Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Hao migambo asubuhi maeneo ya stand ya lwagasore mwenzao alipigwa vibaya sana na machinga nusu kifo baada ya hapo wameshikwa na hasira ya mwenzao yani walikuwa wanapija mtu yeyote wanao muona mbele yao wameumiza watu wengi sina ata wasio na hatia yani mtu akishuka kwenye gari tu wanampokea kwa virungu
 
Nimeona hiyo. Itv. Nafkiri Itv wmeionyesha maksudi ili wakubwa waione. Tusubiri tamko la serikali kesho. Hawatapendezwa na kilichofanyika.
Ile habari inaweza ikawa na impact kubwa sana baadae. Jamaa anachezea virungu balaa...!
 
Kitendo cha askari mgambo kumpiga yule mmachinga vile mpaka watu wengine wakawa wanawasihi kwa maneno ya watamuua kinapaswa kulaaniwa na wapenda amani wote.. Kinachonisikitisha ni kwamba hakuna askari yeyote ambae atachukuliwa hatua na maisha yataendelea kama kawaida, kwa hao askari kuendelea kutembeza kipigo kwa raia wengine..

Very sad aiseee..
 
Rejea agizo la mtukufu.... Watu waopope fyombo fya dola....

Hapa kazi tuu
Fyombo fya dola ni nini?

Kama ulikuwa na maana ya vyombo vya dola basi unatakiwa uelewe kuwa pale waumini wanapoambiwa ndani ya Biblia wamwogope Mungu haina maana kuwa wamwogope Mungu kwa sababu anaadhibu ovyo ovyo.
 
Jamani,huenda ni agizo toka juu, kaona madhara ya kauli yake, nakukiri alikurupuka ni vigumu,ss mgambo wanafata maagizo ! Haiwezekani mgambo wacogope kujiamulia tu wapige watu km mbwa kichaa !
 
Source; ITV.
Walioshuhudia mapigo ya wamachinga jijini Mwanza kwa macho or through ITV habari jioni wamesema hayo mambo yalikuwa yanatokea before 1994 kule South Africa na ni nadra sana kuyaona katika nchi huru.
Hivi si ni Rais aliyewaruhusu hawa Watanzania wenzetu wafanye biashara?
Tuna serikali yenye midomo miwili?
Machozi yamenitoka kuona mtu amepiga magoti kujisalimisha akipigwa teke usoni.
Hyooh nimeiona mkuu inauma saanaaa!!!!!....
 
Ile video kwenye ITV imeniharibia usiku wangu,wale mgambo wanafaa wapigwe vile na wao
 
Wale wagambo wanasema wamepewa Amri na mkuu wa wilaya. Mkuu wa wilaya naye akahojiwa na kusema ni kweli ametoa hiyo amri ya kuwaondoa hao wamachinga kwa nguvu zote(Kipigo kikali?).

Wamachinga wajipange kutii amri za wakubwa au kurudi kijijini kulima, huku mijini watazidi kunyanyasika na kupigwa ovyo ovyo kama mbwa.
Hapa kazi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom