Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

nai amewahi kuwa na babu mtata huku? Namaanisha yule mzee akilewa akirudi home anakuwa mtu wa vita vita hasikii wala haelewi jambo
babu yangu alikuwa mtata sana. Hasa wazee waliosoma enzi za ukoloni wakilewa wanaubishi sana
ukimzingua akiwa amelewa alikuwa anakumbuka baadae?
 
Kali yangu moja ya tungi nipo bar na friends kula sana tungi hata siku mbuki idadi ya chupa mida ya kama saa saba ucku nikarudi zangu home fresh nacho kumbuka nilifungua geti fresh nika ingiza gari vizuri tu kumbe bhana nilipo fika nili park siku funga mlango wa gari na nika iacha ipo silence siku izima hii nilikuja kuambiwa asubuh...
huyo housegirl hakuja kuwa mchepuko baadae?
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana, nilipata mkasa wa hatari ulikaribia kunitoa roho ni Mungu alisaidia tu. Nilitoka Ghent (belgium) nikaenda kumcheki mshikaji wangu alikuwa anasoma Rotterdam (Uholanzi)...
polisi wa huko kweli wanajali usalama wa raia wanakupeleka home kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna kisa niliwahi kukiweka huku sikumbuki vizuri ile Uzi title yake ilikuwa inasemaje ila ilikuwa hivi:
Nilipata mshkaji mmoja kutoka Netherland akiwa anafanya research katika mambo ya kilimo nikawa nampa escort hadi akakamilisha tulikuwa moshi,baadae akataka kutembea mkoa mwingine nikamwambia mwanza pamekaa poa akataka nimpe kampani kwa kuwa nlikua likizo nikaona poa....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] pombe mbaya sana mimi napenda kunywea nyumbani
 
Kuna siku nilimkamata demu mmoja mkali sana,,wa Chuo fulani,
Huyo demu alinisumbuwa sn siku nyingi,,
Siku moja nikamchombeza tukutane sehemu,,,nimpe ofer ya nyama choma,,,,basi tukatafuta sehemu tulivu safi kabisa,,,,,yule mrembo akaagiza henken na mm sikuagiza chochote zaidi ya maji,...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ungemtafuta tena
 
kuna jamaa alizidiwa na pombe watu wakamfira kuweni makini walevi[emoji3][emoji3][emoji3].binafsi nitajaribu wine bia huwa naona chungu
 
Ilikua 2014" " mkoan Tabora huko"""
Kuna ukumbi wa Club: unaitwa 1 O 1 (one zero one)....wikend moja hiv!! Nilichukua bodaboda ya mshikaj ili nipigie misele""" but ilipotimia night hiv nilienda pale ukumbin kubuludika""" na ilipotimu saa 6 hiv! Nikatoka ..dhumun niende ghetto" coz kichwan nishawaka'''

Sasa suala linaanzia hapa:
Ile bodaboda ilikua nje ya ukumbi nimepaki""
Nilipoiwasha tuu"" wakatokea Warembo Wawili ( pisi kalii) pamoja na msela mmoja::

Kabla sijawaoji yule demu mmoja kisha dandia pikipiki......akatoa na amri nipeleke mtaa Cheyo"" ( mitaa fulan ushuani huko)
Ikumbukwe BodaBoda Haikua kazi yangu;

Nikasema poa" ngoja niongeze hela ya mafuta"""""" wale wengine tuliwaacha.. Japo yule demu niliempakia aliwasisitiza wenzie hatakua salama""""( japo Alikua nae kalewa)

Safari ilipokolea nakuja situka kanilalia mgongon!! Anaongea maneno hayaeleweki!!!!!! Kila nikimuuliza wapi kwenu"" anakoloma tuu"" daa"" ikabidi nilud"" mpka club""

Nikajitega pale mpka ngoma 8 hivi ..wenzie sikuwaona""""( shubaamiti)....
Wakuu ilibidi niende nae ghetto yule mtoto ...

Kufika ghetto mtoto nambeba mpka ndan ajielewi!!!! ..ilibidi nimtoe nguo zote""" coz alitapikia"" kibaya zaid"" hakua na simu" nikamfuta na maji """ washa fen nini!! .....oooh my god""alikua mzuri hatar!!!!!..
Chuchu saa6..kasoro... Rangi ya mtume, ;;;

Kilichonikosti ni vile viroba viwili nilivobakiza mfukoni!! Baada ya kuviongeza kichwani!.....""Anisamehe Yesu na Kristo"" (asubuh nilikuta nishamfyeka""" Alipostuka pombe zimeishaa ilikua ni kilio tuu:

Ukichangany ni wakishua"""asee ilikua kazi kumtuliza na kumuelewesha"""""..
Lawama zote tulizipeleka kwa JOHNY(Pombe) ila alikuja elewa" Asubuh hyo" nikafanya mpango kumpeleka kwao , , , , , , itaendelea!!?
endelea mzee
 
Nikiri na niweke wazi, pombe sio mbaya endapo ukiitumia kwa nidham, ila ikitumika kwa upuuzi ni batili kabisa, Alhamisi iliopita nimeenda kutoa mshahara wa magu nikasema wacha nichukue laki mbili tu inatosha kwa matumizi, wife alikua safarini.
Sasa nilikua na deni la miez miwili nilikunywa urabu sehem moja ninayoaminika sana 36k, nilipolipia ndio nikaanza urabu kiasi chote cha pesa mfukoni nilichokua nacho nikakimaliza kwa mda mfupi tu kwani nilijikuta nimearika marafiki kama wanne na niliwahakikishia kula na kunywa.
Kutoka apo kichwa imewaka kila mashine ATM nilioiona nilitoa hela na kuwanunulia pombe whuni, ata nisiowajua so mpka kufika jumamosi jion ninetumia 700k , kilichoniokoa ni kufuatwa na wife baada ya kifika toka safari, na kukuta siko home, alipopiga simu nilimtajia kiwanja nilichopo. Niko ndani leo siku ya tatu nimeomba ruhusa kazini kila nikijitafakari najiona sina amani ya moyo na mie kipato changu sio cha kutumia pesa hio bila kujutia. Nineweka mkakati wa kuacha pombe na ninaomba kuanzia hapa wenye nia wenzangu tuunde group la kupeana mikakati na mabadiliko ya kweli mim naiona pombe basi
Imenigusa
 
Mkuu

Mkuu hii mimi ilishanitokea yaani kuanzia ijumaa mpaka jumanne, kila nikikumbuka pesa niliyotumia roho inasononeka sana. Aisee kwa kiasi kile cha pesa sitakuja kusahau na marafiki nao wala hawakushtui zaidi ya kupiga vizinga na kesho yake wanaulizana "Oya kaamkia wapi, leo wapi?". Ile kampani siitaki tena though ni friends wa kitaa.
Nolichojifunza na kugundua, ukitaka uwe na nidhamu ya pesa kwenye pombe, hakikisha huamki na hang over. Ukiamka nayo tu na hela unayo jua utaliendeleza na pesa utatumia bila kujari.
Yaneshanitokea haya, sina hamu

Nilijihisi mkosefu sana kwa mwanangu
Nikihisi kuikosea familia kwa kiwango kikubwa
.sirudii
 
Nikiri na niweke wazi, pombe sio mbaya endapo ukiitumia kwa nidham, ila ikitumika kwa upuuzi ni batili kabisa, Alhamisi iliopita nimeenda kutoa mshahara wa magu nikasema wacha nichukue laki mbili tu inatosha kwa matumizi, wife alikua safarini.
Sasa nilikua na deni la miez miwili nilikunywa urabu sehem moja ninayoaminika sana 36k, nilipolipia ndio nikaanza urabu kiasi chote cha pesa mfukoni nilichokua nacho nikakimaliza kwa mda mfupi tu kwani nilijikuta nimearika marafiki kama wanne na niliwahakikishia kula na kunywa.
Kutoka apo kichwa imewaka kila mashine ATM nilioiona nilitoa hela na kuwanunulia pombe whuni, ata nisiowajua so mpka kufika jumamosi jion ninetumia 700k , kilichoniokoa ni kufuatwa na wife baada ya kifika toka safari, na kukuta siko home, alipopiga simu nilimtajia kiwanja nilichopo. Niko ndani leo siku ya tatu nimeomba ruhusa kazini kila nikijitafakari najiona sina amani ya moyo na mie kipato changu sio cha kutumia pesa hio bila kujutia. Nineweka mkakati wa kuacha pombe na ninaomba kuanzia hapa wenye nia wenzangu tuunde group la kupeana mikakati na mabadiliko ya kweli mim naiona pombe basi
mpka sasa hujanywa tena!?
 
Kipindi Niko chuo kikuu Cha Dar es Salaam miaka Ile. Tulikua tunakwenda kunywa wanzuki au mbege maeneo ya Riverside. Siku hiyo tulipata boom vzr Basi tukaona tukapate mbili tatu. Tukafika pale zilipo hostel za mabibo enzi hizo hazijajengwa kulikua na vibanda vya pombe za ovyo.

Tukaanza kugida wanzuki. Wenzangu wakachoka wakaniacha na li barmeid Fulani umri umesogea. Kufika saa nne hivi nikaanza kuliona Ni beautiful Fulani. Basi nikalikokota Hadi hall one tower block kwa wale mliopitia shule za ukweli. Tukapanda mpaka kwa room na kufanya majambooz.

Asubuhi naamka kwenda kukojoa nikaona ndala za yule mmama zilikua zimetoboka pale anapokanyagia na zimekarabatiwa na waya. Kumcheki kichwani ametia Ile kalkit ya muonekano Kama nywele zimetiwa maji au mafuta mengi. Kumbuka wanafunzi wameshaanza kukaa pale chini karibu na ofisi ya hall manager, wengine wanapiga stori wakitokea kafeteria kupata chai.

Mimi Niko juu gorofani na msukule wangu unao dai lazima nimpeleke kituo Cha Basi. Madem wa chuo nao wapo pale stendi wanasubiri daladala. Mimi bado Nina msukule wangu anadai anataka kuwahi kutengeneza pombe mabibo. Aloo.

Nilimlaumu shetani na kazi zake zote. Nitampitishaje yule msukule mbele ya ma brazamen?
 
Mkuu hamna pombe haina hangover, may be tuseme hangover zinatofautiana kwa pombe na pombe. Ya safari itakuwa kali zaidi ya lite. Hata whisky zile expensive hangover yake siyo kali kama whisky za bei rahisi. Lakini uhimili wa mwili nao unaplay part yake.
 
Back
Top Bottom