Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana mkuu kumbe pombe ina faida kama ndio ivyo inawafanya watu wajuwe kiingereza vzur

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kuna watu walikuwa wanatumia kufanyia interview na presentation ukipiga konyagi aaaah mbona kazi unapata fasta
 
Unapoanzisha uzi uwe unawaza madhara yake

Mimi naona hapa lengo lako litatimia tu, halafu tuone utapata nini

Ilikuwa mwaka juzi sijui hili hili lijamii forum lilinofanya kesho yake nikajikuta nimegeuka kambale.
Kule kwenye uzi wetu pendwa, sasa wewe haya umeyaleta huku. Nilikuwa nikiagiza kwa kutumia menyu za wadau walizokuwa wanapost kwenye uzi wetu pendwa. Kuja kushtuka aseeeeeeeeeeeeee, nishageuka kambale. Walikosea wakanifungia stoo yao sikuishuhudia siku kuu wa la msindikizo wake. Picha zilizagaa saana kimbembe nikuzikubali au kuzikataa
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Miaka kama mi3 iliyopita nlikua na stress zangu nikakaa 40/40 nikaagiza nyagi... baada ya muda wakaja wana... tukaendeleza mwendo wa nyagi..... kustuka saa5 afu mambo yameshaanza kuzidi unga(usiombe ukala nyagi af una stress)..... nikaaga.

ile natoka ivi kuna wana wawili walikua na mamanzi zao kama wanne ivi... moja ina "kagugu" ya maana nlisjishangaa tu nimelipiga lile tk kofi "paaaaa" yule manzi akastuka balaa... akanimwagia maji.... basi kwa mwendo wa kibudha nikaomba radhi..... nikatoka nje af nikaanza kumgeuka tena.... nammaindi mwana ananiondoaje wakati demu kanimwagia maji..... daaaaaaaaaa.
 
Kama uliweza kukaa mwezi mzima bila kunywa ilihali mazingira yalikuwa yanaruhusu kufanya hivyo jibu ni kwamba hujawahi kuwa mlevi mkuu
hhhh! mkuu naweza kupitisha mwezi maana miaka ya nyuma nilikuwa siwez hata kupitisha siku tatizo saiv siku ninayosema nakunywa lazima nifidie siku ambazo sijanywa ndo balaa linapoanzia apo
 
kuna watu walikuwa wanatumia kufanyia interview na presentation ukipiga konyagi aaaah mbona kazi unapata fasta

Mimi nilipata kazi 3, kisa nilikuwa napiga ile asubuhi kabla ya interview viroba vinne vya Konyagi nachanganya na sprite. Kuna sehemu nilifanyiwa interview na wazungu, ilikuwa Moshi kiwanda cha sukari, tukiwa njiani na wenzangu tunarudi Moshi mjini kabla hata hatujapata gari HR akanipigia kuwa nimepata kazi nisiondoke kesho nikasaini mkataba.

Ila niliachana nao, mshahara kiduchu sana. Hata hii kazi ninayofanya sasa niliipata kwa nguvu za viroba.
 
Juzi juzi tu hapa nimepanda daladala sayansi kijitonyama na jamaa amelewa saa 6 mchana jua kali,
tumetoka pale tunaelekea mwenge tumefika adi mataa pale mwenge anamwambia konda amuache sayansi na wakati alipopandia gari ndo sayansi[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nilipata kazi 3, kisa nilikuwa napiga ile asubuhi kabla ya interview viroba vinne vya Konyagi nachanganya na sprite. Kuna sehemu nilifanyiwa interview na wazungu, ilikuwa Moshi kiwanda cha sukari, tukiwa njiani na wenzangu tunarudi Moshi mjini kabla hata hatujapata gari HR akanipigia kuwa nimepata kazi nisiondoke kesho nikasaini mkataba. Ila niliachana nao, mshahara kiduchu sana. Hata hii kazi ninayofanya sasa niliipata kwa nguvu za viroba.
Dah!!!,Wewe sasa pombe ina positive impact kwako.
 
Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo.

Nilikunywa mpaka K Vant nikaiona kama soda, nakuja kustuka pombe imenizidi kiasi hata kutembea ilikuwa noma. Sifanyi fujo nikilewa kila mtu alifurahi lakini balaa lipo kwa ndugu zangu kujua kuwa ninakunywa. Busara ilitumika simu yangu nikaicha kwa mtu niipate nikiwa fresh.

Ase nilifanya safari ya saa 1 na nusu peke yangu nikiwa nimelewa na sijui nilifikaje nyumbani, kuja kustuka ni asubuhi niko kitandani tatizo limebaki kwa ndugu zangu. Wakati nimeacha simu kwa rafiki nilipigiwa jamaa akapokea na kuwaambia niko kwenye matatizo ile kitu ilizua taharuki watu hawajalala kuulizia hali yangu maana mimi sikupatikana tena.

Hii kitu imeniweka sehemu mbaya sana hakuna mtu anataka kunielewa tena. Ukweli nimekwama nimeamua kuacha pombe maana naona itanigombanisha na ndugu.
Hongera ndugu zako wanakujar mkuu.
 
Jamaa umenikumbusha mbali matukio ni mengi ila moja ni hili.

Wakati nikiwa chuo mwaka wa mwisho tulikuwa tunafanya vikao vya tungi, kama kawaida faru john mtu nne ila nilikua nachelewa kulewa tofauti na wenzangu kwa bahati mbaya Siku iyo nlikula slace mbili za mkate, nikakaza kibingwa Hamna kutegeana nakumbuka tulikunywa konyagi nyingi sana baadae tukasepa kila mtu kivyake njiani nikanunua chips+mishkaki ili nikalie geto kufika geto nikaanza kukata moto kiasi kwamba nilishindwa kuingiza funguo kwenye tundu la kofuli nikajisogeza pembeni Luna tofali nkakaa cha ajabu ambacho kilinishangaza alikuja mbwa sijui wa wapi akaninyang'anya mfuko wenye kiepe na mishkaki nilishindwa hata kumwambia shhh toka maana mdomo haufunguki, nikaamua kujilaza palepale hadi asubui.

Nikajifunza pombe bila msosi noma pia niligundua ukinywa nyagi na glass macho yanakufa
 
Jamaa umenikumbusha mbali matukio ni mengi ila moja ni hili:
Wakati nikiwa chuo mwaka wa mwisho tulikuwa tunafanya vikao vya tungi ,kama kawaida faru john mtu nne ila nilikua nachelewa kulewa tofauti na wenzangu kwa bahati mbaya Siku iyo nlikula slace mbili za mkate ,nikakaza kibingwa Hamna kutegeana nakumbuka tulikunywa konyagi nyingi sana baadae tukasepa kila mtu kivyake njiani nikanunua chips+mishkaki ili nikalie geto kufika geto nikaanza kukata moto kiasi kwamba nilishindwa kuingiza funguo kwenye tundu la kofuli nikajisogeza pembeni Luna tofali nkakaa cha ajabu ambacho kilinishangaza alikuja mbwa sijui wa wapi akaninyang'anya mfuko wenye kiepe na mishkaki nilishindwa hata kumwambia shhh toka maana mdomo haufunguki,nikaamua kujilaza palepale hadi asubui..nikajifunza pombe bila msosi noma pia niligundua ukinywa nyagi na glass macho yanakufa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwaka 2008, Nilikuwa Mbeya Tukuyu Kikazi, Nilikuwa nimetokea Mbeya Mjini ambapo Kuna baridi, Dose yangu ilikuwa Tusker Kumi,

Kwenda Tukuyu Nikaendelea na dose ileile bila kugundua kuwa Hali ya hewa ya Tukuyu Ni Tofauti na Mbeya Mjini. Na Pombe. Hukolea kwenye Joto, Tukuyu Kuna Joto.

Mzee Mzima Nikavesha Kama kawaida, mpaka saa tano FULANI hivi, Sasa kimbembe Nikasahau Guest, Nikaenda kugonga Nyumba ambayo Inaangaliana na Guest Huku Povu likinitoka kwanini wafunge na Mimi bado sijarudi.

Ebwana mlango ulifunguliwa na Mbaba mmoja akiwa na njemba tatu (Watoto wake) Nilichezea vitasa vyakutosha kila nikiweka Gurd wapi.

Niliokolewa na Staff wenzangu Baada ya kuhisi kuwa sijarudi na wanasikia kelele za sauti yangu.

Asee hiyo ilikuwa moja Ila Pombe kuacha bado nafikiria.
rest in peace mkuu...anh kumbe ulipona
 
Back
Top Bottom