Mkuu siweziSi uiseme ndugu
Mkuu siweziSi uiseme ndugu
Mbuzi kagoma...Hiyo pesa ya mwaka gani we mbuzi?
Mi nimeamka bado nimewaka yan huyu alienilogea pombe alaaniweNimekata kauli safari hii naacha, huu uzi umenipa moyo kuwa inawezekana. Jana ndio nimekunywa kwa mara ya mwish mkuu. Imenitia hasara sana
Umeskia wap...M ua najiulza nikiacha Pombe namwachia nan?? mana sion hata wa kumwachia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kidogo tufanane mkuu pombe zilinitesa Sana,Kuna kipindi nilipiga valeur kubwa moja na vant ndogo na virikuu viwili!
Halafu asubuhi Nina kazi ya kupokea watalii nilijikuta asubuhi nimelala chini kwenye tiles milango ipo wazi,redio full mziki,taa zinawaka,Sina hata Mia mfukoni na simu
Uzuri geto hapakuibiwa chochote manake ninafuga mbwa wakali
Sijadhurika popote,sikumbuki nilifikaje Niko hangover hatari,tumbo linakwangua balaa,siwezi hata kushika glass ya maji
Nilivyokuwa fala nikajikokota mpaka dukani kwa mangi anipe kvant nizimue niende job!
Hapo ndio niliharibu!!
Nilivyozimua ile vant nilidata mazima [emoji1787]
Kilichoniokoa mule ndani ni juice za machungwa na tangawizi
Nililala geto sio chini ya siku 3 nikaapa sinywi tena
Ila haikupita mwezi nikalisapraiz ini tena
Wengi wanaamini walevi wanafurahia hali hiyoKuna watu wakiona walevi wanakuwa hawajui changamoto wanazapitia na jinsi wanavyojitahidi kuacha. Niliwahi kwenda kwa mganga miaka mingi iliyopita dawa niliyopewa nashindwa hata kuisema nilikaa miezi mitatu tu nikarudi. Naamini nitaicha jumla
Sema banaNashindwa kuisema mkuu, ni uchafu wa kupitiliza
Check PM yako mkuu, sihitaji iwe publicSema bana
Binadamu gani alishafika mbinguni? Hata wanywa soda hajafika pia.Achana na pombe mkuu. Walevi hawafiki mbinguni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe unahitaji tuzoNawapa mkasa mwingine wa pombe, nikiwa peke yangu familia wameenda likizo ya christmas, nilikunywa pombe siku tatu bila kula ndani namtuma bodaboda tu, wife anapiga simu nashindwa hata kuichukua kwenye sofa nimelala chini kwa carpeti, anamtuma mtu hata sijafunga mlango hali mbaya hatari kuamka siwezi, nikabebwa siku tatu hospital nimewekewa drip natetemeka kama simu iko vibration. Nilipotoka nikaenda kuchukua k-vant ndogo kuweka mwili sawa. Si mikasa ya kufurahisha lakini naikumbuka sana.
wewe sidhani kama utaacha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na mimi niliwahi kufanikiwa kuacha kwa miaka michache, nilivyorudi ndo hali ikawa tete kwelikweli, najitahidi kukaa nayo mbali kuanzia juzi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana kwa afya yako watakuja wakufire siku nyingineKidogo tufanane mkuu pombe zilinitesa Sana,Kuna kipindi nilipiga valeur kubwa moja na vant ndogo na virikuu viwili!
Halafu asubuhi Nina kazi ya kupokea watalii nilijikuta asubuhi nimelala chini kwenye tiles milango ipo wazi,redio full mziki,taa zinawaka,Sina hata Mia mfukoni na simu
Uzuri geto hapakuibiwa chochote manake ninafuga mbwa wakali
Sijadhurika popote,sikumbuki nilifikaje Niko hangover hatari,tumbo linakwangua balaa,siwezi hata kushika glass ya maji
Nilivyokuwa fala nikajikokota mpaka dukani kwa mangi anipe kvant nizimue niende job!
Hapo ndio niliharibu!!
Nilivyozimua ile vant nilidata mazima [emoji1787]
Kilichoniokoa mule ndani ni juice za machungwa na tangawizi
Nililala geto sio chini ya siku 3 nikaapa sinywi tena
Ila haikupita mwezi nikalisapraiz ini tena
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ila we jamaaNawapa mkasa mwingine wa pombe, nikiwa peke yangu familia wameenda likizo ya christmas, nilikunywa pombe siku tatu bila kula ndani namtuma bodaboda tu, wife anapiga simu nashindwa hata kuichukua kwenye sofa nimelala chini kwa carpeti, anamtuma mtu hata sijafunga mlango hali mbaya hatari kuamka siwezi, nikabebwa siku tatu hospital nimewekewa drip natetemeka kama simu iko vibration. Nilipotoka nikaenda kuchukua k-vant ndogo kuweka mwili sawa. Si mikasa ya kufurahisha lakini naikumbuka sana.
Kuna mtu alipewa dawa na mganga akaambiwa akirudia pombe hata funda moja tu anakufa. Sasa hivi yupo tu hata akitaka kunywa hawezi anaogopa kufaKuna watu wakiona walevi wanakuwa hawajui changamoto wanazapitia na jinsi wanavyojitahidi kuacha. Niliwahi kwenda kwa mganga miaka mingi iliyopita dawa niliyopewa nashindwa hata kuisema nilikaa miezi mitatu tu nikarudi. Naamini nitaicha jumla
Safari hii nimeamuawewe sidhani kama utaacha
Nilitoa kisa cha kupewa dawa moja na mganga ila sikuhitaja na vitisho juu kuwa nitakufa, nilikaa miezi mitatu hadi ikawa ndo habari kwa waliokuwa wananifahamu, yaani hawaamini kama nakunywa Grand Malta na Koka tu.Kuna mtu alipewa dawa na mganga akaambiwa akirudia pombe hata funda moja tu anakufa. Sasa hivi yupo tu hata akitaka kunywa hawezi anaogopa kufa
DuuhSafari hii nimeamua
Nilitoa kisa cha kupewa dawa moja na mganga ila sikuhitaja na vitisho juu kuwa nitakufa, nilikaa miezi mitatu hadi ikawa ndo habari kwa waliokuwa wananifahamu, yaani hawaamini kama nakunywa Grand Malta na Koka tu. Nikarudia tena pombe baada ya miezi mitatu safari hii kwa spidi mara mbili zaidi
Lazma watakuwepo ila hawasemi...Hakuna aliyewahi kulewa akaliwa tigo humu!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]