Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Hawa

Aliwahi kutokea muuaji mmoja wa bunduki pale Tarime, Hawa jamaa zangu wakawa miongoni wa waliopigwa risasi na kufariki.
aah yule jamaa aliyekuwa anapanda miliman anaanza kudungua watu for fun...
sasa walikuwa pamoja au? au qalipigwa siku mbili tofauti
 
aah yule jamaa aliyekuwa anapanda miliman anaanza kudungua watu for fun...
sasa walikuwa pamoja au? au qalipigwa siku mbili tofauti
Mojawapo aliharibikiwa na gari usiku akampigia mwenzake akamsaidie. Mdunguaji akapita nao, na waliwahi kufanya kazi sehemu miaka ya nyuma
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] gongo vipi?
Niliwahi kwenda msibani kijijini tukawa tumebeba na vinywaji kabisa, vikaisha tukaagiza lita 20 za gongo ilikuwa jirani na msibani.

Tumeakma asubuhi chakari hatari wengine walelala kwenye majani tu. Sijawahi kuirudia tena mkuu
 
Niliwahi kwenda msibani kijijini tukawa tumebeba na vinywaji kabisa, vikaisha tukaagiza lita 20 za gongo ilikuwa jirani na msibani. Tumeakma asubuhi chakari hatari wengine walelala kwenye majani tu. Sijawahi kuirudia tena mkuu
wewe na pombe mtu na pacha wake[emoji3][emoji3][emoji3] kuwa makini mzee.siku hizi kuna watu wanavizia watu waliolewa ili wawafire
 
wewe na pombe mtu na pacha wake[emoji3][emoji3][emoji3] kuwa makini mzee.siku hizi kuna watu wanavizia watu waliolewa ili wawafire
Mkoa ninaoishi nina baa zangu 3 na ni mitaa yangu na ndipo nanakunywa mara nyingi, yaani watoto wa mitaa ile mimi ndo nawapa ofa daily
 
Uliruhisiwa kesho yake au nauli walikuridishia na safari ya pili je?
Nilirudi nikatafuta nauli mchana nikapanda zile gari ndogo zinazosafirishwa kwenda Zambia, sikuambulia nauli yangu na sikufuatilia tena
 
Uliruhisiwa kesho yake au nauli walikuridishia na safari ya pili je?
Ile ya ughaibui niliruhusiwa kusafiri kesho yake nikiwa niko vizuri, jamaa walivyoniona kesho wanacheka tu wanasema leo uko vizuri kabisa
 
Mkoa ninaoishi nina baa zangu 3 na ni mitaa yangu na ndipo nanakunywa mara nyingi, yaani watoto wa mitaa ile mimi ndo nawapa ofa daily
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naona unajilinda.pombe gani unapendelea zaidi?
 
Nilikulaga k vant za kutosha bar...ilikua ijumaa kesho yake saa kumi na mbili asubuh narudi home, kumbe kuna kuna watu wanasali jumyia jirani na home afu ndio njia ya home...Daaa nikafika nikakomaa kuchangia neno.

Duu balaaaa ilikua
 
Back
Top Bottom