LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,515
- 3,928
Siasa za bongo bwana! Kwa sababu tu chama cha hakikuchaguliwa kushika dola basi raia wakiumia wala hujali. Una uhakika wote walioumia hakuna hata mmoja wa chama chako? Tutumie busara japo kidogo!Magu aliwapoteza maboya nao wakajaa wazima wazima na shangwe kibao acha wakione cha mtema kuni