Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
"Waachwe wavune kile walichokipanda mwaka 2015, Kila mtu atabeba mzigo wake"
NIMENUKUU TU.
NIMENUKUU TU.
Kwa nini mgambo kaumizwa na machinga? Dadavua vinginevyo usiwalaumu machinga! Wao sio wehu kiasi hicho wampige mgambo bila sababu lazima kuna tukio lilizozalisha tukio na tukio tenaMnaotetea hao Chhinga muelewe Chinga ndo wameazisha vurugu kwa kuwapiga Mgambo na wamemuumiza sana hadi kupelekwa hospitali akiwa Mahututi.
Tuitoe nchi kwa yule bwana mamvi tulomsema fisadi mi naona bora hy then tujipange upyaTUlisema tulinde kura tumtoe mkoloni mweusi wengi wakatugeuka kisa uncle sizonje anatokea huku, sasa acha tuisome namba.
Poleni watz na ujinga ndio uginjwa unaotutesa.
Nishakataa huo ujinga wa kupigishana magoti kuombea wanaume wezako.hawa ndiyo ndugu Pengo anasema tuwaunge mkono na kuwaombea, imagine??
Source; ITV.
Walioshuhudia mapigo ya wamachinga jijini Mwanza kwa macho or through ITV habari jioni wamesema hayo mambo yalikuwa yanatokea before 1994 kule South Africa na ni nadra sana kuyaona katika nchi huru.
Hivi si ni Rais aliyewaruhusu hawa Watanzania wenzetu wafanye biashara?
Tuna serikali yenye midomo miwili?
Machozi yamenitoka kuona mtu amepiga magoti kujisalimisha akipigwa teke usoni.
Hakuna kavideo chake mkuuHata mimi nimeona hiyo kitu kupitia ITV.
Kile kipigo ni cha hatari kubwa.
CCM oyeee.
Hapa kazi tu.