Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Naunga mkonyo hojaaaSio siri jumamosi ni mbali mkuu ze bold na cheupe wako bibie nifah.. Hamna namna tunaweza edit ratiba?ili kukabiliana na hii arosto

Naunga mkonyo hojaaaSio siri jumamosi ni mbali mkuu ze bold na cheupe wako bibie nifah.. Hamna namna tunaweza edit ratiba?ili kukabiliana na hii arosto

Shemu hope mko poa ....Kama hajaedit kwenye episode ya 5 basi alimaanisha kuanzia episode ya 6 ndio kutakuwa na mabadiliko hayo.
#TheBold's
jmos mbaliiiii
Na leo namtafuta sana,maana sijaingia hapa tangu kumekucha ndo nakuja hapa,ukimuona Clkey msalimieMkuu una namba yake huyu kiumbe

Wacha nisubiri hiki kizungumkuti ila bonge la story hongera the boldTayari! Post # 1115
Wapendwa wetu...Sio siri jumamosi ni mbali mkuu ze bold na cheupe wako bibie nifah.. Hamna namna tunaweza edit ratiba?ili kukabiliana na hii arosto
Shemu hope mko poa ....![]()
![]()
![]()
jmos mbaliiiii
Huyu jamaa si wampe ajira tuu humu JF aache hizo kaziWapendwa wetu...
Kuandaa story yahitaji muda wa kutosha,na bwana mkubwa The bold yuko busy na majukumu ya kikazi.
Anajitahidi sana kiukweli kubalance mambo.
Lakini mkumbuke mwisho wa siku nae lazima atafute mkate wa family,vuteni subira jama...jumamosi sio mbali![]()
Asanteni.
#TheBold's
Upo sahihi japokuwa utamu ukikolea watakuendelea......tunamruhusu atafuta riziki na cheupe wake asikose matunzo...aendele kung'ara kama mnavyomwonaWapendwa wetu...
Kuandaa story yahitaji muda wa kutosha,na bwana mkubwa The bold yuko busy na majukumu ya kikazi.
Anajitahidi sana kiukweli kubalance mambo.
Lakini mkumbuke mwisho wa siku nae lazima atafute mkate wa family,vuteni subira jama...jumamosi sio mbali![]()
Asanteni.
#TheBold's

WeeeeeeHuyu jamaa si wampe ajira tuu humu JF aache hizo kazi
wataiweza price yake?Umeona eeeeeh?Upo sahihi japokuwa utamu ukikolea watakuendelea......tunamruhusu atafuta riziki na cheupe wake asikose matunzo...aendele kung'ara kama mnavyomwona![]()

Ndio kama mtu anatumia muda wake kuandaa mambo mazuri ya kuelimisha na kuburidisha ..kwanini wasimpe ajira aweke nguvu kubwa zaidi huku ili hata kila wiki aweke makala moja mambo yaende...?Weeeeeewataiweza price yake?
Acha masikhara bwana.
Sio mbaya...ni wazo zuri pia.
Sema afanye kama part time best...hiyo inamake sense kiasi.Ndio kama mtu anatumia muda wake kuandaa mambo mazuri ya kuelimisha na kuburidisha ..kwanini wasimpe ajira aweke nguvu kubwa zaidi huku ili hata kila wiki aweke makala moja mambo yaende...?
Kama sio ajira au motisha tuu .. JF ni chama kubwa bwana
Jumamosi mtani.Inaendelea lini?
Yeaah .. hiyo hawezi shindwa mbona anatuma madini kibao tuu for funSema afanye kama part time best...hiyo inamake sense kiasi.
I Think unahitaji ban si bure
MziziMkavu nipe dawa ya kumfanya mtu asahau nywila zake za jf ndani ya mwezi mmoja tu unamtoshaPale unapopata dada mnokoWapendwa wetu...