Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Hiyo ya greyson mwenye mtindio wa ubongo naikumbuka, alikua na dada yake anaitwa destiny, nadhan walikua wanakaa na bibi yao sijui! Greyson alikua ni genious, akachukuliwa na marekani akawa anadesign computers. Baadae tz wakatuma kikosi cha makomando kwende kumteka (wakiongozwa na komando buberwa ), wakamleta tz akawa anawafanyia kazi ile km america (ofisi yake ilikua under ground nje ya mji huko) america wakashtuka nao wakaja kumchukua tena. Sasa nimesahau mwanzo wake kabisa na mwisho wake, hata jina pia sikumbuki.
Aargh jamaa nae alikua na story nyingiii
Asanteeee mkuu kumbukumbu yako ipo njema sana jina ndo hilo why did you kill me Patricia coz alimletea maambukizi mumewe then akatelekeza familia tena huyo Grayson ndo alikuwa hampendi kama hajamzaa yy
 
Asanteeee mkuu kumbukumbu yako ipo njema sana jina ndo hilo why did you kill me Patricia coz alimletea maambukizi mumewe then akatelekeza familia tena huyo Grayson ndo alikuwa hampendi kama hajamzaa yy
Asee napata picha sasa, shukrani
 
Mkuu tengeneza pdf doc utuuzie kupitia link,
Mana haya mambo ya kutupia episode kila baada ya siku kadhaa unatuchosha
 
Nifah nataka niweze kusoma muendelezezo wa story ya vipepeo weusi nafanyaje au ndo had uonganishwe
Nenda post namba moja kule mwanzoni kabisa, pale chini kuna link mbili. Link moja kwa ajili ya episode 2, na link nyingine kwa ajili ya episode 3

NB: Tafadhali usitufanyie yale mambo ya kuquote uzi wote kama ulivyotufanyia kule kwenye uzi mwingine.. Soma tu kama una cha kusema comment kawaida.! Usiquote uzi

Sent from my V5 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom