Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,942
wapi hiyo?asubuhi ukaanza kujuta[emoji3][emoji3][emoji3]Nilitomba changu pekupeku
wapi hiyo?asubuhi ukaanza kujuta[emoji3][emoji3][emoji3]Nilitomba changu pekupeku
whisky expensive hazina hangover? ntajaribu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu hamna pombe haina hangover, may be tuseme hangover zinatofautiana kwa pombe na pombe. Ya safari itakuwa kali zaidi ya lite. Hata whisky zile expensive hangover yake siyo kali kama whisky za bei rahisi. Lakini uhimili wa mwili nao unaplay part yake.
kulewa + kudrive kwangu mimi ni marufukuWenyewe wanasemaga ya nyumbani hainogi kwani inakosa vijichachandu vinavyoendana na pombe, kama mtu wa pombe utakuwa umenipata.
bado unakunywa?Mkuu ile ndy ilikuwa siku yake nimle,,maana mtoto mashauzi hatari,,hadi aingie kwenye 18 zangu ni kipengele kingine kikubwa..
Nimeshidwa kuachanoma sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vipi hawakukushauri kuacha pombe
Mwamba kiwango kidogo ha ha ha K vant ndogo mbili inatakiwa unamaliza afu unasikia baaado kabisaMwezi wa saba mwaka huu nilikua na boss wangu kikazi huko bariadi ,boss yeye mzee wa k vant sana..si nikajidai na mimi naimudu k vant.. nikapiga zile chupa ndogo mbili za fasta..ebana..niliona kama dunia iko upside down..mpaka leo k vant naziogopa.
Natamani uniambie what next?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kipindi Niko chuo kikuu Cha Dar es Salaam miaka Ile. Tulikua tunakwenda kunywa wanzuki au mbege maeneo ya Riverside. Siku hiyo tulipata boom vzr Basi tukaona tukapate mbili tatu. Tukafika pale zilipo hostel za mabibo enzi hizo hazijajengwa kulikua na vibanda vya pombe za ovyo. Tukaanza kugida wanzuki. Wenzangu wakachoka wakaniacha na li barmeid Fulani umri umesogea. Kufika saa nne hivi nikaanza kuliona Ni beautiful Fulani. Basi nikalikokota Hadi hall one tower block kwa wale mliopitia shule za ukweli. Tukapanda mpaka kwa room na kufanya majambooz. Asubuhi naamka kwenda kukojoa nikaona ndala za yule mmama zilikua zimetoboka pale anapokanyagia na zimekarabatiwa na waya. Kumcheki kichwani ametia Ile kalkit ya muonekano Kama nywele zimetiwa maji au mafuta mengi. Kumbuka wanafunzi wameshaanza kukaa pale chini karibu na ofisi ya hall manager, wengine wanapiga stori wakitokea kafeteria kupata chai. Mimi Niko juu gorofani na msukule wangu unao dai lazima nimpeleke kituo Cha Basi. Madem wa chuo nao wapo pale stendi wanasubiri daladala. Mimi bado Nina msukule wangu anadai anataka kuwahi kutengeneza pombe mabibo. Aloo.
Nilimlaumu shetani na kazi zake zote. Nitampitishaje yule msukule mbele ya ma brazamen?
Yani pombe ni miyeyusho sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mpka sasa hujanywa tena!?
kwanini mkuu?Yani pombe ni miyeyusho sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mm Nina visa vingi sana sijui nianze kipi lakini cha ajabu hadi leo sijaacha ingawaje nimepunguzakwanini mkuu?
hua nashangaa sana mtu akiacha, yaani like unaacha pombe, halafu utakunywa nn!??.. shusha matukio hayo mkuuMm Nina visa vingi sana sijui nianze kipi lakini cha ajabu hadi leo sijaacha ingawaje nimepunguza
Tulia utanihurumiaNatamani uniambie what next?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kilongola, hata sijui alipokipindi hicho mimi nipo hapo kulikuwa na headmistress mkali 😂 kichizi.sijui yupo wapi yule mama
We mbmbwe nyng tatizo.Kuna siku nilimkamata demu mmoja mkali sana wa Chuo fulani,
Huyo demu alinisumbuwa sana siku nyingi...
Hahahahhaa ikawaje?Kipindi Niko chuo kikuu Cha Dar es Salaam miaka Ile. Tulikua tunakwenda kunywa wanzuki au mbege maeneo ya Riverside. Siku hiyo tulipata boom vzr Basi tukaona tukapate mbili tatu. Tukafika pale zilipo hostel za mabibo enzi hizo hazijajengwa kulikua na vibanda vya pombe za ovyo. Tukaanza kugida wanzuki...
Mbwembwe zipo wapi hapo kwa mfano?We mbmbwe nyng ttzo
Sikuachana nae kwa ubaya, distance played its part after she went to Germany for further studies. Na mpaka sasa tunapoongea yupo huko na tunachekiana kwa nadra sana FB massanger huko.ilikuaje ukaachana nae?
Mwili + ubongo vikishazoea tu unakuwa hauna tofauti na mla madawa ingawa alosto ya madawa ya kulevya ni kali sana mkuu.pombe kama unga ukioverdose unalala moja kwa moja