Joe Metheny one of deadliest serial killer and cannibal

Joe Metheny one of deadliest serial killer and cannibal

lose yourself

Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
16
Reaction score
26
Katika NCHI ya marekani maeneo ya Baltimore Maryland alikuwepo bwana mmoja aitway Joe Metheny aliekuwa na mtoto mmoja na mke aliowapenda sana ,but tatizo lilikuwepo kwa mke wake alikuwa addicted wa madaw ya kulevya siku Moja usiku joe alipokuwa akirudi nyumban akakuta kila kitu kimebebwa na mke katoroka na mtoto na vitu vyote ,baada ya kupeleleza kwa watu wakarib wakamwambia kuwa mkewe ameenda kuolewa na homeless man chini ya daraja akaenda kumtafuta na kumkosa hivyo akaweka kisasi dhidi ya watu wasio na makazi ndani ya usiku huo akaishia kuwa watu saba,Kisha siku chache baday alikamatwa na polis kwa mauaji ya watu wawili but baaday akapatikana hana hatia hivyo akaachiwa HURU.

Baada ya miezi kupita akanunua trela la gari na kuanza kuuza burgers na ikifika usiku anaingia kuwinda watu na kwa kuwadanganya Kisha kuwapeleka kwenye trela lake na kuwauwa then Ili kuangamiza ushahidi akawa ananyofoa nyama mwilini mwao na kuzisaga Kisha alikuwa anazichanganya na kitimoto na kuzila na ikifika asubuhi alikuwa akiwauzia watu ,na walikuwa awashtukii sababu anadai kuwa nyama Ile ulikuwa inaladha kama ya nguruwe, kama ilivyo kila chenye mwanzo akikosi mwisho siku alimpeleka mwanamke mmoja kwenye trela yake walipofika akaanza kumnyonga but yule manzi akaact amekufa hivyo wakati Joe kaamini mwanamke yule kafa, demu akapata chance ya kuescape na kuripoti polisi Kisha joe akakamatwa na polisi na kuhukumiwa kifungo Cha maisha baada ya kukiri hatia na baada ya mda alikutwa amefia selo kwa ugonjwa

Wakati anaojiwa alikuwa akiishia kusema neno
The word sorry never come out
 

Attachments

  • 1000838825.jpeg
    1000838825.jpeg
    34.8 KB · Views: 1
  • 1000838824.jpeg
    1000838824.jpeg
    17.8 KB · Views: 1
Katika NCHI ya marekani maneno ya Baltimore Maryland alikuwepo bwana mmoja aitway Joe Metheny aliekuwa na mtoto mmoja na mke aliowapenda sana ,but tatizo lilikuwepo kwa mke wake alikuwa addicted wa madaw ya kulevya siku Moja usiku joe alipokuwa akirudi nyumban akakuta kila kitu kimebebwa na mke katoroka na mtoto na vitu vyote ,baada ya kupeleleza kwa watu wakarib wakamwambia kuwa mkewe ameenda kuolewa na homeless man chini ya daraja akaenda kumtafuta na kumkosa hivyo akaweka kisasi dhidi ya watu wasio na makazi ndani ya usiku huo akaishia kuwa watu saba,Kisha siku chache baday alikamatwa na polis kwa mauaji ya watu wawili but baaday akapatikana hana hatia hivyo akaachiwa HURU,baada ya miezi kupita akanunua trela la gari na kuanza kuuza burgers na ikifika usiku anaingia kuwinda watu na kwa kuwadanganya Kisha kuwapeleka kwenye trela lake na kuwauwa then Ili kuangamiza ushahidi akawa ananyofoa nyama mwilini mwao na kuzisaga Kisha alikuwa anazichanganya na kitimoto na kuzila na ikifika asubuhi alikuwa akiwauzia watu ,na walikuwa awashtukii sababu anadai kuwa nyama Ile ulikuwa inaladha kama ya nguruwe,kama ilivyo kila chenye mwanzo akikosi mwisho siku alimpeleka mwanamke mmoja kwenye trela yake walipofika akaanza kumnyonga but yule manzi akaact amekufa hivyo wakati joe kaamini mwanamke yule kafa ,demu akapata chance ya kuescape na kuripoti polisi Kisha joe akakamatwa na polis na kuhukumiwa kifungo Cha maisha baada ya kukiri hatia baada ya mda alikutwa amefia selo kwa ugonjwa

Wakati anaojiwa alikuwa akiishia kusema neno
The word sorry never come out
Huyo cha mtoto....kuna huyu mweu ni serials killer hatari sana kaua watanganyika maelfu
 

Attachments

  • Screenshot_20260928-144113_Gallery.jpg
    Screenshot_20260928-144113_Gallery.jpg
    109.8 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom