Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Unawazungumzia hao machinga
wasio bebeka kama klabu ya yanga!!
mtu anakubeba jitulize na utumie nafasi hiyo vizuri
wao wanavuka mipaka
ulitegemea nini!!

wamefikia hatua yakupanga vitu kwenye vituo vya mabasi ya mwendokasi!!

Boda boda mmeambiwa msipakie mshikaki
na mvae kefia
Watu wana kaidi wewe unakuja na ngonjera zako polisi wafanyeje!?

Tena bado naona polisi wana udhaifu mkubwa
waongeze nguvu

Wewe ndo uliekua unamtetea Rais jemy wa ngambia aliyekataliwa na watu we ndo unaona raha Afrika kujiondoa ICC teh teh natamani nione hata sura yako ukoje kwa mawazo unayotoaga hua nacheka sana
 

​

Walioshuhudia mapigo ya wamachinga jijini Mwanza kwa macho or through ITV habari jioni wamesema hayo mambo yalikuwa yanatokea before 1994 kule South Africa na ni nadra sana kuyaona katika nchi huru.

Hivi si ni Rais aliyewaruhusu hawa Watanzania wenzetu wafanye biashara?
Tuna serikali yenye midomo miwili?

Machozi yamenitoka kuona mtu amepiga magoti kujisalimisha akipigwa teke usoni.

Jamani watu wanapigwa kama wauaji? Viongozi wetu wanasemaje kuhusiana na hili? Sheria ichukue mkondo wake jamani. Wanasheria mko wapi? Mteteeni huyu kijana ili wlaiompiga wawajibishwe
 
Usicheze na kuambiwa na rais tena hadharani kwa mtu kama IGP kuwa huwezi kazi kisa tu unaamua kuanzisha dhana ya utawala bora na ushirikiano mwema ndani ya jeshi la polisi. Rais anasema kuwa jeshi linatakiwa kuogopwa sana. Anasema kuwa "Jeshi ni jeshi tu, sitaki lichezewe"

Machinga eneo la Kariakoo ambao juzijuzi tu hata wiki tatu hazijaisha walitoka kumshangilia rais Magufuli kuwa ni "rais wao" ni mwenzao na wakaishia kumpachika jina la "rais wa wamachinga", leo ukikutwa tu hata umechomoza pua na tusoksi twako au tuvyombo twako utajuta kulijua jeshi la Magufuli! Unashushiwa virungu kama tai wanavyoushukia mzoga.

Kule Mwanza nako mambo ni waa! Jeshi letu pendwa la polisi linafanya mambo kijeshi usipime. Watoto wa mjini tunaowaita "machinga" wanachapika haswaa. Hapana kuchezea jeshi. "Eti porisi jamii, jeshi ni jeshi tu sitaki richezewe"

Waendesha bodaboda nao hawajaachwa kwenye hii karamu, nao wanachapika kwa nafasi yao kama bodaboda!

Kwa ufupi kwenye huu utawala ishi kama lolote linaweza kutokea wakati wowote!
Who is next?Every one,except the soldiers .Watatupiga kama wanaopiga wanyama.Hakuna tena utawala was sheria!Mkuu ameshasema.
 
Vta dhidi ya madawa kulevya sasa imekuwa ni uonevu kwa raia wakawaida, huku kwetu jana wamemkamata kijana moja akiwa anasomba maji kwenye madumu,akaambiwa twenfe kituoni inasemekana unauza madawa ya kulevya aina ya gongo
 
Wakati mwengine vijana wa chadema huwa siwaelewi hata kidogo! hivi wewe ulipita pale Mtaa wa MSimbazi ukaona jinso watu wanavotembea kwenye barabara za magari ya kawaida na wengine kwenye mwendo kasi? umeona watu walivokuwa wanapanga bidhaa zao kwenye barabara ya waenda kwa miguu?

Kwanini hampendi kupongeza kazi nzuri zinazofanywa na serikali? hata kama ni wapinzani wakati mwengine mnatakiwa kupongeza kazi nzuri inayofanywa na serikali!

Mimi kama mzaliwa wa Kariakoo nilikuwa nahisi kinyaa na kukasirishwa nikipita KAriakoo kabla wamachinga hawajaondolewa! NAUNGA MKONO KWA DHATI OPERATION HII ya kuwaondoa wamachinga! ni karaha kupita kiasi!
Kile kitendo cha kufanya kkoo kupitika ni suala la msingi kuliko msingi wenyewe....watu mawazo yao yamekuwa addicted kuponda kila kitu...addiction ni ugonjwa mbaya sana....mm niko neutral kibaya naponda na kushauri, kizuri nasifia...hizi tabia za vinyongo zinatuua mindset zetu wabongo
 
Mheshiwa akiona vile ndiyo anafurahi kuliko maelezo, si ajabu ukashaanga mgambo kama yule anapandishwa cheo na kuwa mwanajeshi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kweli.
Lakini kama kuna ukweli kidogo, jama yule aliyempiga makofi Warioba leo ndio mkuu wa mkoa.
 
mlizoeya kubembelezwa na tawala zilizopita hapa hapa upuuzi weka kule hapa kazi tu ,unaenda kuimbia kwaya kituo cha polisi nakusafisha gari la teja nyambaafu nyie
 
mlizoeya kubembelezwa na tawala zilizopita hapa hapa upuuzi weka kule hapa kazi tu ,unaenda kuimbia kwaya kituo cha polisi nakusafisha gari la teja nyambaafu nyie
 
Hivi hawamueshimu Raisi? Tusubiri Wakitumbuliwa. Kumbuka Raisi alisema yeye na Makamu wa Raisi ndiyo walioangaika kupata kura, wengine ni viongozi tu wa kuteuliwa tu....
 
Nipo Mwanza hapa! Hakika kwa kinachoendelea naungana na halimashauri husika hawa watu wapigwe tu! Walituchafulia mji mpaka ikawa kero,ukiwagusa tu wakali kwa kisingizio kuwa wao ndio waliotuletea mungu wa Tanzania kwahiyo wanakila sababu ya kufanya chochote wanavyotaka.
Sasa nasema kile kipigo cha Jana kilikuwa kidogo nawaomba vijana wa kazi wakaze mpaka ile kauli ya hapa kazi tu ieleweke kwa kila mwananchi.
 
Hongera sana polisi kwa kutoa kichapo kizuri ....hii ni nchi ya CCM nasivinginevyo.....pigeni mpaka wavunjike viuno
 
Na alivyo na roho nzuri sasa, anawapeti peti kwa maneno mazuuri ili wajiachie vizuri polisi wapate wateja wawakandamize vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom