Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

kufanyiwa usafi wa kinywa na kucha....na hao jamaa wa secret servise usiombe...[emoji1] [emoji1] ..!!..

niwahi kuwaza baba bite ana kaazi maalumu kuhusu ray.....

poa mkuu twende kazi....riwaya ipo sambamba na nyakati halisi tulizopo...kama mfuatiliaji wa masuala ya kisiasa.....!!!....
 
"hawa ndio mafala wanaotugongea mademu zetu vyuoni, wanajifanya 'wajasiriamali' kumbe wazee wa kitengo".
Ray bwana anawaza mademu tuuuuuuuuuuuuuu, ahsante sana mkuu sikuwaza kabisaaa kama baba Bite atakuwa usalama wa Taifa nlichojua kuwa na yy ni wale waleeeeeee
Inaelekea alikuwa akimchunga sana cheupe
 
Wakuu,

Kutokana na sababu za kimaadili na kujaribu simulizi hii iendelee pasipo mushkeli.. Inanipasa kubadili baadhi ya majina ya wahusika..

Wahusika hao na majina yao ya sasa ni kama ifuatavyo, pasipo kutaja majina yao ya awali;

1. Waziri - Mhe. Charles Wangwe

2. Mwanachama wa The Board aliyekuwa mbunge na kujiuzuru miaka michache iliyopita - Khalid Mohammed

3. Askofu mwanachama wa The Board - Askofu Eliyah Kamei

4. Kampuni ya Utafutaji mafuta Morogoro - Quebec Energy.

Kwahiyo, kuanzia Episode hii ya 5 ambayo nimeiweka tayari nimebadilisha majina ya wahusika hao na na episode zote zinazofuata wahusika hao watafahamika kama inavyoonekana hapo juu..


Samahani kwa usumbufu!

Shukarani..
Washaanza kukusumbua? Itafika mwisho kweli hii?
 
Mkuu Moja ya mashart kwa mh hapo,mwambie akuambie ben saa 4 ukijumlisha 4 na yeye kafichwa na the board au?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom