fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,929
- 24,628
Hiki ni kiwango kikubwa sana kwa Ini kuchakata intoxication (kupunguza kiwango cha sumu kwa kubadirisha acetic acids into carbon dioxide, fatty acids na maji) kwaajili ya matumizi mwilini.hyo ilkua na 45% mkuu
Ukiona pombe inazidi 43% Vcl bora upige shots kazaa with spark of ice uachane nayo, ukijifanya unakomaa nayo kama unavyokunywa konyagi utazikwa au utalala hospitali zaidi ya siku 2 mwili ukibugia dripu za maji tu kwa kasi.