[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeona I.T.V ,migambo wanawapiga kwa kuwashambulia Raia(Machinga) kama wanaua nyoka aisee...
TUlisema tulinde kura tumtoe mkoloni mweusi wengi wakatugeuka kisa uncle sizonje anatokea huku, sasa acha tuisome namba.Source; ITV.
Walioshuhudia mapigo ya wamachinga jijini Mwanza kwa macho or through ITV habari jioni wamesema hayo mambo yalikuwa yanatokea before 1994 kule South Africa na ni nadra sana kuyaona katika nchi huru.
Hivi si ni Rais aliyewaruhusu hawa Watanzania wenzetu wafanye biashara?
Tuna serikali yenye midomo miwili?
Machozi yamenitoka kuona mtu amepiga magoti kujisalimisha akipigwa teke usoni.

Nakumbuka wakati akihutubia simiyuMagufuli kabla ya kuwa rais alisema utawala wake yeye hakutakuwa na askari wa Mgambo na akasisitiza hawo jamaa watafute kazi nyengine kabla hajawa rais sasa kumbe ilishindikina? Bado wanaendelea kupiga wananchi kinyama?
Rejea agizo la mtukufu.... Watu waopope fyombo fya dola....
Hapa kazi tuu
Nimeona hiyo. Itv. Nafkiri Itv wmeionyesha maksudi ili wakubwa waione. Tusubiri tamko la serikali kesho. Hawatapendezwa na kilichofanyika.
Nimesikitika sana hats Mimi.angekuwa Mwalimu mawaziri watano wangetoa kauliSource; ITV.
Walioshuhudia mapigo ya wamachinga jijini Mwanza kwa macho or through ITV habari jioni wamesema hayo mambo yalikuwa yanatokea before 1994 kule South Africa na ni nadra sana kuyaona katika nchi huru.
Hivi si ni Rais aliyewaruhusu hawa Watanzania wenzetu wafanye biashara?
Tuna serikali yenye midomo miwili?
Machozi yamenitoka kuona mtu amepiga magoti kujisalimisha akipigwa teke usoni.
Hii akili iliyokutuma kuandika hapa leo endelea nayo hivyo hivyo.Inachukiza na kusikitisha kuona wanamgambo wanampiga mtu teke la kichwa wakati ameishapiga magopi. Ningeelewa kidogo kama yule kijana angekuwa anakaidi amri.
Hawa wana mgambo hawana hata chembe ya ubinadamu achilia mbali maadili ya kazi.
Wao na Viongozi wao wamekalia kuti kavu.
Sidhani kama wamefanya makusudi wametimiza wajibu wao kwa kuwapasha habari watanzania, hawa mgambo wanatakiwa wafikishwe mahakamani.Nimeona hiyo. Itv. Nafkiri Itv wmeionyesha maksudi ili wakubwa waione. Tusubiri tamko la serikali kesho. Hawatapendezwa na kilichofanyika.