Ni kama dar mwanza, na mabasi huanza safari saa 2 usiku. Tulikuwa na beer zinafleva ya soda za fanta orange na fanta black current tulizinywa sana.hadi tunafika nlkuwa hoi. Mpaka boti inafika nchikavu nlikuwa hoi walifanya kunibeba hata kusimama ni kwa shida. Nlirudisha chenj ndo hali ikawa ovyo kabisa. Utalio wangu ukaharibikia hapo. Ikabidi nikatalie kwenye buss. Naambatanisha picha nliyopiga mwenyewe nikiwa ndani ya boatiView attachment 1596389
Mwanachuo anaandika Syshelly, Ofaer[emoji3][emoji3][emoji3]ndio maana Magu hawaajiri
 
Pumbav kabisa. Chuoni sikwenda kujifunza kuandika majina ya nchi. Hata hivo umeelewa. Halafu shika adabu yako nina kazi nzuri na ninalipwa 3.7mil mm sio level yako
Unajuaje sio level yangu?

Anyway kulipwa 3.7 sio ishu unaweza kulipwa vizuri na ukawa kapuku tu
 
Thanks for your appreciations. Kuna hatua flani ukifikia pombe haiachiki bila maelekezo kutoka kwa daktari baada ya kuwa na health complications. Na kama hujafikia huko si mbaya ukinywa kwaajili ya kuchangamsha mwili (Uwe na personal limits zako mwenyewe).
Ila wengi wanasema wanaacha lakini naadae wanajikuta wamepumzika kwa muda tu hahaha[emoji1][emoji1] so I wish you all the best on your quitting process.
Mimi nina mwaka na nusu hadi sasa hivi sijaigusa! Naomba sana niendelee hivi hivi

Pombe yangu ilikuwa wine ( Robertson
 
Hahahahah......huyo jamaaa asitutishe kwamba mbinguni hatufiki. Lutu alikataga bia hadi akawa chakari wala hakuadhibiwa na Mungu leo ndo tusiende kwa bia mbili tatu?
Eti [emoji16][emoji16]

Wazee wazamani walikuwa wanajua kuutwika ulabu hasa, labda Abraham ndo sikusoma mahali kuwa alikuwa anapiga gambe
 
Mimi nina mwaka na nusu hadi sasa hivi sijaigusa! Naomba sana niendelee hivi hivi

Pombe yangu ilikuwa wine ( Robertson
Uko vizuri na una uwezo wa kuendelea kutokunywa ukipenda. Kama unaipenda hali hiyo bhas endelea kuepuka mazingira ya aina yoyote yale ambayo unajua yanaweza kukurudisha huko. I hope your wish will prevail
 
Huyu mzee ajaongelewa kabisa katika swala la ulabu, yeye ni imani tu[emoji4][emoji4]
Kabisa!

Huwa namuonea wivu sana Abraham, yan alipata nafasi ya kipekee kwa Mwenyezi Mungu lkn alishindwa kuitumia[emoji848][emoji848][emoji849]

Mwenyezi Mungu alikuwa anampenda balaa, ila yy uwoga ulizidi ningekuwa mimi ningeitumia hiyo fursa balaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
 
Uko vizuri na una uwezo wa kuendelea kutokunywa ukipenda. Kama unaipenda hali hiyo bhas endelea kuepuka mazingira ya aina yoyote yale ambayo unajua yanaweza kukurudisha huko. I hope your wish will prevail
Naipenda hii hali ya "usober" sana

Naomba Mungu anisaidie
 
Ayubu, Lutu, wakina Musa na Haruni gambe kwa kwenda mbele[emoji1]
As a matter of fact gambe is nice, almradi uwe na discipline nayo.......displine, kama hiyo ya kwako unaweza kukaa mwaka na nusu bila kuonja..hahahahah. Hiyo Ni beyond discipline kwa kweli.
 
Back
Top Bottom