Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Nilipata aibu kwenye sherehe moja hv ilikua kila mziki unapopigwa lazima niende mbele kucheza,si unajua pombe inataka mziki aibu kuu niliipata baada ya kwenda mbele kwenye kikundi cha kina mama nami nikajichanganya humo humo
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka kama 10 iliyopita Nilitembea juu ya mkaa wa motoo nikiamini nina special powers siwezi ungua...aisee sitosahau nilikaa ndani week 2[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unauwezo wa kuucontrol unywaji wako which is very good. Don't let yourself be alcohol-driven person. Inasumbua sana ukifika hiyo state
sanaaa sio kidogoo[emoji3][emoji3][emoji3] mifano nimeiona kuna jamaa anakunywa gongo muda wote amelewa
 
sanaaa sio kidogoo[emoji3][emoji3][emoji3] mifano nimeiona kuna jamaa anakunywa gongo muda wote amelewa
Huyo jamaa amefikia ile state ya asipokunywa mwili hauwezi kuzalisha fatty acids na essentials zingine kwenye mwili kwaajili ya kuzifuel cells pale energy (glucose) inapokosekana au kuwa ndogo kwenye mwili.

Hii ni hali mbaya; usipokunywa damu inakosa kiasi cha pombe kinachihitajika mwilini ili kuspeed up blood circulation, mtu anabaki kuzubaa (uchakataji wa taarifa (impulses) hufanyika si kwa speed inayotakiwa (Akichangia mada kwenye maongezi au akiulizwa swali atajibu vile atakavyojisikia hata kama ni nje ya topic maana ubongo humletea taarifa mchanganyiko), mlengwa hutetemeka mikono na kushindwa kushika hata peni au glass ya maji. Madhara ni mengi lakini yote hutibika hata bila msaada wa daktari ukiwa tayari.

Tunashauriwa kunywa pombe ambayo unaimudu, hata kama ina alcohol volume nyingi unashauriwa kutumia kiasi na si kwasifa ya kumaliza chupa nzima. Overc consumption ya wakati mmoja kwa pombe kali aina ya spirits, gins, brandies na whiskeys bila maji inaweza kukupelekea kifo.
 
Hebu tuone kwanza hicho kitambi, jana nilijaribu kunywa Serengeti lite nikamaliza moja ile ya pili hata nusu sikuikata. Jamani beer ni MBAYAAA
sana sijui kwanini watu wanapenda beer
Ilikua 2014" " mkoan Tabora huko"""
Kuna ukumbi wa Club: unaitwa 1 O 1 (one zero one)....wikend moja hiv!! Nilichukua bodaboda ya mshikaj ili nipigie misele""" but ilipotimia night hiv nilienda pale ukumbin kubuludika""" na ilipotimu saa 6 hiv! Nikatoka ..dhumun niende ghetto" coz kichwan nishawaka'''

Sasa suala linaanzia hapa:
Ile bodaboda ilikua nje ya ukumbi nimepaki""
Nilipoiwasha tuu"" wakatokea Warembo Wawili ( pisi kalii) pamoja na msela mmoja::

Kabla sijawaoji yule demu mmoja kisha dandia pikipiki......akatoa na amri nipeleke mtaa Cheyo"" ( mitaa fulan ushuani huko)
Ikumbukwe BodaBoda Haikua kazi yangu;

Nikasema poa" ngoja niongeze hela ya mafuta"""""" wale wengine tuliwaacha.. Japo yule demu niliempakia aliwasisitiza wenzie hatakua salama""""( japo Alikua nae kalewa)

Safari ilipokolea nakuja situka kanilalia mgongon!! Anaongea maneno hayaeleweki!!!!!! Kila nikimuuliza wapi kwenu"" anakoloma tuu"" daa"" ikabidi nilud"" mpka club""

Nikajitega pale mpka ngoma 8 hivi ..wenzie sikuwaona""""( shubaamiti)....
Wakuu ilibidi niende nae ghetto yule mtoto ...

Kufika ghetto mtoto nambeba mpka ndan ajielewi!!!! ..ilibidi nimtoe nguo zote""" coz alitapikia"" kibaya zaid"" hakua na simu" nikamfuta na maji """ washa fen nini!! .....oooh my god""alikua mzuri hatar!!!!!..
Chuchu saa6..kasoro... Rangi ya mtume, ;;;

Kilichonikosti ni vile viroba viwili nilivobakiza mfukoni!! Baada ya kuviongeza kichwani!.....""Anisamehe Yesu na Kristo"" (asubuh nilikuta nishamfyeka""" Alipostuka pombe zimeishaa ilikua ni kilio tuu:

Ukichangany ni wakishua"""asee ilikua kazi kumtuliza na kumuelewesha"""""..
Lawama zote tulizipeleka kwa JOHNY(Pombe) ila alikuja elewa" Asubuh hyo" nikafanya mpango kumpeleka kwao , , , , , , itaendelea!!?
Yesu kristo akusamehe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna pombe haina hangover jombaa, nimejaribu pombe nyingi sana nilizoambiwa hazina hangover, hali ni ile ile! Kinacholeta hangover sio jina la pombe but ni ile alcohol
watu wanasema Serengeti haina, lakini mi naona zote zinayo
Nilipata aibu kwenye sherehe moja hv ilikua kila mziki unapopigwa lazima niende mbele kucheza,si unajua pombe inataka mziki aibu kuu niliipata baada ya kwenda mbele kwenye kikundi cha kina mama nami nikajichanganya humo humo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi inaniletea majanga ya kutosha,has a matumizi mabaya ya fedha lakini,kila nikipumzika nikifungulia naona hatar zaidi.nmeona Bora niipigage tu ila nihakikishe malengo niliyojiwekea ni first.mtungi mtamu tupige kwa tahadhari na kufanikisha mipango yetu,kwa wale waliofanikisha si vibaya kutafuta fulsa zingine.
 
Hiyo inanikumbusha nikiwa kilimanjaro huko mitaa flani tulitia kambi kwaajili ya ujenzi baada ya kulipwa ile ilikuwa jumamosi mimi na wanangu kama wanne tukaona tuende mahali tukajirudishie shukrani.

Kutokana na baridi ikabidi tuanzie na treni ya kuni (gongo) for the first time i swear, baadae tukaenda mahali kupata za TBL katika kurudi ghetto mida ya saa saba katikati ya safar mtaa huo kuna wezi wamepita bana kukutana na wanachi wanasema ni hawa hawa hiyo siku nilikimbia mithili ya subaru
 
vijana pombe si chai inatakiwa kunywa kistaarabu tu wala si mashindano
ukiona umekunywa pombe ukaanza kuimba wacha pombe kabisa naniii😀😀😀😀😀
 
mkuu umetoa somo zuri....we ni konki kwenye ivi vitu ......Mi siwezagi kufikisha siku 3 bila ya kula gambe na nisipokunywa nakua Kama mzubaifu kinoma sijui ndo tungi lishaanza kunitawala fyddell
 
nai amewahi kuwa na babu mtata huku? Namaanisha yule mzee akilewa akirudi home anakuwa mtu wa vita vita hasikii wala haelewi jambo
babu yangu alikuwa mtata sana. Hasa wazee waliosoma enzi za ukoloni wakilewa wanaubishi sana
 
mkuu umetoa somo zuri....we ni konki kwenye ivi vitu ......Mi siwezagi kufikisha siku 3 bila ya kula gambe na nisipokunywa nakua Kama mzubaifu kinoma sijui ndo tungi lishaanza kunitawala fyddell
Kunywa pombe mara kwa mara huwa inaanza na mazoea; mazingira unayoishi na aina ya watu waliokuzunguka, pili kuwa idle muda mwingi nayo hupelekea kunywa kwa kujiliwaza, tatu stresses huchangia kunywa pombe mara kwa mara kutafuta relief kutokana na mgandamizo wa mawazo. Hizi ni sababu kuu za kumfanya mtu aingie katika drinking habit.

Habit ya kunywa pombe ikishajijenga kile kiasi unywacho utaona hakitoshi utaongeza, sasa kwenye kuongeza hapa ndipo hupelekea mabadiriko ya ufanyaji kazi wa ubongo.

Visafirisha taarifa (neurones) havitakuwa active kama hakuna kiasi cha pombe kwenye damu, hapa ndipo uzorotaji, uzubaifu wa mtu, kushtuka shtuka au kutofanya kazi kwa speed ya kawaida hutokea. Mtu huyu atakuwa active mpaka apate kinywaji chochote ili aweze kuzistimulate cells za mwili.

So mkuu stage uliyokuwepo ushaijua kutokana na maelezo yangu.
Asante
 
Back
Top Bottom