Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo...
Siku ambayo sinto sahau ni pale tulipo peleka mahari ukweni..ebwanae si wakaleta kitu cha SBL mwanzoni ilianza vzr lkn ilipo fika hatua watu tukaanza kunena kwa lugha,,kama mjuavyo hikitu ikiishaingia na lazima iambatane na aja ndogo Yan hapo utake usitake ni lazima,basi bwana kwa kua tulikua ndan kwa mama mkwe me si nkatoka kwenda kumwaga maji..kumbe badala ya kutoka nje mwenzenu nkaingia moja kwa moja hadi chumbani pale pale nka mwaga radhi chwaaaa..kwa kujiachia nkadhani npo nje,,,,,kibaya zaidi sikufunga hata zpu kengele ikawa inajigonga narudi sebuleni[emoji24]pombe so maji.
 
Unamaanisha power no.1 mkuu? vikiuzwa sh 100 per sachet?baadaye 150....nilikua na age 12 nilipoanza rasmi hii kitu gambe...kifupi kwenye family haikua kesi ni kama tamaduni tu.
. Wamalaw washenz sana walileta pombe flan INAitwa moa wa mafumu kama power vlee ...iliua vjana weng
 
Siku ambayo sinto sahau ni pale tulipo peleka mahari ukweni..ebwanae si wakaleta kitu cha SBL mwanzoni ilianza vzr lkn ilipo fika hatua watu tukaanza kunena kwa lugha,,kama mjuavyo hikitu ikiishaingia na lazima iambatane na aja ndogo Yan hapo utake usitake ni lazima,basi bwana kwa kua tulikua ndan kwa mama mkwe me si nkatoka kwenda kumwaga maji..kumbe badala ya kutoka nje mwenzenu nkaingia moja kwa moja hadi chumbani pale pale nka mwaga radhi chwaaaa..kwa kujiachia nkadhani npo nje,,,,,kibaya zaidi sikufunga hata zpu kengele ikawa inajigonga narudi sebuleni[emoji24]pombe so maji.
Kha!kha!kha!,wewe ulitia fora.Eenhh!!!,nini kilifuata baada ya hapo?
 
[emoji848]
Screenshot_20200924-162931.jpg
 
Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi,

Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto.

Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi.

Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi.

Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu.

Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliuzia msala jamaa zangu walionipeleka home nikiwa nimelewa chakari, kwa kuzuga nilimwambia bibi yangu, "hawa jamaa wakupe bia zako 10, nimewapa wanisaidie kubeba" [emoji28] bibi mwenyewe mchaga huko marangu, beef kati yao lilichukua mda sana kupoa bibi aliwaona ma snitch wamekunywa bia zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku ambayo ilikuwa Kali kuliko zote ni siku tulikaa baa ambayo imechangamka pembeni kuna bodaboda tunaskia kwa mbali usije ukuuuuu ,wee usijeukuuu kidogo bodaboda wakakimbia wengine wakaacha pikipiki zao pale ,kidogo akaingia dogo wa shule ya msingi speed kaingia mlango huu katokea mwingine asikuambie mtu nyuki zilitung'ata sio wahudumu sio wateja kila MTU alimtaja mamayake pale.

basi bana kumbe yule dogo alikuta nyuki juu ya mti akaanza kuzirushia mawe na zile kelele zilikua zikiashiria jambo tulikuja kumbuka baadae ikabidi na ile bar nihame mojkwamoj!🐝🐝🐝
 
Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi,

Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto.

Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi.

Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi.

Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu.

Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
Wewe ni mpumbavu namba moja

Tukuyu tangu lini kuna joto?

Maeneo ya Bagamoyo mtaa wa kanisa unapafahamu

Maeneo ya soko mjinga unapafahamu

Mzee Manuku na kimpo kile unawafahamu

Tukuyu ni baridi kuliko Mbeya mjini

Ahaaa unaleta vichekesho wewe mtoto wa makandana na Bulyaga

Danganya wasiotembea ,Hapa ni JF

Mbeya ipi unaongelea yenye baridi au Nzovwe,Sai,Kalobe na Iwambi

Mbeya kuna baridi ni kweli ila ni miezi fulani tu

Tukuyu labda ya Dot Com,

Tukuyu watu wanavuna mahindi yakiwa mabichi ni Mvua kwa kusonga mbele
 
Back
Top Bottom