Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Inachukiza na kusikitisha kuona wanamgambo wanampiga mtu teke la kichwa wakati ameishapiga magopi. Ningeelewa kidogo kama yule kijana angekuwa anakaidi amri.

Hawa wana mgambo hawana hata chembe ya ubinadamu achilia mbali maadili ya kazi.

Wao na Viongozi wao wamekalia kuti kavu.
Majeshi yote lazima yaheshimiwe
 
Magufuli kabla ya kuwa rais alisema utawala wake yeye hakutakuwa na askari wa Mgambo na akasisitiza hawo jamaa watafute kazi nyengine kabla hajawa rais sasa kumbe ilishindikina? Bado wanaendelea kupiga wananchi kinyama?
wiki iliyopita nimeshuhudia kwa macho yangu kariakoo machinga wakifukuzwa!!!
nilishangaa nikasema kumbe ile ilikua kick tu!!
 
Wananchi wanatakiwa waogope vyombo vya dola. Nakumbuka haya maneno ya kiranja mkuu.
 
Nyie wapinzan hebu jipangen bas mje na mikakat yenye mashiko kwa wananch ili tuwaamin 2020 tuwape nchi hawa ssm wameshachoka kuongoza wanaonyesha na wao wanataman kuwa chama cha upinzan kama nyny mnavyotaman kuwa chama tawala...
Wahangaike juani ili wewe ule kivulini...loo, ziko akili sitamani nizielewe.
 
Heshima ya vyombo vya dola itarudishwa vipi kama raia wasio tii sheria hawapokei kipigo kizito?

#I wish ningekuwa IGP
[HASHTAG]#Wapigwe[/HASHTAG] tu
[HASHTAG]#Hapa[/HASHTAG] kazi tu.
[HASHTAG]#Niombeeni[/HASHTAG].
 
Mi naona kipigo bado kabisa... Pls police kazeni rungu, piga virungu hao bila huruma maana wamejengewa hadi airport kijijini kwao... Tembezeni kichapo cha maana, kichapo hakijawahi tokea! Sasa ona et kimeshatokea? Hii ni dharau kwa jeshi la police
 
Kwenye TV wameonyesha wanapigwa watu wangapi mkuu?

Baadhi ya Machinga ila yupo mmoja ndio ameshushiwa vipigo pamoja na kukaa chini huku akiwa na nguo zake mikononi..
 
inafikia mhali usikubali kufanya kila unachoamriwa alaf ukifa wanapatwa na hatia lakin wewe ushavuta ivo hapana iko haja ya kupingana na ujinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom