hancy Abdon
Member
- May 24, 2026
- 85
- 58
THE STORY MASTER.
Mapenzi,Ujasusi,usaliti na mambo yasiyotazamiwa. BY HANCY ABDON
"SEE ME"
SEHEMU YA KWANZA 1/1O
***** ******
"Mpigie simu Randy mara moja mtumie location hawahi sehemu ya tukio".
"Boss hata me naweza hiyo kazi nipe tafadhali". Jamaa mmoja akazungumza huku akimtizama boss wake kwa ukakamavu lakini boss wake akatingisha kichwa kumkatalia.
"Fanya nilivyokwambya". Akazungumza na akaingia ndani ya gari na jamaa akaenda kufunga mlango huku akiuma meno kwa hasira kwani hakufurahishwa na maamuzi ya boss wake aliyeyatoa juu yake kwani alihitaji kifanya kazi hiyo ili kumuonesha boss wake kuwa naye ni bora kama Randy au zaidi yake. Akachukua simu na kumpigia mtu aloelekezwa ampigie ambaye ni randy. Simu ikaita na ikapokelewa.
"Order toka kwa boss nakutumia location nenda sehemu hiyo mara moja alaotekwa amepatikana kamuokoe". Jamaa akazungumza na akakata simu bila ya randy kusema kitu kisha akatuma location ya eneo ambalo inasadikika kuna mtu alitekwa yupo eneo hilo. Akafungua mlango na akaingia ndani ya gari na kuvaa mkanda
"Tayari boss nishampata". Akazungumza na boss akatikisa kichwa,alikuwa ni mwanamume wa makamo miaka 53 hata mvi zake zilikuwa bado hazijaanza kukolea kichawani, msafara wa magari mawili ukaanza kutoka eneo hilo la hotel kubwa ya kifahari yenye hadhi ya nyota tano ambayo kabwela kama sisi hatuwezi kuingia kirahisi kutokan na ulinzi mkali pamoja na hadhi ya hotel hiyo ambayo vyakula vyake au chochote kinachopatikan ndani ya hoteli hiyo bei yake ni ghali zaidi.
Randy akatizma location na akajikuta akiguna na kutingisha kichwa.
"Duuh tanga". Akazungumza na akanyanyuka toka kitandani na kumtizma msichana aliyekuwa amelala naye,akahamisha macho na kutizama saa ya ukutani na kukuta ni saa kumi za usiku.
"Itanichukua masaa mangapi toka dar mpaka tanga aseeh wangeniacha nilale". Akzungumza na kufanya binti alokuwa amelal naye anyanyuke kwa uchovu huku akipikinya pikinya macho akamtizma mteja wake anayevaa nguo harka harak taribu akawasha taa kubwa na kufanya chumba kiwe na mwanga mkubwa tofauti na ule wa mwanzo ambao taa ya mezani ilikuwa inawaka mwanga hafifu.
"Vipi ujapenda huduma yangu mbona mapema randy leo siyo kama siku zote". Mwanamke huyo akazungumza na akashuka kitandani taratibu na kumsogelea randy ambaye alikuwa anamalizia kuvaa viatu.
"Vipi leo ".
"Nawahi sehemu hela yako hiko hapo tutawasiliana Mage". Randy akazungumza na kumsogelea mage na kumnyonya denda la nguvu huku akibinya binya kiuno cha mwanamke huyo ambacho kilijaa shanga nyembamba na kufanya kivutie kila mtu akitizamapo. Akamuachia na kuchukua simu yake juu ya meza ya kioo pamoja na funguo ya gari iliyokuwa hapo mezani.
"Tukikutana nakuhitaji pesa yangu haijaisha ".akazungumza na kugusa kitasa cha mlango akajaribu kuminya ila akikufunguka akageuka na kumtizma mage ambaye akamletea funguo na akafungua mlango na kumrushia kisha kumuaga kwa busu la mbali, moja kwa moja akaanza kupita kwenye korido ya geust hiyo huku akipishana na baadhi ya watu ndani ya geust hiyo ambao wengi walikuwa wanatoka kuzini.
Akajikuta akishtuka baada ya kumuona mke wake akitoka ndani ya geust hiyo na mwanamume mmoja ambye ki umri alikuwa ni mkubwa kumzidi mke wake hakuamini macho yake alihisi ni ndoto akasogea kwa ukaribu zaidi huku akijibanza kwnye kona za ukuta wa geust hiyo kubwa jijini hapo alitaka aone ni yeye kweli au kamfananisha kadiri alivyokuwa akisogea ndivyo moyo wake ulizidi kuingiwa na uchungu wa ajabu akamtizma mwanamume mwenye mke wake hakufanikiwa kumuona sura yake kwani alivalia kofia kubwa nyeusi aina ya cow boy iliyoficha paji lake la uso mpka macho yake. Akawafatilia na kuwaona wakifika mpaka kwenye lifti wakapanda ndani ya lifti na ikaanza kushuka chini...
Randy akachomoa bastola yake aliyokuwa ameibana kwenye kiuno chake na mkanda wa suruali yake kifua kilijaa hasira na wivu ulioambatana na jazba pamoja na harufu ya damu sas aliwaza kuwaua wote wawili akasahau yeye pia katoka kumcheat mke wake..
ITAENDELEA USIKOSE SEHEMU YA PILI YA MKASA HUU WA KUSISIMUA JE NINI KITATOKEA ENDELEA KUFATILIA MPAKA MWISHO
*******
SEE ME"