mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,137
Aaarh hio noma sana mzee baba.acha mkuu ni vaseline sikioni
Mitaa gani kwanza hio arifu?
Aaarh hio noma sana mzee baba.acha mkuu ni vaseline sikioni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamaa umenikumbusha mbali matukio ni mengi ila moja ni hili:
Wakati nikiwa chuo mwaka wa mwisho tulikuwa tunafanya vikao vya tungi ,kama kawaida faru john mtu nne ila nilikua nachelewa kulewa tofauti na wenzangu kwa bahati mbaya Siku iyo nlikula slace mbili za mkate ,nikakaza kibingwa Hamna kutegeana nakumbuka tulikunywa konyagi nyingi sana baadae tukasepa kila mtu kivyake njiani nikanunua chips+mishkaki ili nikalie geto kufika geto nikaanza kukata moto kiasi kwamba nilishindwa kuingiza funguo kwenye tundu la kofuli nikajisogeza pembeni Luna tofali nkakaa cha ajabu ambacho kilinishangaza alikuja mbwa sijui wa wapi akaninyang'anya mfuko wenye kiepe na mishkaki nilishindwa hata kumwambia shhh toka maana mdomo haufunguki,nikaamua kujilaza palepale hadi asubui..nikajifunza pombe bila msosi noma pia niligundua ukinywa nyagi na glass macho yanakufa
Yaani wewe komediani sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna kisa niliwahi kukiweka huku sikumbuki vizuri ile Uzi title yake ilikuwa inasemaje ila ilikuwa hivi:
Nilipata mshkaji mmoja kutoka Netherland akiwa anafanya research katika mambo ya kilimo nikawa nampa escort hadi akakamilisha tulikuwa moshi,baadae akataka kutembea mkoa mwingine nikamwambia mwanza pamekaa poa akataka nimpe kampani kwa kuwa nlikua likizo nikaona poa .
Basi safari ikawadia tukafika sasa kisa kilianza kesho yake baada ya kwenda bar moja ufukweni ziwa Victoria kama kawaida nikaagiza konyagi nikiwa na yule mzungu kidogo jamaa akaingia ziwani akanza kukata mawimbi hapo nakunywa kikonyagi nikaona huyu mgeni hawezi kushinda mwenyeji nikasaula nguo nikabaki na uboxa nikazama kwenye maji aisee ile naibuka wimbi likanichkua waaba! Eh nakanyaga chini miguu haifiki nikaanza kuita mzungu hello,,,,,,! Nakunywa nguchu ....... Nikiibuka tena nguchu ,nikatamani Iwe ni ndoto kumbe in live likaja wimbi likanirudisha nilipotoka aisee nilitoka spidi break ya kwanza ni kaunta huku natetemeka ile mbaya na konyagi imeisha kichwani kwasababu ya lile wenge lililosababishwa na kiherehere chakushindana na mzungu bila kujuwa maji niliyokuwa naogelea mto karanga pale moshi ni tofauti kabisa na haya ya ziwa ,nikagundua maji sio kitu nzuri hata nikiingia bafuni maji ya ndooo sitaki nitumie muda mrefu dakika sifuri nimeshachomoka huko spidi ile kitu haipotei kwenye ubongo na maji nayaheshimu hadi Leo.
siyo masihara ni kitaa flani uko mkuuAaarh hio noma sana mzee baba.
Mitaa gani kwanza hio arifu?
Hahahahhaa we kichwa Chako sidhan maana ungeona ya alc 45 moja ubatambaaMwezi wa saba mwaka huu nilikua na boss wangu kikazi huko bariadi ,boss yeye mzee wa k vant sana..si nikajidai na mimi naimudu k vant.. nikapiga zile chupa ndogo mbili za fasta..ebana..niliona kama dunia iko upside down..mpaka leo k vant naziogopa.
pombe kama unga ukioverdose unalala moja kwa mojaHuyo jamaa amefikia ile state ya asipokunywa mwili hauwezi kuzalisha fatty acids na essentials zingine kwenye mwili kwaajili ya kuzifuel cells pale energy (glucose) inapokosekana au kuwa ndogo kwenye mwili.
Hii ni hali mbaya; usipokunywa damu inakosa kiasi cha pombe kinachihitajika mwilini ili kuspeed up blood circulation, mtu anabaki kuzubaa (uchakataji wa taarifa (impulses) hufanyika si kwa speed inayotakiwa (Akichangia mada kwenye maongezi au akiulizwa swali atajibu vile atakavyojisikia hata kama ni nje ya topic maana ubongo humletea taarifa mchanganyiko), mlengwa hutetemeka mikono na kushindwa kushika hata peni au glass ya maji. Madhara ni mengi lakini yote hutibika hata bila msaada wa daktari ukiwa tayari
Tunashauriwa kunywa pombe ambayo unaimudu, hata kama ina alcohol volume nyingi unashauriwa kutumia kiasi na si kwasifa ya kumaliza chupa nzima. Overc consumption ya wakati mmoja kwa pombe kali aina ya spirits, gins, brandies na whiskeys bila maji inaweza kukupelekea kifo.
ilikuwaje?Kuachana na mke wangu
Jaribu Leo kupiga safari kumi na tano halafu baada kama ya siku mbili piga Serengeti lite kumi na tano utaona utofauti wa hangover. Light ni kama haina hangover.Hakuna pombe haina hangover jombaa, nimejaribu pombe nyingi sana nilizoambiwa hazina hangover, hali ni ile ile! Kinacholeta hangover sio jina la pombe but ni ile alcohol
Gongo grade 1 haina hangoverHakuna pombe haina hangover jombaa, nimejaribu pombe nyingi sana nilizoambiwa hazina hangover, hali ni ile ile! Kinacholeta hangover sio jina la pombe but ni ile alcohol
konyagi + maziwa fresh? alichanganya mwenyewe au ndo yanavyouzwa? wengine kama mimi bado ni learner kwenye sekta ya ulevu[emoji3][emoji3][emoji3]Nyingine hii:
Kuna jamaa mshkaji sana nikakuta kaagiza maziwa fresh Yale ya Kenya yanaitwa dairy milk kumbe ni cocktail (konyagi+maziwa fresh),nikaunga cheni na Mimi aisee ile kitu ni balaa unatingisha akili vibaya...
acha kuizushia kashfa bangiHaha hiyo labda uwe umechanganya na bang[emoji23][emoji23]
Kama pombe huiwezi au umekunywa kupitiliza tegemea hasa kuzima, kujikojolea. Wengine zikioanda kichwani matusi, dharau kwa watu, fujo...
Ila mambo ya kuvua nguo kutmbea uchi hayo nayaona kwa wavuta bangi na waliopandwa na malaria kichwani.
ikawaje?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siku ambayo sinto sahau ni pale tulipo peleka mahari ukweni..ebwanae si wakaleta kitu cha SBL mwanzoni ilianza vzr lkn ilipo fika hatua watu tukaanza kunena kwa lugha,,kama mjuavyo hikitu ikiishaingia na lazima iambatane na aja ndogo Yan hapo utake usitake ni lazima,basi bwana kwa kua tulikua ndan kwa mama mkwe me si nkatoka kwenda kumwaga maji..kumbe badala ya kutoka nje mwenzenu nkaingia moja kwa moja hadi chumbani pale pale nka mwaga radhi chwaaaa..kwa kujiachia nkadhani npo nje,,,,,kibaya zaidi sikufunga hata zpu kengele ikawa inajigonga narudi sebuleni[emoji24]pombe so maji.
yanakufa kivipi?Jamaa umenikumbusha mbali matukio ni mengi ila moja ni hili:
Wakati nikiwa chuo mwaka wa mwisho tulikuwa tunafanya vikao vya tungi ,kama kawaida faru john mtu nne ila nilikua nachelewa kulewa tofauti na wenzangu kwa bahati mbaya Siku iyo nlikula slace mbili za mkate ,nikakaza kibingwa Hamna kutegeana nakumbuka tulikunywa konyagi nyingi sana baadae tukasepa kila mtu kivyake njiani nikanunua chips+mishkaki ili nikalie geto kufika geto nikaanza kukata moto kiasi kwamba nilishindwa kuingiza funguo kwenye tundu la kofuli nikajisogeza pembeni Luna tofali nkakaa cha ajabu ambacho kilinishangaza alikuja mbwa sijui wa wapi akaninyang'anya mfuko wenye kiepe na mishkaki nilishindwa hata kumwambia shhh toka maana mdomo haufunguki,nikaamua kujilaza palepale hadi asubui..nikajifunza pombe bila msosi noma pia niligundua ukinywa nyagi na glass macho yanakufa
wife hakuwepo?Nililewa ile narudi nyumbani nikagundua kumbe binti yangu wa kazi za ndani ni mzuri kuliko mke wangu.Ila hiyo hali iliisha kesho yake nikiwa na majuto mengi.NILITAMANI MOVIE IRUDIWE AISEE
ikawaje mwisho wake?Baada ya kuutwika kwenye sherehe ya kazini nilimtongoza mama mmoja mwenye cheo chake, nae akawa anacheka tu. Mimi ndio nazidi kumpa maneno mbele ya watu. Party iliisha kila mtu akaenda zake. Jumaatatu yule mama akaniita na kuniambia Ni mwambie yale maneno niliyo muambia siku ya party halafu alikua serious.
ilikuaje ukaachana nae?Hahaha alianzishaga utani flani hivi ambao baadae ukapelekea kutoka out pamoja week ends, baadae tukajikuta tumetumbukia mapenzini. She was real nice, Mungu ampe maisha marefu huko alipo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ikawaje?hiyo inanikumbusha nikiwa kilimanjaro huko mitaa flani tulitia kambi kwaajili ya ujenzi baada ya kulipwa ile ilikuwa jumamosi mimi na wanangu kama wanne tukaona tuende mahali tukajirudishie shukrani , kutokana na baridi ikabidi tuanzie na treni ya kuni (gongo) for the first time i swear....